Sisi wasomi/wanazuoni tutautumia mgomo wa kutokula wa Lissu kama Case Study ili tuone mtu anakufa baada ya siku ngapi akikaa bila kula

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Niombe watanzania asiwepo mtu wa kuingilia mgomo wa kutokula ambao anatarajia aufanye Lissu kuanzia tar. 26/10/2026.

ili kutupa nafasi sisi wasomi tuweze kubaini na kuona ni siku ngapi mtu anaweza akaishi bila kula mpaka anakufa. Sisi wasomi jukumu letu litakuwa ni kuhesabu siku tu mpaka siku na saa atakayokufa.

Hii tafiti/observation itakuwa ni msaada mkubwa kwa vizazi vya Leo na kesho.
 
Sitamani watu waingilie. Wamwache hivyo hivyo
 
U
Niombe watanzania asiwepo mtu wa kuingilia mgomo wa kutokula ambao anatarajia aufanye Lissu kuanzia tar. 26/10/2026.

ili kutupa nafasi sisi wasomi tuweze kubaini na kuona ni siku ngapi mtu anaweza akaishi bila kula mpaka anakufa. Sisi wasomi jukumu letu litakuwa ni kuhesabu siku tu mpaka siku na saa atakayokufa.

Hii tafiti/observation itakuwa ni msaada mkubwa kwa vizazi vya Leo na kesho.
Umeshindwa kutafiti kwanini CCM inashindwa kuendeleza nchi badala yake inatumia mauaji kama njia ya kuwalazimisha watu waikubali!
 
Kwa tumbo lile, mtakachopata nyie wanazuoni ni "MTU ANASHINDWA KUGOMA KULA NA KUANZA KULA TENA BAADA YA SIKU NGAPI"

Hakuna wa kuacha kula Hadi afe pale, utafiti itaangukia kwa sample isiyo sahihi.
 
Niombe watanzania asiwepo mtu wa kuingilia mgomo wa kutokula ambao anatarajia aufanye Lissu kuanzia tar. 26/10/2026.

ili kutupa nafasi sisi wasomi tuweze kubaini na kuona ni siku ngapi mtu anaweza akaishi bila kula mpaka anakufa. Sisi wasomi jukumu letu litakuwa ni kuhesabu siku tu mpaka siku na saa atakayokufa.

Hii tafiti/observation itakuwa ni msaada mkubwa kwa vizazi vya Leo na kesho.
Hapajawahi kuwa na mwanazuoni mpumb*v msen** kama wewe kimbesa
 
Niombe watanzania asiwepo mtu wa kuingilia mgomo wa kutokula ambao anatarajia aufanye Lissu kuanzia tar. 26/10/2026.

ili kutupa nafasi sisi wasomi tuweze kubaini na kuona ni siku ngapi mtu anaweza akaishi bila kula mpaka anakufa. Sisi wasomi jukumu letu litakuwa ni kuhesabu siku tu mpaka siku na saa atakayokufa.

Hii tafiti/observation itakuwa ni msaada mkubwa kwa vizazi vya Leo na kesho.
Wewe darasa la 7 wa Lumumba huna hata uwezo wa kufanya research.
 
Niombe watanzania asiwepo mtu wa kuingilia mgomo wa kutokula ambao anatarajia aufanye Lissu kuanzia tar. 26/10/2026.

ili kutupa nafasi sisi wasomi tuweze kubaini na kuona ni siku ngapi mtu anaweza akaishi bila kula mpaka anakufa. Sisi wasomi jukumu letu litakuwa ni kuhesabu siku tu mpaka siku na saa atakayokufa.

Hii tafiti/observation itakuwa ni msaada mkubwa kwa vizazi vya Leo na kesho.
Na wewe ni msomi!
 
Back
Top Bottom