Jamaa anasema alitaka kuwekeza $130 million halafu akazinguliwa, kha kwa namna tunawahitaji wawekezaji na kuwabembeleza kwa kila namna hainiingii akilini huyo Mhindi alitaka kuwekeza hela yote hiyo tukamtupia nje, ichunguzwe kwenye ngazi zote.
Ikumbukwe kwa kipindi cha JPM wawekezaji wengi...
Amani iwe kwenu wadau!
Watanzania wote ni mashuhuda kwa jinsi gani Magufuli alivyoliharibu Taifa hili kwa miaka yake 5 na miezi 4 aliyokaa madarakani
Alama kuu ya uchumi kuwa vizuri kwenye nchi ni kwa jinsi gani hali ya maisha ya watu wa nchi iyo inavyoboreka na kuwa Nzuri siku hadi siku.
Alama...
Wakuu
Huwa nawashangaa sana watu eti ana mchumba yupo mwanza kikazi na yeye yupo Dodoma kikazi ...halafu wanadai eti wanaaminiana ..!
Kiuhalisia wote wawili ni wachepukaji wazuri sanaa ila ukiwakuta wanaongea kwenye simu sasa "ooh nimekumisi hadi naumwa".. Huo uongo hata shetani anashangaa...
Nilikuwa nataka kujua tu kutoka kwa wenye uelewa zaidi.
Kwa kipindi hiki ambacho Makamo wa Rais hajatangazwa bado, ikitokea Rais aliye madarakani akakutwa na jambo linaweza pelekea kusitisha uwezo wake wa kuwa Rais, nani atashika madaraka?
Katiba inasema kuna uhuru wa kuabudu. Afande Sele alitoa audio moja ambayo haikuwa na maadili au maneno mazuri. Alimtukana mungu.
Kuna watu wanataka ifanya issue.mimi naamini kwa uwezo wake mungu huyo anaweza jipigania. Mungu mkuu hahitaji jeshi la wanadamu kumpa support.
But zaidi sikusikia...
unajua alivypost watu walimuuliza signature ya verifier iko wapi? Mbona hiyo tarehe ni after match ina maana wana depart mbona hu post kwamba kule Sudani wachezaji wao 17 walikutwa na covid tarehe 5 march kesho yake tarehe sita wakapungua hadi watano? Simba inahusika vipi na vipimo na ili hali...
Habari wadau..
January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo.
Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha... baba mzazi wewe mwenyewe unategemea ajira za laki nane ama milioni moja, kusomesha watoto wako shule...
Wakati nipo mtaani nasaka ajira naona washakaji na watu wengine na kazi zao nzuri tuu ila wana madeni sana. Wapo ambao wakipatwa na shida tuu utasikia wanalalamika hawana hela ya akiba kutatua shida zao. Kila siku kukopa tuu.
Sasa nimeajiriwa mwaka wa nne sasa maisha yananipeleka puta balaa...
Marekani na China Ni nchi Matajiri Sana lakini kila moja inaitegemea nyingine. Marekani anazalisha Sana na anaiuzia China, China pia anazalisha Sana na anaiuzia Marekani.
Sisi hatuzalishi chochote Cha kiwandani Cha kuweza kuwauzia Mabeberu, Wala hatulimi Sana kushinda hata India China na...
Wachungaji ni walewale, wadau ni walewale, wenye midomo ya kusemea wenzao!
Niliwahi kusema hapa! Na narudia tena
Tatizo la Watanzania tukiwa maarufu au viongozi au wachungaji ni kujidai tunajua kila kitu!
Kiongozi wa siasa ndiye msemaji wa afya, kiongozi wa siasa ndiye mshauri wa ujenzi...
Eti jameni mume wangu amejenga kijumba haijaisha bado. Tunakula dagaa na nyama mara moja moja, Je anatesaje wanae?
Kwa kuwa ni kweli ujenzi hauishi siku moja, sawa ujinga unakujaje hapo
Customer care zero. Ukiuliza maswali yanatoa majibu ya kipuuzi tu. Hii nchi ngumu sana. Hii sheria ya kuchangishana kwa lazima wakati ukiachishwa kazi hawataki kukupa hela yako ni ya kipumbavu.
Ikumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM.
Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa mwenyekiti wa UVCCM.
Kwa kawaida siasa za Iringa bila bakora, utemi, mikwara na vitisho huwa hazinogi kwa...
Kwenye mada. Umewahi kutana au kusikia wabongo wakijisifu ujinga? Sijui ni kutojua au sijui ni nini? Mi nawakutaga wa hivi.
1. Mi mvivu sana kunywa dawa, yaani si malizagi kabisa. Wamenisema wameacha wenyewe. Hapo anongea kwa sifa. Hajui kuwa kutomaliza dawa kuna madhara makubwa na si jambo la...
Ni miaka 27 tokea mfumo wa vyama vingi urudishwe tena Tanzania.
Ulikuwepo kablaya Uhuru na mara tuu baada ya Uhuru waTanganyika Dec.9.1961/Zanzibar Dec.10. 1963.
Lakin CCM walirudisha neno vyama vingi tuu huku wakiendelea na katiba ile ile y chama kimoja iliyorekebishwa kwenye vipengele vichache...
Ndugu zangu wa ACT-Wazalendo
Fanyeni mfano wa CHADEMA, achaneni na ujinga wa serikali ya umoja wa Kitaifa huko Zanzibar!.
Serikali ya umoja wa kitaifa inaweza kupatikana tu katika uchaguzi huru, wa haki ambao maamuzi ya wananchi kweli yameheshimiwa
Serikali ya umoja wa kitaifa haiwezi...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa CHADEMA, maana nimenote baadhi ya viongozi, wanachama, wafuasi wamepigwa na butwaa kwa uamuzi wa wanawake mashujaa, mashoka wa CHADEMA, kukataa ujinga wa chama chao and did the right thing.
Kitendo cha CHADEMA kususa kupeleka majina ya Wabunge...
Hivi vipindi vyao kila mtu akiwepo studio ana control ya Mixer, yaani ni kelele na vurugu tu studio.
Warekebishe huu.
Mtu kipindi cha michezo yupo MWANAIDI SULEIMAN (Mtangazaji)
Paul Mkai (Mtangazaji)
Kawambwa (Mtangazaji)
Sasa who is the main controller hapo. Kila mmoja wao anaongea tu...
Uchaguzi umeisha na serikali iliyochaguiwa na Wananchi imeshaanza kuchapa kazi, Wananchi wa Tanzania wapo kimya wakisubiri kula matunda ya kile walichoahidiwa.
Kinachoshangaza baada ya kupigwa kichapo cha mbwa mtu kwenye ballot box mnaleta propaga za kishamba ambazo hazina kichwa wala miguu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.