Uingereza hakuna gazeti linaloitwa THE NATIONAL VOICE wala hakuna Tovuti ya The national voice.uk.co ni ujinga kuamini

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Moderators naomba uzi wangu usitolewe hadi pale nyie jamiiforums mtakapo niletea ukweli juu ya uongo wa kina mchungaji Bandikile wa kutengeneza gazeti bandia na kulipa tuhuma nzito serkali yetu hasa rais wetu kuhusika katika kashfa za kijinga zilizotajwa kwenye gazti hilo la uongo [Fake newspaper]

Sio tu gazeti halipo bali hata hiyo tovuti haipo kwa kusajiliwa wala kuwepo nchino Uingereza aidha tuhuma hizo ni uongo mkubwa

Naomba kaasilisha

USSR
 
Machawa kazini sasa, baada ya kuachiwa kutoka mafunzoni namna ya kupinga hili chapisho, wakiwa full bundles kwa tablet zao na posho za 8K.
Hovyo kabisa, hawa.
 
Tuambie tu kwa upole kabisa. Waambie wajf Ni Nini uhusiano wa chivayo na Tanzania Hadi akapata attention kubwa ya rais kuliko hata waziri mkuu wetu. Ulishamuona waziri mkuu kamukumbatia rais? Tuambie tu kwa upole kabisa.
 
Moderators naomba uzi wangu usitolewe hadi pale nyie jamiiforums mtakapo niletea ukweli juu ya uongo wa kina mchungaji Bandikile wa kutengeneza gazeti bandia na kulipa tuhuma nzito serkali yetu hasa rais wetu kuhusika katika kashfa za kijinga zilizotajwa kwenye gazti hilo la uongo [Fake newspaper]

Sio tu gazeti halipo bali hata hiyo tovuti haipo kwa kusajiliwa wala kuwepo nchino Uingereza aidha tuhuma hizo ni uongo mkubwa

Naomba kaasilisha

USSR
machoko bado hamjasema mpaka mseme shenzi nyinyi
 
Back
Top Bottom