Maisha yanaenda Kasi, Kila MTU Kila siku anatafuta namna ya kuishi.
WACHINA Kila siku wanakuja na Gunduzi za Kila aina , Gunduzi zao zinawekwa mitandaon , zipo Gunduzi zinazowekwa mitandaoni lakn zinakua restricted kutumika kwenye Nchi zao tu .
WABONGO MATAPELI, na vile tuna TCRA ya kudeal...
Kuna kitongoji kimoja huko mashariki ya kati wamekaa viongozi wao ambao ndio wasomi, ndio wenye uono wa mbali, ndio ma genius.
Hao viongozi kwa pamoja wanashangalia na kushinikiza kitongoji chao kiendelee kutawaliwa na malkia kutoka kitongoji jirani.
Aisee hapa uchawi umehusika.
Kama kuna vitu vya kipuuzi, kijinga na kipumbavu basi ni uwepo wa mikakati madhubuti kutoka kambi zote mbili zinazovutana sasa (Mbowe na Lissu) kutengeneza mikakati tofauti tofauti wa kuwarejesha wasaliti wa Chadema (Dr. Slaa, Msigwa, Covid 19).
Upande wa kambi ya Mbowe wao wanatengeneza...
Kuna diaspora wengi wasomi, wafanyabiashara, na wafanyakazi wenye uzoefu mkubwa ambao wangetoa mawazo bora kwa maendeleo.
Badala ya kutegemea wasomi wa aina ya Mkumbo wanaokariri, ni muhimu kuomba mawazo ya diaspora kwa manufaa ya umma na kuyachanganya na fikra nyingine.
Hawa diaspora...
jamani nafsi na roho yangu vinanishudia kuwa Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa chadema, nimeumia sana baada ya kuona hili jambo linaenda kutendeka, ukisoma vzr sana walaka wa marehemu "chacha wangwe" utagundua kuwa Mbowe sio rahisi kushindwa uchaguzi kwa sbb ya ujinga mkubwa, na umasikini wa...
Wanabodi
Mzee wa masauti,
Nimesikia sauti ikiniambia niwaonye Chadema mapema tuu, kwenye huu uchaguzi wao wa mwenyekiti, this time around, wasithubutu au wasifanye ujinga wowote au janja janja yoyote!, wafuate tuu katiba yao, sheria taratibu na kanuni, uchaguzi upite salama. Wakileta ujinga...
Maandalizi ya kuufanya mwezi January kuwa mwezi dume, yanafanyika msimu huu wa sikukuu. Watu wanaponda mali kana kwamba wanakufa kesho ama wameagana kabisa na shida za dunia.
January inapofika inawakuta watu hao wako hoi bin taabani kiuchumi. Wataanza kuhaha kuuza hata kile kidogo...
Watanganyika Sasa wanahitaji msaada wa Kisaikolojia
Kwanza nakubali kuwa ushoga ni jambo baya Kwa maadili yetu, na inafaa ukemewe
Siku hizi watu wengi wapo wanahusisha ushoga na jambo lolote, nilikuwa kijijini Nina Miche ya mapapai Fulani kwenye shamba langu, basi wakaja washikaji wapo pale...
Jana usiku kulikuwa na Tamasha pale Nairobi ambalo moja ya Wasanii walioalikwa kutumbuiza ni Wasanii kutoka Tanzania, Diamond Platnumz akisindikizwa na Zuchu huku Msanii mwingine akiwa Rayvanny.
Vurugu zilianza baada ya muda wa Diamond Platinumz kupanda stejini kufika ambapo Msanii wa Kenya...
Salaam, Shalom!
Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula.
Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano,
Sasa tusilalamike tena kusema wazungu Wana akili kutuzidi, tutafute kujua wanakula nini kama tutaukuta ugali.
NB: Ngano iwe brown wheat...
kwa staili hii wanawake wataendelea kutuburuza sana wanaume katika masuala ya maslahi na mustakabali wa ustawi wa maisha yetu.
Wanawake wengi wanawinda Mali tu na pesa kwa mwanaume, sasa kama huna kitu ni nadra sana kukidhi vigezo mbele ya wanawake wengi.
Habari zenu
Nataka kusearch mtandaoni ile midoli inayovalishwa nguo katika maduka ya nguo
Naomba kuuliza je kwa kiingereza inaitwaje? ili niweze kuisaka huko Alibaba
Ahsanten
Mimi ni mshabiki namba moja wa Israel, ila nimeguswa na tukio la kuanguka kwa Jengo Kariakoo, Jitihada tuliyoweka katika uokozi ni aibu kwetu hasa sisi Watanzania tunaomini sio Nyani.
Gaza kwao kuanguka kwa majengo ni kila siku tena kwa mabomu na sio uzembe, lakini Watu wake na mifumo yao ya...
"Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao...
Utata wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa, utata huu unatokana na kutotumia ubongo kuweka sawa kanuni huku wahusika wataka wasioridhika wakate rufaa! upotezaji muda.
Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake.
Baadhi ya vipengele vya hotuba yake:
"Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa...
Wasalaam.
Naliwashauri hapa hapa kabla hata zoezi la kuandikisha wapiga kura halijaanza. Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka kuwe na tume huru wakashupaza shingo na sasa mnalia kuchezewa rafu na ccm, muache kulialia mnatukera...
Hivi inakuwaje familia fulani unakuta mwanamke ndiyo msemaji wa mwisho? Ama mwanamke unakuta eti anamzidi kila kitu mwanamme wake?!
Binafsi kwa maoni yangu ni USHAMBA KUKUBALI KUONGOZWA NA MWANAMKE KWA NAMNA YEYOTE ILE.
Mwanamke lake jiko na kutangulia chini na si vinginevyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.