CHADEMA mbona hamsemi kuwa mmebwagwa kwenye tuzo ya Sakharov?

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Hii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo.

Licha ya chadema kukesha kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli.

Sababu iliyowanyima tuzo chadema ni kuendekeza dysfunctional politics Africa.

Hata Mimi nilijua tu Ile tuzo hamuwezi kushinda mmezidi mno UTAPELI.

Mmechangisha watu hela kwaajili ya mkutano mkuu ... matokeo yake Hela zimeliwa na mkutano mkuu haujafanyika anyway ngoja niache.
 
Hii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo.

Licha ya chadema kushinda kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli

Hata Mimi nilijua tu Ile tuzo hamuwezi kushinda mmezidi mno UTAPELI.

Mmechangisha watu hela kwaajili ya mkutano mkuu ... matokeo yake Hela zimeliwa na mkutano mkuu haujafanyika anyway ngoja niache.
Kwani waliomba kushiriki? Au wazungu ndio waliopendekeza?
 
Lissu ni mshindi,kufikia hatua kuwania tuzo na taasisi kubwa kama ICC,ni heshima kubwa kwake na Kwa taifa kwa ujumla!
Ni sawa na Taifa stars ifike fainili dhidi ya Spain,itolewe!
Huo bado ni ushindi!
Kuna mwingine katuletea tuzo ya "Tyrant of the year"!
 
Hii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo.

Licha ya chadema kushinda kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli.

Sababu iliyowanyima tuzo chadema ni kuendekeza dysfunctional politics Africa.

Hata Mimi nilijua tu Ile tuzo hamuwezi kushinda mmezidi mno UTAPELI.

Mmechangisha watu hela kwaajili ya mkutano mkuu ... matokeo yake Hela zimeliwa na mkutano mkuu haujafanyika anyway ngoja niache.
Kinachoniuma mama yetu mpendwa Sami nguli wa demokrasia nchini hakuingia hata kwenye kumi bora
 
Lissu ni mshindi,kufikia hatua kuwania tuzo na taasisi kubwa kama ICC,ni heshima kubwa kwake na Kwa taifa kwa ujumla!
Ni sawa na Taifa stars ifike fainili dhidi ya Spain,itolewe!
Huo bado ni ushindi!
Kuna mwingine katuletea tuzo ya "Tyrant of the year"!
Alijipendekeza tu Wala hawakumtaka agombee
 
Hii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo.

Licha ya chadema kushinda kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli.

Sababu iliyowanyima tuzo chadema ni kuendekeza dysfunctional politics Africa.

Hata Mimi nilijua tu Ile tuzo hamuwezi kushinda mmezidi mno UTAPELI.

Mmechangisha watu hela kwaajili ya mkutano mkuu ... matokeo yake Hela zimeliwa na mkutano mkuu haujafanyika anyway ngoja niache.
Wewe ni mwalimu takataka.
Ni wapi uliona CHADEMA wamewekwa kugombea hiyo tuzo!!?

Kuna ndugu Manyanza ameweka uzi https://www.jamiiforums.com/threads...a-uhuru-wa-mawazo-2026.2486141/#post-57095098 tangu saa saba mchana wa leo, hujauona au ndio uzwazwa!!???
 
Alijipendekeza tu Wala hawakumtaka agombee
Duuuh,watu mna wivu sana!Mtu yuko gerezani wakati anapendekezwa na kuingizwa kwenye mchakato wa kuwania tuzo!
Huo wivu na chuki kwa Lissu unatoka wapi?
 
Hii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo.

Licha ya chadema kushinda kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli.

Sababu iliyowanyima tuzo chadema ni kuendekeza dysfunctional politics Africa.

Hata Mimi nilijua tu Ile tuzo hamuwezi kushinda mmezidi mno UTAPELI.

Mmechangisha watu hela kwaajili ya mkutano mkuu ... matokeo yake Hela zimeliwa na mkutano mkuu haujafanyika anyway ngoja niache.
we utakua wa kike🌈🌈🌈
 
Duuuh,watu mna wivu sana!Mtu yuko gerezani wakati anapendekezwa na kuingizwa kwenye mchakato wa kuwania tuzo!
Huo wivu na chuki kwa Lissu unatoka wapi?
Viongozi wa chadema ndo walikuwa wanakesha kwenye email za speaker wa bunge la Ulaya
 
jitahidi kumkongole lisu baba ako kijiji hata kwenye sifa yakuwa mzee mashuhuri hayumo

Lisu anashindanishwa na taasisi kama ICC harafu hapa unaleta uharowako
 
Kwenye list ya walioshindanishwa Lissu hayumo ni AI,
USIFANANISHE MZEE WANGU NA TAKATAKA LA UFIPA
 
Viongozi wa chadema ndo walikuwa wanakesha kwenye email za speaker wa bunge la Ulaya
Si umesema alijipendekeza?Lissu kaingia top 3 ya hizo tuzo kwa mwaka huu!Ni heshima kubwa kwake na Kwa taifa kwa ujumla!
Ikumbukwe, nominees ni kutoka duniani kote!Yaani dunia yote,Lissu kaingia top 3!
Amazing!!!
 
Eti heshima kubwa 🤣
Mmetutia aibu watanzania.... hopeless
 
Hii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo.

Licha ya chadema kushinda kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli.

Sababu iliyowanyima tuzo chadema ni kuendekeza dysfunctional politics Africa.

Hata Mimi nilijua tu Ile tuzo hamuwezi kushinda mmezidi mno UTAPELI.

Mmechangisha watu hela kwaajili ya mkutano mkuu ... matokeo yake Hela zimeliwa na mkutano mkuu haujafanyika anyway ngoja niache.
CHADEMA CHADEMA CHADEMA

Mkuu ! Kwanini mnatoa sana milio ? Kama vipi waambieni wakubwa wenu kifuteni CHADEMA mbaki nyinyi tu
 
Back
Top Bottom