The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.
Mwanasiasa/mwanaharakati chunga sana mdomo wako, chama chako/hao wafadhiri wako ni wadogo sana kuliko nchi ya Tanzania.
Tanzania ni kubwa kuliko chama chako kabla hujaongea jua kuwa Kuna Sheria, kama vile Sheria cybercrime act, 2015 na nyingine nyingi ambazo zipo kwaajili ya kulinda maadili...
Alikamatwa Darien Gap, akakutana na Dubu Siberia, kaogelea hadi Uingereza: Huyu ndiye Karl Bushby, mtu mwenye uthubutu mkubwa zaidi duniani!
Je, unaweza kuvumilia miaka 28 ukiwa mbali na familia kwa ajili ya ndoto yako? Fahamu kisa cha Karl Bushby, mtu aliyetembea kwa miguu kutoka Chile hadi...
Juma hili, hofu na taharuki zilitanda katika mtaa wa Riruta (Kibiria Road) jijini Nairobi baada ya nyufa kubwa za kimuundo kuibuka kwenye jengo la kisasa la ghorofa 10 linalokaliwa na takriban familia 95.
Ingawa jengo hilo halijaporomoka, mamlaka za Serikali ya Kaunti ya Nairobi na timu za...
Nakumbuka baada ya kulipa 650,000 Tsh as administration fee, wazazi tulilipa tena 100,000 Tsh kama fedha ya usafiri. This I guess was OK!
Now juzi watoto wamelipishwa tena 48,000Tsh kama fedha ya usafiri! Kulikoni? Tunaomba maelezo au ni upigaji as usual bila uongzi wa chuo kujua...
Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda. Rwanda yupo Kagame, Uganda yupo Museveni na pia Mtutsi.
Hata kama vikosi vilipokuwa vya Sadc, walipopata taarifa kuwa Tanzania ni sehemu ya...
Leo Jf kumepoa sana hakuna mada wala mijadala ya maana.
Gaddemit!!!
Wazee wa kusuuza koo UBWYB!!!
📌NIPO KATI NA KATI NIFATE USHAURI WA Dr.KISENG AU Dr.Janabi😣😣😇
#Mimi na chui🐯 bado sana kuachana🫂
Wasalaaam,
Yaani kila wazo lazima tuanze na heading, main thread, utangulizi na hitimisho? 😂
Fanyeni mpango tuwe na uwezo wa kuchapisha mawazo mafupi mafupi kama tweets kuhusu chochote kilichopo kichwani, watu wa-like na kuchangia bila kulazimika kuanzisha uzi rasmi. Hii option inaweza kuwekwa...
Katika ulimwengu wa sasa, teknolojia na ubunifu ni nyenzo muhimu za kukuza biashara, kuongeza ufanisi na kujenga taswira ya kitaalamu.
Iwe wewe ni Content Creator, Mfanyabiashara, Mwanafunzi, Graphic Designer au Digital Marketer, kuwa na zana sahihi kunaweza kuleta tofauti kubwa katika ubora wa...
Bara linalouza madini ghafi kisha kununua tena betri zilizotengenezwa kutokana na madini hayo litaendelea kuwa maskini, bila kujali idadi ya mikutano ya kilele litakayohudhuria - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Amesema hayo Oktoba 28, 2026...
Je mwalimu anaweza kuripoti bila data sheet kwa sababu kuna baadhi ya Halmashauri zimegoma kutoa data sheet kwa kigezo cha unayebadilishana naye mpaka aripoti.
Machawa shangilieni sasa lakini hamjui kesho yenu! Ni bora sana mngepigania uhuru maana uhuru utawakikishia kesho yenu. Mwangalieni mwenzenu Nchimbi na Polepole wapo wapi leo. Je wewe wanakuthamini kuliko wao?? Jiulize
“Usiishi maisha ya kutafuta makofi ya watu, kwa sababu siku watakapoacha kukupigia makofi, unaweza kujikuta umepoteza sababu ya kuendelea na safari yako.”
Katika maisha yetu ya kila siku, kuna mtego mmoja ambao watu wengi hujikuta wameingia bila hata kujitambua. Mtego huo ni kutegemea...
Mimi ni mmoja wa wahitimu wa chuo cha afya chini ya NACTE mwaka 2019. Kero yangu inahusu transcript yangu ambayo niliipata baada ya kupitia usumbufu mkubwa.
Nilipoipokea, sikuikagua kwa makini, lakini baadaye nilipogundua makosa, nilibaini kuwa somo ambalo nilipata alama ya A lilikuwa...
Niombe watanzania asiwepo mtu wa kuingilia mgomo wa kutokula ambao anatarajia aufanye Lissu kuanzia tar. 26/10/2026.
ili kutupa nafasi sisi wasomi tuweze kubaini na kuona ni siku ngapi mtu anaweza akaishi bila kula mpaka anakufa. Sisi wasomi jukumu letu litakuwa ni kuhesabu siku tu mpaka siku...
Hiyo ni mwaka jana hiyo
Ninafahamiana sana Angel toka 2020 hivi kwa nyakati tofauti nimekuwa ninafanya naye kazi. Kusema kweli Angel ni mzuri, ana umbo na kalio la maana, ogopa sana dada mwembamba mwenye kalio, anakuwa na shape tamu balaa.
Wakati fulani nilikuwa namtamani sana, wakati fulani...
Ameandika Wakili Maduhu William katika Kurasa wake wa Instagram kama ifuatavyo:
Hii page ya @ikulu_mawasiliano Nani anaeiendesha.?
Nimeona picha walizopost Mhe Rais akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri na wao wameandika ni kikao cha baraza la mawaziri.
Katika kuperuzi zile picha nikamuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.