Binadamu hawakutoka kwa nyani au sokwe. Huu ni ujinga au uzushi uliosambaa sana

Binadamu hawakutoka kwa nyani au sokwe. Huu ni ujinga au uzushi uliosambaa sana

Kama walikufundisha binadamu anatokana na nyani au sokwe hayo ni matangopori.
Binadamu ni 'deuterostome', Chordate, Bonny fish, Lobe-finned fish, Amphibian with common ancestors with Reptiles, Mammals, Rodents, Monkeys, Great Apes, and Bonobos and Chimps!
HUTAKI ANAACHA! 😠
 
Kwa sababu binadamu hajatokana na sokwe au nyani.

Sokwe na nyani ni ndugu zetu tu au wapwa wetu wa katika evolution ila sio wazazi wetu au chanzo cha binadamu.
View attachment 3661426
View attachment 3661427
Walimu huwa wanachanganya sana aisee asilimia 99 ya watu eti wanaelewa kama ulivyokataa kuwa binadamu anatokana na nyani,binadamu na primates(nyani) tunashare a common ancestor tu katika evolution na sio kwamba nyani/sokwe ndio walibadilika kuwa binadamu,kuelewa hili unatakiwa usome Evolution deep,bahati mbaya elimu ya Bongo haipo deep sana maana na walimu nao hawajui wanagusagusa tu,mimi ile Geographocal time scale inayoonyesha nyakati tofautitofaut za dunua kuanzia sijui Cambrian era,pelozoic era sijui Ice age nilikuja kuielewa baadae kabisa baada ya kuisoma deep ila shuleni sikuwah kuona ikizungumziwa na ilikuwepo kwenye mtaala.Hata leo bado ipo kwenye mtaala lakini chukua wanafunzi watano wakuelezee Geographical time scale na period zake ni nadra sana wanafunzi hao wote kukuelezea hata kwa asilimia 10 tu
 
Aliyetoa nadharia hiyo hata mwenyewe alishindwa kuithibitisha alipotakiwa kuthibitisha. . Utaaminije
 
Kinachosikitisha hadi waleo watoto wetu wanafunzwa haya mashuleni kwa kukaririshwa.. elimu sio mkombozi ni maandalizi ya jela ya kudumu (ubepari) ili usifikie malengo yako na kusudio la kuletwa duniani ndio maana watu wachache sana wana unlock full potential zao.
 
Ungeonyesha huyo 'common' ancestor' kwenye kila 'junction' ungekuta ni kiumbe kama sokwe, nyani na kadhalika, kwahiyo binadamu ametokana na aina fulani ya nyani ambaye alikuja kuwa aina fulani ya sokwe! Kwahiyo wanaorahisisha waheshimiwe!
NB: Manyani na sokwe wanaendelea na mabadiliko yao ya polepole sana, kama kawaida ya EVOLUTION, na wakipewa muda wa kutosha, na kupunguziwa fujo za binadamu, huenda wakawa hata viumbe bora zaidi yetu!
 
Chui, Duma, Jaguar, Tiger na cats wengine wengi hawabadiliki kuwa Simba. Simba na hawa wote ni cat family, ndivyo hivyo ilivyo kwa binadamu, sokwe, nyani na wengine (wote ni apes na sio kwamba kiumbe kimoja kinatokana na kingine). Lengo la evolution ni survival, sio kutengeneza viumbe bora zaidi
 
Chui, Duma, Jaguar, Tiger na cats wengine wengi hawabadiliki kuwa Simba, Simba na Hawa wote ni cat family, ndivyo hivyo ilivyo kwa binadamu, sokwe, nyani na wengine (wote ni apes na sio kwamba kiumbe kimoja kinatokana na kingine). Lengo la evolution ni survival, sio kutengeneza viumbe bora zaidi
THAT WAS GIBBERISH! ... Common ancestor wa nyani na binadamu ni aina fulani ya nyani duni, na common ancestor wa binadamu na sokwe ni aina fulani ya sokwe duni! ... survival of the fitest inamfanya offspring kuyamudu mazingira vizuri zaidi ya muhenga wake kwahiyo, mara nyingi, kuwa bora zaidi au 'more adapted'!
AND IT LOOKS LIKE YOU NEED SOME ADDITIONAL LEARNING MATERIALS:

View: https://youtu.be/wvfR3XLXPvw?si=SKwMjRE_VfkNgcXU
 
Sijui ilikuaje huu ujinga wa kuamini Sayansi inasema binadamu tulitoka kwa nyani au sokwe kukita mizizi sana kwenye vichwa vya watu wengi wanaoamini binadamu waliumbwa.

Sayansi kupitia nadharia ya evolution haisemi binadamu waliwahi kuwa nyani au walitokana na nyani. Evolution inasema binadamu tuko katika "great apes".

Inawezekana uduni wa msamiati wa Kiswahili au akili ndogo za wanaofundisha na wanaosoma evolution walitafsiri "apes" kuwa ni nyani au sokwe na wakaendelea kuamini na kuaminisha watu huu upuuzi mpaka leo.
Njoo na ushahidi wa kisayansi kuipinga hoja yako..mana wenzio waliileta hoja hii kupitia tafiti za kisayansi.

Tofauti na hapo acha porojo.
 
Ungeonyesha huyo 'common' ancestor' kwenye kila 'junction' ungekuta ni kiumbe kama sokwe, nyani na kadhalika, kwahiyo binadamu ametokana na aina fulani ya nyani ambaye alikuja kuwa aina fulani ya sokwe! Kwahiyo wanaorahisisha waheshimiwe!
NB: Manyani na sokwe wanaendelea na mabadiliko yao ya polepole sana, kama kawaida ya EVOLUTION, na wakipewa muda wa kutosha, na kupunguziwa fujo za binadamu, huenda wakawa hata viumbe bora zaidi yetu!
Huo ndio ukweli, ila watu hawataki kuukubali hawa nyani, sokwe, sijui nini ni ndugu zetu kabisaaa,
 
Back
Top Bottom