ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Simiyu: Wananchi wavamia Kituo cha Polisi wakidai kuna matukio mengi ya Watoto kupotea

    Baadhi ya Wananchi wameandamana na kuvamia Kituo cha Polisi cha Lamadi wakidai askari Polisi wa eneo hilo wameshindwa kuwajibika wakidai kuna muendelezo wa matukio ya Watoto kupotea Mkoani hapo. Baadhi ya Wananchi wengine pia walifunga Barabara ya Kuu ya Mwanza-Simiyu-Mara, baada ya tukio hilo...
  2. cleokippo

    Wataalamu wa jukwaa la technology, kuuliza si ujinga

    Habar wana technology, kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu keamba kuuliza si ujinga Naomba kufaham , hivi unaweza uka dowload app ya camera kwenye pc? Kama inawezekana , ipi ni camera kali yenye picha nzur na hd? Laptop ni Dell 13 generation chief mkwawa
  3. Li ngunda ngali

    Duru: Feleshi ndiye CJ ajaye

    '".... Profesa amekuwa akiomba mda mrefu apumzike lakini Boss lady alikuwa akikuna kichwa amweke nani pale. Sasa yeye na watu wake wa sheria naona waliamua wamwondoe kuwa AG na wamrejeshe Mahakama ili baadae kidogo amteua kuwa CJ." Duru ndani ya corridor za white house.
  4. C

    Ni ujinga kujenga urafiki na mwanamke unayetaka kumtongoza

    Kwema, Naona kama una demu umemuelewa achana na mambo ya kuanza kujenga urafiki nae maana atakusumbua baadae kwenye kumtongoza ataanza kukuzungusha na pia itakuw ngumu kumpotezea.
  5. S

    Media zikiendekeza ujinga huu familia nyingi zitasambaratika, taifa litajaa wahuni.

    Wanaume nao watajitokeza kulalamika kuwa walibakwa na wake zao. Na itakuwa vipi watoto wakiyasikia ama kuyasoma malalamiko haya ya wazazi wao? N. B . BTW ashakuwa bibi, hii hadithi yake ni ya 2003.
  6. TUKANA UONE

    Olympic wakianzisha kipengele Cha Umbeya na Ujinga tutashinda medali za Kutosha

    Wakuu tuendelee kuvuta subra huku tukiwaomba jamaa waanzishe Vipengele tajwa hapo Juu! Kama hawatoanzisha hivyo Vipengele na kama Taifa tutaendelea kujipa matumaini "Eti" ipo siku yetu,Hiyo siku tutaisubiria sana na haitotokea! Nina Jeuri ya kusema hivyo kwasababu,kadiri miaka inavyozidi...
  7. Yoda

    Kiswahili kinatufichia sana ujinga na ujima wetu wabongo kwa watu wa nje, sio kwa mada petty kama hizi mitandaoni!

    Nimeona mjadala mrefu huko mtandaoni wanawake kwa wanaume watu wazima kabisa wako busy wanabishana na kusutana kama inapaswa kuaga au kuomba ruhusa waume/wapenzi wao wanapotoka nyumbani! Kuna mambo mengine ni mijadala ya kitoto au ki- teenager sana kama ile ya "education is better than money"...
  8. realMamy

    Kuanza Upya si Ujinga

    Nakumbuka niliwahi kuwa na kaduka kule barabara za namba Tanga mjini🤣🤦‍♀️ Mwanzoni kalinipa heshima kidogo angalau pesa ya mboga nyumbani haikukosekana, angalau kipindi mambo ya mishahara yanasumbua basi kifaida kikawa kinakidhi mahitaji. Likaja wazo la ushauri mbalimbali la kuikopea biashara...
  9. britanicca

    Kwanini Kila anayefanikiwa lazima aitwe Mwizi, atoa Kafara, Free mason, Tapeli

    Mi mtu Mzima Kidogo ambaye nimeishi miongo kadhaa na kushuhudia uongozi wa awamu zote na nimekaa vijijini na mijini Kwanini Kila mtaa au kijiji au mji mtu akionekana kupata maendeleo watu ukimbilia 1. Mwizi 2. Katoa Kafara 3. Free mason 4. Tapeli Kwanini uwa wengi hawasujudu nguvu za kazi...
  10. Baba Kisarii

    Mashabiki njaa acheni ujinga

    Hao mashabiki huibuka muda wowote pale wanapotupiwa jero ya maji na wanatesa mjini kwa sababu ya ujinga wa wajinga hao. Hao wajinga utawakuta msimbazi ila kwa wingi wao wapo pale jangwani. Wamejaa ujinga mtupu, kwa sasa wako na ujinga wa kijinga kukomalia kuchamba neno Sanda lililopo kwenye...
  11. BLACK MOVEMENT

    Simba na Yanga ni taasisi ,Wawekezaji wanaweza vuna pesa za kutosha kwa sababu ya Ujinga wa wanachama na mashabiki.

    Mimi binagisi ni Yanga, Ila nimekaa chini nikatafakari sana nikagundua Magoma ana point, Magoma sio kichaaa, shida kuu iko kwa wanachama na Mashabiki na hii pia iko Simba. Yanga na Simba ili hawa wawekezaji wapige pesa hadi washindwe kubeba na mtu asiwaulize chochote wawekeze tu kwanye timu...
  12. D

    Kijana mwenzangu zingatia kuepuka kuachana na mambo haya ili ufanikiwe

    Kijana mwenzangu; 1. Hofu inamaliza Ndoto zako 2. Wivu unapoteza Amani yako 3. Hasira inaondoa Busara zako 4. Uzembe unaua Malengo yako 5. Uwoga unasitisha Ujasiri wako 6. Majivuno yanakuondolea marafiki Pia soma: Kijana kama unataka kuishi maisha marefu, zingatia haya machache
  13. Kaka yake shetani

    Mwenye huyu mtoto mwambieni wazungu wanamshangaa na anaweza kujifungia kwenye fursa nyingi hakaishia na ujinga wake

    Hawa UVCCM huyu kijana sijui Abdul ni sample ya takataka tokea kuumbwa vyoo vya kuflash. kuna kitu kimoja anashindwa kujua siasa anayotumia ili mtandao wa twitter ufunge sababu kuminya demokrasia unaweza kumtokea puani kama kila mtumiaji wa X anaweza kuandika malalamiko anavotumika na jina lake...
  14. Shooter Again

    Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

    Yaani Mimi niandamane nipigwe risasi nife nizikwe nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikua yamezubaa nchi ikatafunwa Sasa hivi yanasema vijana wa gen z andamaneni kwajili ya tanzania mnaumwa nyie wazee pambaneni na hali zenu kama maisha yamekua magumu kwenu hamna kijana...
  15. contask

    Upuuzaji wa mambo muhimu na ujinga ni chanzo cha matatizo

    Upuuzi na ujinga ni chanzo cha matatizo Habari wakuu, Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia mambo madogo madogo ambayo mwishowe yanakuja kutugharimu katika maisha yetu binafsi pia familia na...
  16. contask

    Upuuzi na ujinga ni chanzo cha matatizo

    Habari wakuu, Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia mambo madogo madogo ambayo mwishowe yanakuja kutugharimu katika maisha yetu binafsi pia familia na jamii kwa ujumla na wengi wetu tukafanya...
  17. lufungulo k

    Kama elimu ni ghali basi jaribu UJINGA

    JWTZ kwa kirefu ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA moja ya majeshi imara sana katika Ukanda wetu. Kuna kipindi wakati wa utawala wa Mh JOSEPH POMBE MAGHUFULI (RIP) walifanya onesho la mapigano na kulinda mipaka huku wakimualika Rais wa nchi kushuhudia. Kisha katika HOTUBA yake waziri wa ulinzi...
  18. BLACK MOVEMENT

    Migomo inayo fanikiwaga ni ya necessity goods and serivices pekee

    Migomo inayo weza kuleta kizaa zaa nchini ni ya either usafiri, huduma za Afya au huduma za Vyakula kama masoko ya vyakula. Pale Kariakoo, nguo zile sio necessity goods, sio lazima, sio kitu cha hatari na pia altenative zipo nyingi sana.Unauza Tv unagoma? Serikali ikipiga kimya wale jamaa...
  19. H

    Ujinga wa Waafrika wa utegemezi wa kila kitu katika dini

    Waafrika mmetengenezewa utegemezi kila kitu ktk dini na mategemeo ya baadae siyo sasa ebu fikiria watu wanategemea kuna kupaa na kwenda mbinguni kuishi wakati haohao wanaowaaminisha hivyo wanasema dunia ni duara/ yai na inaelea hewani,sasa huko mbinguni ni wapi kama siyo ujinga wa Wafia dini wa...
Back
Top Bottom