lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Hapaswi hata Kidogo kurejea Uraiani Kwa sababu kwa Kauli zake Amesababisha Maumivu kwa Familia Nyingi Sana . Anastahili Adhabu kaliiii

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu mtu hapaswi hata kidogo kurejeshwa ama kurejea Mitaani Kwa sababu kwa kauli na Maneno yake ya kupandikiza chuki uchonganishi na kuhamasisha ghasia na uvunjifu wa amani Amesababisha Maumivu na vilio kwa Familia nyingi sana hapa Nchini. Amepoteza wengi sana na...
  2. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Bila kuwa na katiba imara na yenye nguvu Lissu angekuwa bado anaropoka ujinga mitaani

    Mwanasiasa/mwanaharakati chunga sana mdomo wako, chama chako/hao wafadhiri wako ni wadogo sana kuliko nchi ya Tanzania. Tanzania ni kubwa kuliko chama chako kabla hujaongea jua kuwa Kuna Sheria, kama vile Sheria cybercrime act, 2015 na nyingine nyingi ambazo zipo kwaajili ya kulinda maadili...
  3. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Siasa za udalali zilikoma pale Lissu alipokua mwenyekiti wa Chadema

    Pamoja na mapungufu ya Lissu kama mwanadamu. Nampongeza kwa kutusandia kujua kwamba kuna watu walikua wanaishi kwa kufanya siasa za kuuza roho za watu na kupata pesa za kuendesha biashara zao . Kuna vijana...
  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wamemtelekeza Tundu Lissu Gerezani?

    Kwa mda mrefu nimekua nikifuatilia Sakata la Tundu Lissu naona Chama chake hakijafanya vya kutosha katika kumpigania awe huru na badala yake Wanaharakati ndiyo wamekua wakimpazia sauti. Hatua ya yeye Kutangaza kugoma kula ilikua inaonesha anajibambania mwenyewe japo naye ali ulaghai Umma kwani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini LEMA hakuwa shahidi wa LISSU?

    Kwanini LEMA hakuwa shahidi wa LISSU? Kama kweli LEMA anaaminiwa na Lissu kama alivyosema
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa Lema leo angekuwa uraiani. Why strategic engagement and not rule of law?

    Lissu yupo gerezani sio kwa sababu hawezi kupiga simu kwa Samia bali kwa sababu anapigania utawala wa sheria, hapiganii uhuru wake peke yake anapigania uhuru na haki ya watu wengine. Kama angekuwa anajipigania, leo hii angekuwa Ulaya anakula maisha na familia yake. Lema ni mbinafsi Lema ni...
  7. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania CHADEMA shtukeni, kuna mkakati wa kumhukumu Lissu kifungo cha miaka 5, hadi 2031

    Endapo taarifa hizi toka vyanzo vya ndani ni za kweli; basi tuna safari ngumu sana kuelekea mbele. Mark this thread, ni Ijumaa tu (siku si nyingi)
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lema ni mnufaika wa Siasa za Mbowe hataziweza siasa za Lissu

    Inner circle ya uongozi wa Mbowe ilikuwa ni Lema, Msigwa, Sugu, Bon Yai alikuwepo na Mzee Kibao na Lissu kabla hajakerwa Hawa kila aliyewapinga walimpachika usaliti na wameumiza watu wengi sana na ndio maana hata wakati wanashughulikiwa tokea na Magufuli wanachama wengi waliwaacha wapambane...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Lema amedokeza jambo Fulani kuhusu hatma ya Lissu

    Amedokeza kuwa, Inaweza kutokea Lissu akahukumiwa Kifungo Kisha akaja kuachiwa baada ya kukata rufaa. Inaweza kuwa aliropoka tu.
  10. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Lema amedokeza kuwa Lissu atahukumiwa kifungo, kisha atakata rufaa kutoka gerezani!

    Huko Lilongwe, Malawi. Kutoka kwe ye korido za siasa, Mhina Panduja a.k.a Toto Tundu atakutwa na hatia then baadae Gavana atasema amemsamehe lengo abaki jinai yake maisha yake yote. Yajayo hayafurahishi.😰
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ccm acheni upumbavu aliyekufa leo ni mwaccm mwenzenu ingawa alidai yeye ni wa Nyerere sio wenu nyie matapeli toeni pole tu kwa familia ya Lissu mbona.

    Mbona Lissu alimpa pole Samia hata alipokuwa jera? Nawakumbusha tu alute ni mwanaccm mkongwe jamani toeni pole .
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nilimpinga lema wakati anamuunga mkono lissu mkanibeza

    Wakati wa uchaguzi ndani ya chadema nilimpinga sana Lema, niliona mbali sana. Mnaona sasa? Kikowapi?
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Lema, Lissu alikosea sana kukuamini. Ni vile hotuba yako umeitoa ukifahamu hatoachiliwa Nov 6. Sina hakika kama atakuja kukusamehe

    Mh Mwenyekiti Lissu, Kama angekua anataka Maridhiano ,asingekubali kukaa Jela miaka miwili. Asingeyakaa Yale Mabilioni. Asingewaonya mnaomtembelea Lissu Usiku. Asimgetafuta Ukweli, Haki, Uwajibikaji . Harakati za Mwenyekiti Lissu, kama zingeyatizama maisha yake binafsi, Basi asingetafuta...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wale wafuasi wa kile chama cha saisa cha kushangilia vifo vya wanasiasa, watu mashuhuri na waja wa Allah, walio na maoni tofauti na yao?

    Mbona mko kimya sana leo na hamuonekani kushangilia? Au muda wa kushangilia bado? Au pengine bado mungu wenu hajawapandisha mihemko na kuwapa ujasiri na furaha ya kushangilia kifo cha mwanasheria nguli na mdau wa siasa mashuhuri kilichotokea leo nchini? In fact, ni kitu nonsense sana...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tumesema mara zote, Lema Huwa anaongea na Akina Mafwele , ndio Dalali Kati ya Familia ya Lissu na LISSU.

    Simmemsikia mwenyewe ?. Huyu ndie Huwa napewa habari za uhakika zà nani atakufa ,alafu anakuja kujifanya anatoa utabiri !!!. Simmesikia ,anasema aliongea na Nchimbi.?.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Lema: Nimewahi kufanya kikao na Nchimbi aongee na bosi wake Lissu aruhusiwe kuongea na Viongozi wenzake

    Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Novemba 1, 2026, Jijini Arusha, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema; "Mimi nishawahi kufanya kikao nasema hapa na makamu rais aliyetoka madarakani na kikao hicho ni kwenye njia ya simu. Nikafanya na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania nitatuma maombi kwa viongozi wangu wa Kanisa Katoliki kuomba uanzishwe mchakato wa kumtangaza Tundu Lissu kuwa MTAKATIFU

    Majira yakifika, mimi nitatuma maombi kwa viongozi wangu wa Kanisa Katoliki kuomba uanzishwe mchakato wa kumtangaza Tundu Lissu kuwa MTAKATIFU. Kama hatajisalimisha mpaka mwisho, naamini atafaa kutangazwa kama MTAKATIFU.
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Lema , Lissu aliyekuteua anataka haki, hataki Upendeleo, CHADEMA haitaki Maridhiano bila Ukweli, UWAZI, Uwajibikaji, Siasa za kidalali zilikoma Jan 21

    Nimesikia kupitia Mitandao ya Kijamii, Kesho una Kikao na Wananchi !! . Kama ambavyo MBOWE amedharaulika ndivo unaenda kua !!. Je NCHI Hiii Kuna Mwanasiasa ambaye angechagua kua sehemu ya CCM asingelikua Bilionea zaidi ya LISSU? Huyu Lissu huyu angetaka kua Makamo wa Rais Serikali ya Umoja...
  19. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Countdown Zimebaki Siku 7 kuifikia Hukumu ya Tundu Lissu

    Huu uzi ni mahususi kwa kuCountdown siku zilizosalia mpaka kufikia humuku ya Jemedari Tundu Lissu TUTAKUWEPO
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Haki 10 za mahabusu ambazo Mahakama ilimnyima Lissu

    Lissu hakujitetea kwa ukamilifu kutokana na baadhi ya haki zake kama mshitakiwa kukiukwa aidha na mahakama ama magereza. 1. Haki ya kuongea na mawakili wake. KANYIMWA 2. Haki ya kupata mashahidi anaowataka. KANYIMWA 3. Haki ya kutoteswa. KANYIMWA, alilalamika kuwekewa kamera hadi chooni. 4...
Back
Top Bottom