Binadamu hawakutoka kwa nyani au sokwe. Huu ni ujinga au uzushi uliosambaa sana

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Sijui ilikuaje huu ujinga wa kuamini Sayansi inasema binadamu tulitoka kwa nyani au sokwe kukita mizizi sana kwenye vichwa vya watu wengi wanaoamini binadamu waliumbwa.

Sayansi kupitia nadharia ya evolution haisemi binadamu waliwahi kuwa nyani au walitokana na nyani. Evolution inasema binadamu tuko katika "great apes".

Inawezekana uduni wa msamiati wa Kiswahili au akili ndogo za wanaofundisha na wanaosoma evolution walitafsiri "apes" kuwa ni nyani au sokwe na wakaendelea kuamini na kuaminisha watu huu upuuzi mpaka leo.
 
Hiyo mada tuliishaikataa mjuba, hata shuleni hatufundishi wanafunzi kuamini hivyo, tunawaambia mtihani ukija jibuni kama mada inavyosema binadamu anatokana na jamii za nyani ili mfaulu mtihani ila binadamu hatokani na nyani
 
Kumbe walimu wa histori walikuwa wanatulisha matango pori? tumwamini nani sasa ..
 
Hiyo mada tuliishaikataa mjuba, hata shuleni hatufundishi wanafunzi kuamini hivyo, tunawaambia mtihani ukija jibuni kama mada inavyosema binadamu anatokana na jamii za nyani ili mfaulu mtihani ila binadamu hatokani na nyani
Binadamu hatokani na jamii za nyani bali binadamu yuko kwenye familia kubwa ya "great apes". Nyie walimu uchwara ndio mmeleta huu upotoshi, mnapaswa kupigwa viboko.
 
Wazungu ndo wametokana na sokwe na nyani wazungu sio watu ni binadamu watu weusi ni watu asilia wazungu ni viumbe wageni hapa Duniani.
 
Ila kuna watu wana mfanano na hao viumbe, kwa mfano ukienda kule Papua Guinea unaweza kuthibitisha huo ukweli, au ukitembetembea huko mtaani utaona baadhi ya mfanano
 
Binadamu hatokani na jamii za nyani bali binadamu yuko kwenye familia kubwa ya "great apes". Nyie walimu uchwara ndio mmeleta huu upotoshi, mnapaswa kupigwa viboko.
mwalimu haruhusiwi kufundisha vitu nje na mtaala, kama mtaala unasema binadamu anatokana na nyani basi itafundishwa hivyohivyo
 
Umeiweka vizuri sana mana unakuta mpaka mtu anabisha kwa kujiamini kabisa kwamba mbona hatuoni nyani wa saivi wakibadilika kua binadhamu
 
mwalimu haruhusiwi kufundisha vitu nje na mtaala, kama mtaala unasema binadamu anatokana na nyani basi itafundishwa hivyohivyo
Kama kuna mtaala unaosema binadamu walitokana na nyani huo ni mtaala ulioandaliwa na vilaza wajinga na wapotoshaji.
 
Sijui ilikuaje huu ujinga wa kuamini Sayansi inasema binadamu tulitoka kwa nyani au sokwe kukita mizizi sana kwenye vichwa vya watu wengi wanaoamini binadamu waliumbwa.

Sayansi kupitia nadharia ya evolution haisemi binadamu waliwahi kuwa nyani au walitokana na nyani. Evolution inasema binadamu tuko katika "great apes".

Inawezekana uduni wa msamiati wa Kiswahili au akili ndogo za wanaofundisha na wanaosoma evolution walitafsiri "apes" kuwa ni nyani au sokwe na wakaendelea kuamini na kuaminisha watu huu upuuzi mpaka leo.
Propaganda za wazungu.

Binadamu wa kwanza fuvu lake limegundulika olduvai gorge(Africa - Tanzania) ,sasa wazungu wakaona wivu wakaona bora waseme binadamu wa kwanza alikuwa nyani.

Na hadi leo watoto wao wanajua Africa ni misitu na wanyama tu ,hakuna binadamu wanaishi.

Hawajui kutofautisha Ghana na Kenya wao wanajua Africa tu the same na sisi tusivyojua kutofautisha kwao tunageneralize Jamaa ameenda Ulaya(Uropa) ,Jamaa ameenda marekani(Kumbe yupo vijijini Kentucky .Tennessee au West Virginia)
 
Lete ushahidi
Hapo kale kabla ya ugeni , MTU MWEUSI alikuwa na kundi la damu moja tu Yani kundi Hasi sifuri Yani Negative Zero Blood Group(-O)

Lakini kwanini Leo hii Kuna makundi ya damu 8 (A+, B+, AB+, O+ na A-, B-, AB- na O-) hayo 7 yametokea wapi na Kwa Nini na Kwa jinsi gani yametokea?
 
Back
Top Bottom