mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Dawati la jinsia Police Tanzania lina kazi gani ilhali kuna maafisa wa Ustawi wa jamii kila kata?? Mbona kesi za labor hazina dawati kituo cha Police?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Police Tanzania wao wana-deal na jinai (Crimes), masuala ya jinsia na watoto ni masuala ya maafisa wa Ustawi wa jamii waliopo karibia kila kata ndani ya tarata husika?? Sasa lile dawati la jinsia katika ofisi ya OCS na OCD lina maana gani?? Mbona hakuna dawati la kesi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Leo kuna nini, Mbona Barabara ya Morogoro Road hasa maeneo ya kimara mpaka ubungo kuna magari makubwa ya Polisi pamoja na polisi wengi wenye silaha?

    Toka majira ya asubuhi ,nimeshuhudia uwepo wa askari polisi wengi wenye silaha kwenye hii barabara! Je kuna shida yoyote?
  3. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Mnashangaa kuhusu Lema, mbona mtashangaa sana?

    Pale chadema Kuna cream ya DJ imebaki MMM MAYAI TAITA Hata Professor ni kwasababu ya afya tuu imezorota lakini yule nae yupo kundi hili. Kabla ya mwaka kuisha hao nliowataja hapo wataonyesha rangi zao. Nyie wapumbavu sisi ccm chini ya daktari Samia (PhD) tuna njia zaidi ya laki2 za kucheza...
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ccm acheni upumbavu aliyekufa leo ni mwaccm mwenzenu ingawa alidai yeye ni wa Nyerere sio wenu nyie matapeli toeni pole tu kwa familia ya Lissu mbona.

    Mbona Lissu alimpa pole Samia hata alipokuwa jera? Nawakumbusha tu alute ni mwanaccm mkongwe jamani toeni pole .
  5. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mbona hamtuletei dagaa mchele huku Sikonge?

    Huku tunapambana tunawaletea asali. Siyo sisi tu, huko Mbeya wanapambana mnapata mchele. Njombe wanajitahidi kuwaletea viazi mle chips. Kanda ya ziwa wanawaletea ng'ombe. Nyinyi kinawashinda nini kutuletea dagaa mchele? Jumla ya eneo lote la bahari la Tz ni zaidi ya Km za eneo laki mbili. Ziwa...
  6. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kama mwisho wa haya yote, ni kifo, mbona watu wana hofu?

    Kama wewe hauna importance yoyote katika ulimwengu huu kwanini uishi kwa hofu? Unajua fika kabisa una muda mchche, ila bado utakuta unatumia muda mwingi kuwaza sijui wataniwazaje? Kama mwisho ni kifo, why not live the life you really want? Nini tatizo? Hasa sisi waafrika tunapenda sana...
  7. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania Nini kimempata shilole na shishi food yake mbona kama umaarufu wa biashara yake ya chakula umeporomoka?

    Shilole nini kimekupata mama au siku hizi unapika chakula kibovu au ndo Yale Yale badala ya kuweka juhudi zaidi kwenye biashara Yako ww umeweka juhudi ya kuwa mpiga vigelegele mashuhuri wa serikali ya mama Samia ukisubiria kuteuliwa kwenye nyadhifa mbali mbali? Watu walivyochoma mgahawa wako...
  8. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 29 Oktoba 2026: Mbona serikali inaogopa TEC kuwaombea wauaji?

    Mapadre wawili, Stanslaus Muyebe na Alex Muyebe (2001), katika kitabu chao kiitwacho “The African Bishops on Human Rights: A REsource Book,” wanafafanua misimamo thabiti ya Maaskofu Kuhusu wajibu wetu wa kukuza na kuhami haki za binadamu, zikiwemo haki za kidini. Kuhusu haki za kidini, Muyebe...
  9. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mbona hamsemi kuwa mmebwagwa kwenye tuzo ya Sakharov?

    Hii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo. Licha ya chadema kukesha kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli. Sababu iliyowanyima...
  10. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tumeng'ang'ania uchumi wa frame za maduka? Mbona hata ufugaji unalipa?

    Mwanzoni sikuwa na exposure kabisa niliamini Frame ndio njia pekee ya kupata ukwasi, vijana wamefata mkumbo huo huo kijana ana mtaji wa million 5 anaenda kulipia Frame 1.5M per year anafatilia vibali laki 5 yote inaisha huko bado hajafanya decoration dukani mwisho anabaki na million 2.5 baada...
  11. O

    JamiiForums Tanzania TRUE Mbona unatupewa watoto wako tena haugopi coffin

    The statement in the image is real and accurately attribute the remarks to Homabay Town Mp Peter Kaluma
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Hivi elimu ya sasa imefeli au akili zetu zimegoma? Mbona zamani walisoma vitabu viwili tu na wakabadilisha dunia?

    Wakuu salama! Kuna kitu kimeniamusha asubuhi ya leo nikawa nawaza sana hapa kijiweni. Hivi mshajiuliza kwanini wafalme na viongozi wa zamani (kama akina Mfalme Sejong wa Korea au hata akina Mansa Musa) walikuwa wanasoma vitabu vichache sana, lakini walikuwa wanaitwa ma-genius na walifanya mambo...
  13. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulitegemea tusikie uchaguzi wa Rais mpya wa TLS sasa mbona kimya, sasa tutafanyaje uchunguzi wa tuhuma wakati mhusika bado yupo ofisini?

    Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS. Matukio ya Rais wa...
  14. O

    JamiiForums Tanzania WATAALAMU WA BEAT MBONA MIMI NAHISI NYIMBO NYINGI ZA SOUTH HASA AMAPOANO NA KWAITO HAZINA SAUTI NZURI YA WAIMBAJI KATIKA USIKIVU KAMA BONGOFLEVA

    je hii ni shida au ndo maamuzi yao wazalishaji wa nyimbo hizo maana unakuta jitu linacheza club ukiliuliza ni kinaimba. Nlasambaa, nakasolembwaa x2 kah yaani sauti iko chini biti kuliko bongofleva atleast inakuwa juu ya biti au ni style sio kwamba wanakosea
  15. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Jamani mbona tumekuwa wakatili hivi?

    Watoto wadogo wanauawa kinyama,Kwa kosa gani? Kama una kosa labda na mzazi si Bora udeal nae mwenyewe? Mpaka Sasa sipati jibu. Mtoto Raiyan wa Zanzibar anaesoma kidato Cha kwanza alipotea akaja kuokotwa kakatwa mikono kauwawa. Jana mbagala mtoto wa miaka 6 Amour alikuwa anatafutwa Leo kakutwa...
  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mungu kama anataka tuishi kwake, mbona anaendeleza dunia?

    Hizi imani zenu kila siku mtaambiwa kwa mungu kuna bikra 74,kwa mungu kuna rahaa,kwa mungu mapipa ya pombe,kwa mungu kuna kuimba na kucheza. Huyu mungu kama ana mapenzi na dunia kwa nini asifanye stop ya dunia tujue moja. Maana hata huko alishindwa kumzibiti mdogo wangu shetani.
  17. O

    JamiiForums Tanzania WAKUU BOS BRELA MBONA INASUMBUA KUVALIDATE NIDA

    wakuu mmesolve vipi hii changamoto inaload tu kisha inajifunga haileti maswali ya kujibu
  18. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar ni wazembe na wachafu sana.

    Nakumbuka kipindi ndo nina fika jiji la Dar.. Piga hesabu nikalipia chumba cha elf 60 single, Oya cha ovyo kinyama. Basi, nikaoneshwa pale kuwa wa au taratibu wa kulipia umeme elf 15! Maji na na taka elf5 so inakuwa ujumla elf 80. Nikawalipa, chumba kilikuwa haija kamilika, father house...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, wakamateni Dotto Magari na Dudu Baya muwashikilie kwa muda. Mbona Tanzania tunaenda kuwa taifa la kijinga kiasi hichi??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Juzi hapa Waziri Katambi aliwaita baadhi ya wasanii akiwemo Dudu Baya na Dotto Magari. Dotto alienda, Dudu Baya akagoma. Dotto alipewa somo la maadili mema, Dudu baya akapewa summons/arrest warrant ya Polisi. Dudu Baya hakukamatwa, Dotto Magari akaachana na somo la...
  20. livingroom_espionage

    JamiiForums Tanzania Nasikia Vise mchawi ni Kili tu, akipiga tano tu. Tumswalie Mtume. Lakini mbona vijana wa GSM sio walevi sasa kuna shida gani wakuu ?

    Ndio Maana yule kijana wenu anaitwa NURUVUZI watu wamvutia kasi tu anavyofanya ngonjera zake. Wewe hujui hapa JF tunakaa na wandewa.. Nawasilisha
Back
Top Bottom