instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Mwanasiasa/mwanaharakati chunga sana mdomo wako, chama chako/hao wafadhiri wako ni wadogo sana kuliko nchi ya Tanzania.
Tanzania ni kubwa kuliko chama chako kabla hujaongea jua kuwa Kuna Sheria, kama vile Sheria cybercrime act, 2015 na nyingine nyingi ambazo zipo kwaajili ya kulinda maadili na tunu za Taifa letu.
Hiyo nguvu ya kuwatukana viongozi unaitoa wapi? Hyo nguvu ya kuhamasisha vurugu unaitoa wapi? Nikwambie tu ukikamatwa na mkono wa Sheria utakuwa pekee Yako hakuna atakaye kujali.