Leo 11:35hrs 07/11/2020
Matokeo ya uchaguzi wa Marekani yametusaidia kuondoa ujinga wa Chadema, Matokeo ya Uchaguzi wa Marekani is a "score" to us Tanzanians and Our President John Pombe Magufuli, Niwakumbushe hotuba ya Mzee Yoweri Museveni kwenye uapisho wa Rais John Magufuli, Mzee Museveni...
Wanabodi,
JF ni ukumbi huru wa kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, na kitu kikubwa zaidi, kusaidiana. Kama kuna kitu unakijua, na unaona kinafanyika ndivyo sivyo, unajitolea kusaidia kuwaelimisha wengine kuhusu kitu hicho, na hiki ndicho mimi ninachofanya humu JF, kuwaelimisha wengine...
Ukikaa na watu wanaoamini uchawi na kupiga stori za uchawi huwa Kuna mambo ya kushangaza Sana.
1. Mmoja anasimulia eti Kuna mzee alikamatwa na radi ameiweka kwenye mfuko wa salfeti. polisi kumuuliza akasema huwa anaiuza.
2.Mwingine anasema eti radi ikipiga sehemu huwa inataga yai . Basi...
Zikiwa zimebaki siku chache tu za kupiga kura za uchaguzi wa Urais , Ubunge na Udiwani , tayari tumeisha anza kusikia mgongano wa vyama vya upinzani.
Ni kama vile watoto yatima , Maalim Seif anamshangaa Mgombea Urais wa chama chake upande wa JMt kuwa kwanini anapiga kampeni za kugombea Urais...
TUACHE UJINGA, TANZANIA SIYO UINGEREZA!
Mwaka 1997 aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza, John Major alishindwa uchaguzi na kupoteza nafasi yake ya kuendelea kuwa waziri mkuu.
Inadawia kwamba tangu mwaka 1832 hakuna waziri mkuu wa Uingereza ambaye alishindwa uchaguzi kwa kishindo kama John Major...
Haya yamejiri jana usiku wa tarehe 6/10/2020 Mlandizi katika semina ya ndani ya viongozi na wagombea ubunge, udiwani na wanachama wa CHADEMA wa majimbo mawili ya uchaguzi Kibaha mjini na vijijini.
Kwa ufupi TUNDU LISSU alitoa tahadhari na kufundisha yafuatayo kuhusu namna ya kuushinda uchaguzi...
Straight to the topic.
Africans wengi wanaamini kwenye dini kuliko chochote kile hapa duniani.
Na watu wanaomini kwenye dini wanaamini wapo hapa duniani ili kumuabudu mungu tu na si kingine.
Well hapa kwetu africa kuna dini kubwa mbili yaani uislamu na ukristo.
Na kwenye hizo dini kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.