Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Kwa mda mrefu nimekua nikifuatilia Sakata la Tundu Lissu naona Chama chake hakijafanya vya kutosha katika kumpigania awe huru na badala yake Wanaharakati ndiyo wamekua wakimpazia sauti.
Hatua ya yeye Kutangaza kugoma kula ilikua inaonesha anajibambania mwenyewe japo naye ali ulaghai Umma kwani mpaka sasa kisayansi alitakiwa awe ameaga dunia kwa kutokula chakula kwa siku nane mfululizo.
Ni utapeli huu ndiyo ulisababisha watanzania wakauawa katika machafuko ya 2025 na sasa hata mashabiki na wanachama wao wanaonekana kuchoshwa kwani kumekua na majibu ya kejeli John Mnyika alipouambia umma kuwa wamuunge Mkono Tundu Lissu kutokula wengi waliona John Mnyika kama Tapeli na Kachanganyikiwa.
Je, Tundu Lissu baada ya kufungwa na Kuachiwa kwa rufaa ataanzisha Chama Chake cha Siasa?