tuzo ya sakharov

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Lisu katoswa kwenye Tuzo ya Sakharov kutokana na kesi ya Uhaini inayo mkabili.

    Kutoswa kwa Lisu kwenye kinyang' anyiro cha Tuzo ya heshima ya Sakharov imesqbqbishwa na: 1. Matamshi yake aliyo yatamka ya kuhamasisha vurugu na kufanya uasi nchini. Hii sio tabia na hulka ya mpenda Demokrasia, kwa matamshi hayo ambayo dunia nzima imeyashuhudia na kuyafuatilia yamemkosesha lisu...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kila mtu angewashangaa wazungu kama Lissu angepata tuzo ya SAKHAROV

    Ndani ya EU kuna watu wajinga/corrupt/lobbists wanapenyesha hoja za kijinga kwa wajumbe wa EU ili kufanikisha agenda zao za kijinga. Sema tu wabumge wa EU wengi wao wana akili lazini, wanazipiga chini mwisho wa siku kwa kuogopa kuchekwa na dunia. Yaani Lissu amefanya nn cha maana kinachostahili...
  3. N

    JamiiForums Tanzania CCM tunafurahi kwa Lissu kukosa tuzo ya SAKHAROV ila CHADEMA na wanaharakati mnatukwaza kwa kutuuliza mwenyekiti wetu ameshika nafasi ya ngapi

    Hivi nyie CHADEMA na wanaharakati mna akili timamu kweli? Kwanini mnatuuliza swali lisilo na jibu kuhusu mwenyekiti wetu na nafasi aliyoshika kwenye tuzo za Sakhrov? Tunajua Mabeberu hawakumpendekeza '🪑 man' wetu bingwa wa demokrasia na uchaguzi huru Tanzania sababu wanajua angeshinda kwa...
  4. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mbona hamsemi kuwa mmebwagwa kwenye tuzo ya Sakharov?

    Hii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo. Licha ya chadema kukesha kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli. Sababu iliyowanyima...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania BUNGE LA ULAYA LAMTOSA TUNDU LISSU, AANGUKIA PUA TUZO YA SAKHAROV 2026

    Na Mwandishi Wetu. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, ambaye anashtakiwa kwa makosa ya uhaini amekosa Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo ya mwaka 2026 inayotolewa na Bunge la Ulaya, baada ya tuzo hiyo kutangazwa kutolewa kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu...
  6. Manyanza

    JamiiForums Tanzania ICC yashinda Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo 2026

    Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imeshinda Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo ya mwaka 2026, inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa kutambua juhudi za kutetea haki za binadamu na uhuru wa msingi. ICC imechaguliwa mbele ya wagombea wengine wawili waliofika hatua ya mwisho, akiwemo mwenyekiti...
Back
Top Bottom