ICC yashinda Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo 2026

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,269
Reaction score
58,563
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imeshinda Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo ya mwaka 2026, inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa kutambua juhudi za kutetea haki za binadamu na uhuru wa msingi.

20261021PHT48333_original.jpg

ICC imechaguliwa mbele ya wagombea wengine wawili waliofika hatua ya mwisho, akiwemo mwenyekiti wa CHADEMA nchini Tanzania, Tundu Lissu, pamoja na dada wawili wa Iran, Taraneh na Romina Rahimi.

Lissu aliteuliwa kutokana na harakati zake za kutetea demokrasia, mageuzi ya katiba na uchaguzi huru na wa haki, kabla ya kukamatwa Aprili 2025 na kushtakiwa kwa uhaini, mashtaka ambayo ameyakana.

Soma pia >> Fainali Tuzo ya Sakhrov 2026: Tundu Lissu aingia Tatu Bora, Mshindi kutangazwa Oktoba 22

Tuzo hiyo imetangazwa wakati ICC ikikabiliwa na vikwazo vya Marekani dhidi ya taasisi hiyo na baadhi ya maafisa wake, huku sherehe za kukabidhi tuzo zikitarajiwa kufanyika Desemba 16, 2026, mjini Strasbourg, Ufaransa.

Via: European Parliament

===

The 2026 Sakharov Prize for Freedom of Thought is collectively awarded to the International Criminal Court (ICC) and its officials.

Announcing the 2026 laureate in the hemicycle on Thursday, European Parliament President Roberta Metsola declared: “The European Union is built on respect for multilateralism and international institutions. With the award of the Sakharov prize to the International Criminal Court and its officials, the European Parliament recognises the Court’s important work in upholding international law and justice.”

The International Criminal Court (ICC) investigates and, where warranted, tries individuals charged with the gravest crimes of concern to the international community: genocide, war crimes, crimes against humanity, and the crime of aggression.

The Court is a crucial actor in the global fight to end impunity, and through international criminal justice, it aims to hold those responsible accountable for their crimes and to help prevent these crimes from happening again. As a court of last resort, it seeks to complement national courts. Governed by an international treaty called the Rome Statute, the ICC is the world’s first permanent international criminal court.

The award highlights the ICC's work, including investigations, prosecutions, trials and the issuance or authorisation of arrest warrants.

The EU must protect the global mechanisms for international justice and accountability

In Parliament’s 2025 annual reports on the implementation of the common Foreign and Security Policy and on the human rights and democracy in the world, MEPs expressed their deep concern at the growing threats and the various waves of sanctions imposed since 2025 on the ICC, notably by the USA, as well as on its prosecutors, judges, staff and partners, considering these to be serious attacks on the international justice system.

MEPs have repeatedly called on the European Commission to activate the EU’s so-called ‘blocking statute’ to protect officials working at the ICC from extraterritorial attacks, and to enable it to continue its activities in complete independence. The blocking statute protects European operators, regardless of their size or sector of activity, by nullifying within the EU the effect of any foreign judicial decision based on foreign laws, also enabling them to seek compensation in court for damages caused by the extraterritorial application of foreign laws.

In the abovementioned reports, MEPs also welcome the continuation of the EU’s financial support for the ICC at a particularly difficult time for international justice.

With all EU member states being parties to the Rome Statute and therefore obliged to implement the decisions of the ICC, MEPs also emphasised that the growing disregard for international law and the politicisation of debates concerning international justice institutions constituted, in their view, an existential threat to the rules-based international order.

The President of the ICC and several judges visited European Parliament committees in 2025 and 2026 to explain to MEPs the consequences of US sanctions on their professional duties and their personal lives.

The Sakharov Prize for Freedom of Thought

Named after Soviet physicist and political dissident Andrei Sakharov, the Sakharov Prize for Freedom of Thought was established in 1988. It is awarded annually by Parliament to individuals or organisations in recognition of their work in one of the following areas: the defence of human and fundamental rights, in particular freedom of expression, the safeguarding of minority rights, respect for international law, the development of democracy and the defence of the rule of law.

The award ceremony for the 2026 Sakharov Prize for Freedom of Thought will take place in December in Strasbourg, during Parliament’s plenary session.
 
Na Mwandishi Wetu.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, ambaye anashtakiwa kwa makosa ya uhaini amekosa Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo ya mwaka 2026 inayotolewa na Bunge la Ulaya, baada ya tuzo hiyo kutangazwa kutolewa kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) na maafisa wake.

Tundu Lissu alikuwa miongoni mwa washindani watatu waliofika hatua ya mwisho ya tuzo hiyo, akichuana na ICC pamoja na dada wawili kutoka Iran, Taraneh na Romina Rahimi.

Tuzo hiyo ilitangazwa Alhamisi, Oktoba 22, 2026, huku Rais wa Bunge la Ulaya, Roberta Metsola, akieleza kuwa uamuzi huo unatambua mchango wa ICC katika kusimamia sheria za kimataifa na haki.

Ushindi uliopatikana kwa ICC ni ishara kubwa kwa Bunge la Ulaya kutanbua mashtaka mazito yanamkabili Tundu Lissu ambapo kama wangeamua kumpatia ushindi huenda tuzo ya Sakharov ingechafuka zaidi duniani na ukizingatia imekua ikitolewa kwa watu wasafi na wapigania haki wakweli, lakini kwa Tundu Lissu ingekua tofauti kwa sababu anakesi kubwa ya Uhaini inayomkabili na hukumu yake itatolewa tarehe 06/11/2026.
file_00000000a6b482119d4ab242e4d6df32.png
 
Kwa hiyo wameamua kumpa salamu Trump anayepambana na ICC!!

BTW:Kama hao washindani wengine wangekuwa magerezani kwa kupambania ushoga wangeikwaa hiyo tuzo.
 
Na Mwandishi Wetu.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, ambaye anashtakiwa kwa makosa ya uhaini amekosa Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo ya mwaka 2026 inayotolewa na Bunge la Ulaya, baada ya tuzo hiyo kutangazwa kutolewa kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) na maafisa wake.

Tundu Lissu alikuwa miongoni mwa washindani watatu waliofika hatua ya mwisho ya tuzo hiyo, akichuana na ICC pamoja na dada wawili kutoka Iran, Taraneh na Romina Rahimi.

Tuzo hiyo ilitangazwa Alhamisi, Oktoba 22, 2026, huku Rais wa Bunge la Ulaya, Roberta Metsola, akieleza kuwa uamuzi huo unatambua mchango wa ICC katika kusimamia sheria za kimataifa na haki.

Ushindi uliopatikana kwa ICC ni ishara kubwa kwa Bunge la Ulaya kutanbua mashtaka mazito yanamkabili Tundu Lissu ambapo kama wangeamua kumpatia ushindi huenda tuzo ya Sakharov ingechafuka zaidi duniani na ukizingatia imekua ikitolewa kwa watu wasafi na wapigania haki wakweli, lakini kwa Tundu Lissu ingekua tofauti kwa sababu anakesi kubwa ya Uhaini inayomkabili na hukumu yake itatolewa tarehe 06/11/2026.View attachment 3696216

Alipokuwa nominated hukupost chawa la buku 7.

Hata hivyo hiyo mahakama ya ICC na maafisa wake wanastahili tuzo maana soon watamshughulikia Samuya na vibaka wake .

Tuzo kama hizi alizokuwa nominated Lissu , Samuya na vibaka wake hawawezi kuwa nominated wao wana tuzo za madikteta na wauaji hatari duniani.

Samuya tuzo ya kundi lake ni hii.

Kufika 3 Bora ni ushindi pia!ICC ni jitu kubwa ambapo kuliangusha ni kazi sana!
Hongera TAL
 
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imeshinda Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo ya mwaka 2026, inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa kutambua juhudi za kutetea haki za binadamu na uhuru wa msingi.

ICC imechaguliwa mbele ya wagombea wengine wawili waliofika hatua ya mwisho, akiwemo mwenyekiti wa CHADEMA nchini Tanzania, Tundu Lissu, pamoja na dada wawili wa Iran, Taraneh na Romina Rahimi.

Lissu aliteuliwa kutokana na harakati zake za kutetea demokrasia, mageuzi ya katiba na uchaguzi huru na wa haki, kabla ya kukamatwa Aprili 2025 na kushtakiwa kwa uhaini, mashtaka ambayo ameyakana.

Soma pia >> Fainali Tuzo ya Sakhrov 2026: Tundu Lissu aingia Tatu Bora, Mshindi kutangazwa Oktoba 22

Tuzo hiyo imetangazwa wakati ICC ikikabiliwa na vikwazo vya Marekani dhidi ya taasisi hiyo na baadhi ya maafisa wake, huku sherehe za kukabidhi tuzo zikitarajiwa kufanyika Desemba 16, 2026, mjini Strasbourg, Ufaransa.

Via: European Parliament

===

The 2026 Sakharov Prize for Freedom of Thought is collectively awarded to the International Criminal Court (ICC) and its officials.

Announcing the 2026 laureate in the hemicycle on Thursday, European Parliament President Roberta Metsola declared: “The European Union is built on respect for multilateralism and international institutions. With the award of the Sakharov prize to the International Criminal Court and its officials, the European Parliament recognises the Court’s important work in upholding international law and justice.”

The International Criminal Court (ICC) investigates and, where warranted, tries individuals charged with the gravest crimes of concern to the international community: genocide, war crimes, crimes against humanity, and the crime of aggression.

The Court is a crucial actor in the global fight to end impunity, and through international criminal justice, it aims to hold those responsible accountable for their crimes and to help prevent these crimes from happening again. As a court of last resort, it seeks to complement national courts. Governed by an international treaty called the Rome Statute, the ICC is the world’s first permanent international criminal court.

The award highlights the ICC's work, including investigations, prosecutions, trials and the issuance or authorisation of arrest warrants.

The EU must protect the global mechanisms for international justice and accountability

In Parliament’s 2025 annual reports on the implementation of the common Foreign and Security Policy and on the human rights and democracy in the world, MEPs expressed their deep concern at the growing threats and the various waves of sanctions imposed since 2025 on the ICC, notably by the USA, as well as on its prosecutors, judges, staff and partners, considering these to be serious attacks on the international justice system.

MEPs have repeatedly called on the European Commission to activate the EU’s so-called ‘blocking statute’ to protect officials working at the ICC from extraterritorial attacks, and to enable it to continue its activities in complete independence. The blocking statute protects European operators, regardless of their size or sector of activity, by nullifying within the EU the effect of any foreign judicial decision based on foreign laws, also enabling them to seek compensation in court for damages caused by the extraterritorial application of foreign laws.

In the abovementioned reports, MEPs also welcome the continuation of the EU’s financial support for the ICC at a particularly difficult time for international justice.

With all EU member states being parties to the Rome Statute and therefore obliged to implement the decisions of the ICC, MEPs also emphasised that the growing disregard for international law and the politicisation of debates concerning international justice institutions constituted, in their view, an existential threat to the rules-based international order.

The President of the ICC and several judges visited European Parliament committees in 2025 and 2026 to explain to MEPs the consequences of US sanctions on their professional duties and their personal lives.

The Sakharov Prize for Freedom of Thought

Named after Soviet physicist and political dissident Andrei Sakharov, the Sakharov Prize for Freedom of Thought was established in 1988. It is awarded annually by Parliament to individuals or organisations in recognition of their work in one of the following areas: the defence of human and fundamental rights, in particular freedom of expression, the safeguarding of minority rights, respect for international law, the development of democracy and the defence of the rule of law.

The award ceremony for the 2026 Sakharov Prize for Freedom of Thought will take place in December in Strasbourg, during Parliament’s plenary session.
Inakuwaje taasisi kushindanishwa na watu?
 
Sasa wahakikishe Samia Hassan na wenzie wanafikishwa mapema mbele ya Mahakama ya ICC kujibu mashtaka ya October 2025
 
hii familia imekwama na kuzama? :pedroP:
 
Attachments

  • 550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    218 KB · Views: 8
Na Mwandishi Wetu.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, ambaye anashtakiwa kwa makosa ya uhaini amekosa Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo ya mwaka 2026 inayotolewa na Bunge la Ulaya, baada ya tuzo hiyo kutangazwa kutolewa kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) na maafisa wake.

Tundu Lissu alikuwa miongoni mwa washindani watatu waliofika hatua ya mwisho ya tuzo hiyo, akichuana na ICC pamoja na dada wawili kutoka Iran, Taraneh na Romina Rahimi.

Tuzo hiyo ilitangazwa Alhamisi, Oktoba 22, 2026, huku Rais wa Bunge la Ulaya, Roberta Metsola, akieleza kuwa uamuzi huo unatambua mchango wa ICC katika kusimamia sheria za kimataifa na haki.

Ushindi uliopatikana kwa ICC ni ishara kubwa kwa Bunge la Ulaya kutanbua mashtaka mazito yanamkabili Tundu Lissu ambapo kama wangeamua kumpatia ushindi huenda tuzo ya Sakharov ingechafuka zaidi duniani na ukizingatia imekua ikitolewa kwa watu wasafi na wapigania haki wakweli, lakini kwa Tundu Lissu ingekua tofauti kwa sababu anakesi kubwa ya Uhaini inayomkabili na hukumu yake itatolewa tarehe 06/11/2026.View attachment 3696216
:pedroP:
 
Attachments

  • IMG_6157.jpeg
    IMG_6157.jpeg
    56.6 KB · Views: 5
Back
Top Bottom