Mnashangaa kuhusu Lema, mbona mtashangaa sana?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Pale chadema Kuna cream ya DJ imebaki

MMM
MAYAI
TAITA

Hata Professor ni kwasababu ya afya tuu imezorota lakini yule nae yupo kundi hili.

Kabla ya mwaka kuisha hao nliowataja hapo wataonyesha rangi zao.

Nyie wapumbavu sisi ccm chini ya daktari Samia (PhD) tuna njia zaidi ya laki2 za kucheza na akili za manyumbu.

Kikwazo kwetu Ingekua kama Kuna wananchi wenye akili timamu na wenye umoja ambao sio waoga kama kunguru, lakini mnawategemea wanaharakati na chadema, tutawaburuza sana aiseee.

Naioa ccm ikitawala Tanzania ndani ya miaka 1000 ijayo

Nyie wapumbavu endeleeni kubishana kuhusu mambo ya simba na yanga na mambo ya kina zuchu na diamond ndio akili zenu zilipoishia.
 
Very stupid.
Kuua watu wasio na hatia wakiwemo wanawake na watoto ni sehemu ya hizo mbinu laki2 za CCM?
Vijana wadogo lakini akili zimewaoza, bila shaka mkishazeeka mtaishia uchawi tu.
So sad
 
Pale chadema Kuna cream ya DJ imebaki

MMM
MAYAI
TAITA

Hata Professor ni kwasababu ya afya tuu imezorota lakini yule nae yupo kundi hili.

Kabla ya mwaka kuisha hao nliowataja hapo wataonyesha rangi zao.

Nyie wapumbavu sisi ccm chini ya daktari Samia (PhD) tuna njia zaidi ya laki2 za kucheza na akili za manyumbu.

Kikwazo kwetu Ingekua kama Kuna wananchi wenye akili timamu na wenye umoja ambao sio waoga kama kunguru, lakini mnawategemea wanaharakati na chadema, tutawaburuza sana aiseee.

Naioa ccm ikitawala Tanzania ndani ya miaka 1000 ijayo

Nyie wapumbavu endeleeni kubishana kuhusu mambo ya simba na yanga na mambo ya kina zuchu na diamond ndio akili zenu zilipoishia.
Kuwaita wananchi manyumbu kwa sababu ya mitazamo yao ya kisiasa ni dharau kwa watu unaodai kuwa unawaongoza. Wananchi si mali ya chama chochote. Unapojivunia kuwa na mbinu laki mbili za kuchezea akili za wananchi, unaonyesha nini kuhusu imani yako kwa hoja na sera? Kutawala miaka 1,000 ni matamanio yako binafsi, si dhamana ya kisiasa. Mamlaka hutokana na ridhaa ya wananchi. Kutaja majina ya watu na kutabiri wataonyesha rangi zao si ushahidi; kama una taarifa, ziweke wazi. CHADEMA si watu wachache unaowataja, ni taasisi yenye wanachama, historia na misingi yake. Demokrasia si umiliki wa chama kimoja, bali ni ushindani wa hoja, sera na ridhaa ya wananchi. Tanzania si mali ya CCM wala CHADEMA. Wananchi si manyumbu wa kuchezewa akili; wao ndio wenye mamlaka ya kuamua nani awaongoze. Kelele na majigambo haviwezi kuchukua nafasi ya hoja na uwajibikaji.
 
Kawaida sana,

CDM pia ilifanikiwa kumuingiza Msig... CCM Kwa kazi hiyo hiyo.

Ni kawaida katika ujasusi wa kichama,

Sasa waliomo siwasemi wengine wengi
 
Pale chadema Kuna cream ya DJ imebaki

MMM
MAYAI
TAITA

Hata Professor ni kwasababu ya afya tuu imezorota lakini yule nae yupo kundi hili.

Kabla ya mwaka kuisha hao nliowataja hapo wataonyesha rangi zao.

Nyie wapumbavu sisi ccm chini ya daktari Samia (PhD) tuna njia zaidi ya laki2 za kucheza na akili za manyumbu.

Kikwazo kwetu Ingekua kama Kuna wananchi wenye akili timamu na wenye umoja ambao sio waoga kama kunguru, lakini mnawategemea wanaharakati na chadema, tutawaburuza sana aiseee.

Naioa ccm ikitawala Tanzania ndani ya miaka 1000 ijayo

Nyie wapumbavu endeleeni kubishana kuhusu mambo ya simba na yanga na mambo ya kina zuchu na diamond ndio akili zenu zilipoishia.

Daaah! Umetubonda sana
 
Kuna kitu nawaza eti baada Samia na muda wake kiutawala kuisha nipo nawaza watu kwenye jukwaaa kma akina
KAVULATA
LUCUS MCHAMBA WIMA
TLATLA KICHAA
NA WAPUUZI WENGINE
sijui watakuqa wanafanya nni baada ya hapo na je ikija kutokea ushaidi ya maupuuz yalio fanyika watakuwa wanaongea nn maana naona kma MALAYA HIVI NA WATUMWA WA KIFIKRA NA KIMAWAZO MAAAN KWELI HAWAONI UBAYA NA MABAYA YOTEEE yanayofanyika kweli
 
Pale chadema Kuna cream ya DJ imebaki

MMM
MAYAI
TAITA

Hata Professor ni kwasababu ya afya tuu imezorota lakini yule nae yupo kundi hili.

Kabla ya mwaka kuisha hao nliowataja hapo wataonyesha rangi zao.

Nyie wapumbavu sisi ccm chini ya daktari Samia (PhD) tuna njia zaidi ya laki2 za kucheza na akili za manyumbu.

Kikwazo kwetu Ingekua kama Kuna wananchi wenye akili timamu na wenye umoja ambao sio waoga kama kunguru, lakini mnawategemea wanaharakati na chadema, tutawaburuza sana aiseee.

Naioa ccm ikitawala Tanzania ndani ya miaka 1000 ijayo

Nyie wapumbavu endeleeni kubishana kuhusu mambo ya simba na yanga na mambo ya kina zuchu na diamond ndio akili zenu zilipoishia.
Unashabikia upumbavu tuu
 
Back
Top Bottom