Yeriko Nyerere ametoa uchambuzi kuhusu mkutano wa Godbless Lema na waandishi wa habari uliofanyika juzi, akidai kuwa mkutano huo ni miongoni mwa viashiria vinavyothibitisha kuwa Tundu Lissu ndiye mtuhumiwa namba moja kuhusishwa na maafa na mauaji ya Oktoba 29, 2025.
Soma Pia: Yeriko Nyerere...
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu mtu hapaswi hata kidogo kurejeshwa ama kurejea Mitaani Kwa sababu kwa kauli na Maneno yake ya kupandikiza chuki uchonganishi na kuhamasisha ghasia na uvunjifu wa amani Amesababisha Maumivu na vilio kwa Familia nyingi sana hapa Nchini.
Amepoteza wengi sana na...
Kwa mda mrefu nimekua nikifuatilia Sakata la Tundu Lissu naona Chama chake hakijafanya vya kutosha katika kumpigania awe huru na badala yake Wanaharakati ndiyo wamekua wakimpazia sauti.
Hatua ya yeye Kutangaza kugoma kula ilikua inaonesha anajibambania mwenyewe japo naye ali ulaghai Umma kwani...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limeonya dhidi ya Makundi ya Watu wanaodaiwa kuhamasishana kufanya vurugu, fujo na vitendo vya kihalifu ifikapo Novemba 6, 2026 siku ya hukumu ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane...
Huyu dada anaweza kuwa na mapungufu yake kama binadamu, lakini yuko vizuri sana kichwani.
Ukisikiliza majibu yake kuhusu matamshi ya Lema, utanielewa na ninahakika hata Lissu yatamfariji na kumtia moyo wa kupambana zaidi.
Inawzekana Lema amekata tamaa na kutafuta short cut akamini atamsaidia...
Imagine alikuwa anaongozwa na madalali wa siasa ila akawa mvumilivu akijua iko siku atakomesha huo mfumo
Mbowe na madalali wenzake wameshapoteana
Lema alijijengea heshima kwa muda mrefu ametumia miez michache sana kuifuta
Aibu
Mwenyekiti ni Mtu mmoja aliyejipambanua yeye ni nani na kusudi lake la kua hivo alivyo ni lipi!!.
Habari za kuwafata fata Àkina Abduli, Samia, Kikwete n.k kwamba 'Unaouwezo wa kuwashawishi Ndugu au Lissu mwenyewe kukubaliana na CCM' ... Mkome mara Moja .
Mnakula Hela za CCM kwa Jina la TUNDU...
Wakili Allute Lissu Mughwai ambaye ni kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefariki usiku wa kuamkia Leo Novemba 1, 2026.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Dada yake aitwaye Rose Masesa pindi alipozungumza na Jambo TV.
Jambo TV ilipotaka kufahamu chanzo cha kifo chake Rose...
Kwa namna kesi ilivyoendeshwa kuanzia kumkamata, kumfikisha mahakamani, mpaka mashahidi wa mchongo kwenda kutoa ushahidi wao, ni wazi kuwa hata mtoto mdogo anaona hapo tunapotezewa muda tu, hakuna kesi wala nini, hivyo hawawezi kumkuta na hatia.
Lakini kumuachia Lissu nayo ni risk nyingine...
Bingwa wa Siasa Freeman Aikael Mbowe baada ya Kushika madaraka ya Uwenyekiti wa CHADEMA ndiyo atakua Mhimili wa CHADEMA katika Maridhiano ndiye atasaidia Tundu Lissu na John Heche kuachiliwa huru baada ya kusota gerezani kwa mda fulani.
Bingwa huyu wa siasa za upinzani bado ana ushawishi mkubwa...
Kaka wa Tundu Lissu, ambaye anaitwa Alute Mughwai Lissu amefichua kwamba mnamo mwezi Disemba mwaka jana 2025, aliwahi kufuatwa na moja ya viongozi wa juu wa Serikali, akimtaka kuandika barua kwa ajili ya kumuombea msamaha Lissu ili kesi yake ya uhaini iweze kumalizika kibinadamu.
Mzee Alute...
Kuna taarifa inayosambaa kupitia mitandao ya kijamii iliyotolewa Oktoba 26, 2026 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Brenda Rupia ikijulisha umma kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameanza mgomo wa kula chakula kuanzia Oktoba 26, 2026...
Jeshi la Magereza nchini Tanzania limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amegoma kula chakula akiwa gerezani na kwamba mawakili wake watatu wamezuiwa kumuona.
Akitoa taarifa kwa umma...
Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anatarajiwa kuanza mgomo wa kula leo, akipinga kile ambacho mawakili wake na chama chake wanaeleza kuwa ni ukiukwaji wa haki yake ya kuwasiliana kwa faragha na wanasheria wake akiwa mahabusu, wakati akisubiri hukumu ya kesi ya uhaini...
23 October 2026
Ikunga, Singida
Tanzania
MSIKILIZE HUYU MZEE WA CHADEMA ANENA MAMBO MAZITO KUSU KESI YA TUNDU LISSU, HAKI ITENDEKE
https://m.youtube.com/watch?v=GxLhVIJw8WI
Mzee atoa nasaha nzito mkumbuke haki isipotendeka waheshimiwa majaji ...
Mzee mnajua maana ya Jamhuri, Jamhuri ni Nani ...
Mpendwa wetu Tundu Lissu ametangaza mgomo wa kula na kunywa kushinikiza kutimizwa haki zake kama zilivyoamriwa na mahakama.
Sasa jeshi la Magereza Tanzania wameendelea kumnyima haki ya kuongea kwa faragha na mawakili wake.
Hivyo basi nami kwa kutambua kwamba mtetezi wa wanyonge anapita kwenye...
Nimesikia Mitandaoni Akina Rugemeleza Nshala wanasema kuwa Tundu Lissu anataka kuanza kugoma kula kuanzia Kesho. Nafahamu pia Tundu Lissu ni Mwanasheria Nguli na ameshaziona dalili za kusokotwa hiyo anapaza sauti ili asikike ni kawaida kwa mtu aliyezama kwenye maji kuhangaika kutaka kujiokoa...
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imeshinda Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo ya mwaka 2026, inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa kutambua juhudi za kutetea haki za binadamu na uhuru wa msingi.
ICC imechaguliwa mbele ya wagombea wengine wawili waliofika hatua ya mwisho, akiwemo mwenyekiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.