kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Lema amedokeza kuwa Lissu atahukumiwa kifungo, kisha atakata rufaa kutoka gerezani!

    Huko Lilongwe, Malawi. Kutoka kwe ye korido za siasa, Mhina Panduja a.k.a Toto Tundu atakutwa na hatia then baadae Gavana atasema amemsamehe lengo abaki jinai yake maisha yake yote. Yajayo hayafurahishi.😰
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Mnashangaa kuhusu Lema, mbona mtashangaa sana?

    Pale chadema Kuna cream ya DJ imebaki MMM MAYAI TAITA Hata Professor ni kwasababu ya afya tuu imezorota lakini yule nae yupo kundi hili. Kabla ya mwaka kuisha hao nliowataja hapo wataonyesha rangi zao. Nyie wapumbavu sisi ccm chini ya daktari Samia (PhD) tuna njia zaidi ya laki2 za kucheza...
  3. Rungwe88

    JamiiForums Tanzania Lema amekua Panya sasa, anang'ata na kupuliza

    Nimesikiliza baadhi ya tuhuma, ushauri, mtazamo n.k alivyotoa Lema kuhusu mambo, vitu, watu n.k ila kwa kifupi ni kwamba maongezi yake ni dhaifu sana ikizingatiwa yametolewa na mtu kama yeye aliye kwenye siasa kwa miongo kadhaa. Nitaelezea badae udhaifu wake ila kwa sasa nitakazia hoja yangu...
  4. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Naomba nitolee ufafanuzi kuhusu ile mada ya Chupa yenye maji ya MOTO

    Najua wengi hawakunielewa kwanini niliamka nikaanza kuuliza au kujiuliza swali fikirishi la kidadisi lenye kuonekana km kwamba ni swali la kitoto. Lakini ni ukweli ulio wazi lile sio swali la kitoto ni swali ambalo watu wamekaa wakalofanyia uchunguzi wa kina. Sasa ipo hivi; Maji ya kwenye...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha Wapata Elimu kuhusu Rasimu ya Katiba ya Fungamano la Kisiasa la EAC

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu Rasimu ya Katiba ya Fungamano la Kisiasa la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali mkoani Arusha, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuongeza uelewa na kuwaandaa wananchi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania KERO Tarime: Malalamiko kuhusu ukosefu wa uwazi na haki katika zoezi la upimaji wa madini Kijiji cha Nkerege

    Ninaandika kama mwananchi wa Kijiji cha Nkerege, Wilaya ya Tarime, kueleza masikitiko yangu kuhusu namna zoezi la upimaji wa madini lilivyotekelezwa katika kijiji chetu na utaratibu uliotumika kugawa fidia kwa Wananchi walioathirika. Kabla ya zoezi kuanza, kulikuwa na makubaliano kwamba...
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu Uliza swali lolote kuhusu mafundisho ya Wasabato utajibiwa kwa usahihi kabisa

    Asili na Kuanzishwa: Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) lilianzia mkoani Mbeya (Igale, Mbalizi) mnamo mwaka 1939, likitokana na uamsho wa Kipentekoste uliotokea Azuza nchini Marekani. [ Uongozi wa Kiasilia: Mwaka 1967, umissioni wa wageni ulikabidhi madaraka kwa viongozi wazawa, na...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu Uliza swali lolote kuhusu mafundisho ya Wasabato utajibiwa kwa usahihi kabisa

    Wadau hamjamboni nyote? Kwa wenye hoja yeyote kuhusu itikadi za kisabato au swali au ufafanuzi karibuni sana
  9. Sigara Kali

    JamiiForums Tanzania Niulize kuhusu ugonjwa sugu wa Figo(CKD) na dialysis

    Uliza chochote kuhusu ugonjwa sugu wa Figo na matibabu ya dialysis nipo hapa kukujibu
  10. vivian

    JamiiForums Tanzania Nilichokutana nacho leo kwenye Mataa ya Morocco kimenitafakarisha sana Kuhusu Askari Polisi wa Tanzania

    Leo, tarehe 30/10/2026, majira ya saa 12:00 asubuhi, nilikuwa napita maeneo ya mataa ya Morocco. Kama tunavyofahamu, kutokana na shughuli za ujenzi zinazoendelea katika eneo hilo, mara nyingi nyakati za asubuhi taa za kuongozea magari hazifanyi kazi, hali inayosababisha madereva kutumia utashi...
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mzee Mohamed Said aandike kitabu kuhusu kiongozi Muislamu aliyeua maelfu ya Watanzania akiwa madarakani

    Mzee wetu Mohamed Said ambaye kila kukicha anazungumzia kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika na kudai kuwa nafasi ya waislamu kwenye uhuru haikuandikwa vyema asisahau kuandika kuhusu kiongozi katili wa kiislamu aliyevunja rekodi ya mauaji ya raia october 29. Pia asisahau kuandika historia ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Maandiko yanasemaje kuhusu utoaji wa mahari katika ndoa

    Maandiko yanasemaje kuhusu utoaji wa mahari katika ndoa Kuna maswali kadhaa ambayo baadhi ya watu huulizana mara kwa mara. Mifano: Je ulipwaji wa mahari ina ulazima wowote? Je ni agizo la kibiblia? Na kama ni hivyo, je Adamu alitoa mahari kwa nani ili ampate Hawa? Mahari ni zawadi ya harusi...
  13. min -me

    JamiiForums Tanzania Kuhusu maoni yangu binafsi kwa warembo wa jf😅

    Nilitoa maoni yangu binafsi, nilio ona nipisi kali niliwataja selfika 😊,pisi mbovu pia zilikuwepo kwa maoni yangu😅😅 , haya ni maoni binafsi mno 🤣 yalichukuliwa kwa uzito na makasiriko sijui kwanini😅😅 Kwamba zile mamsi zote ni kali? Acheni ufala namnitoe kwenye huo mkumbo wa kipumbavu...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Askari wa Barabarani Arusha wanatunyanyasa sisi madereva Bajaj

    Mimi ni mkazi wa Arusha. Kero yangu inahusu baadhi ya askari wa usalama barabarani (trafiki) ambao wanatunyanyasa sisi madereva wa bajaji. Kuna maeneo ya Arusha mjini ambayo haturuhusiwi kuingia, licha ya kuwa maeneo hayo ndiyo yenye fursa nyingi za kupata riziki. Tukiingia maeneo hayo na...
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Babati watakiwa kuelimisha jamii kuhusu uhifadhi, mabadiliko ya tabianchi

    Babati. Wanafunzi 40 wa shule za sekondari zilizopo katika eneo la Hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori Burunge (Burunge WMA), wilayani Babati, Mkoa wa Manyara, wametakiwa kutumia elimu waliyoipata kuhusu uhifadhi na mabadiliko ya tabianchi kuelimisha jamii za vijijini. Wanafunzi hao wametakiwa...
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu?

    TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu? TBC hivi kutekwa KWA TWAHA MWAIPAYA sio habari kwenu?
  17. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi naona mimi au nirudie tena kuhusu CCM na kashfa za nchi za watu E.Africa.

    Ukifika tinde pale ndio utajua kuwa kwa nini Congo ,rwanda , uganda na sudani yule jamaa alikuwa tajiri na kuwashika maraisi mmoja wapo huyu bi msumi. Yoyote kama ni mtetezi wa huu ushenzi wa CCM kumbuka ukijitoa au kustaafu wanakufa na wewe.
  18. BABU NYAU

    JamiiForums Tanzania Mambo Kumi kuhusu Denzel Trainer hadi kukutana na Doumbia wa Mnyama Simba 🦁..

    Baada ya Doumbia kutikisa nyavu zilianza kusambaa video za kiungo huyo akipewa mazoezi na mkufunzi wa mazoezi Godfrey Mkinga maarufu kama Denzel.. Dar es Salaam. Wiki hii imekuwa tamu kwa mashabiki wa soka na burudani baada ya mshambuliaji wa Simba SC 🦁, Ibrahim Doumbia, Oktoba 21, 2026 kuanza...
  19. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ufafanuzi zaidi kuhusu wale mabikra 72 walioko peponi 😎

    Kuambiwa peponi Kuna mabikra 72 kumenfurahisha, lakini Wala hakujafanya nisahau kuuliza maswali ya msingi kuwahusu. Nataka nijue yafuatayo: Je, mabikra hao wana makalio makubwa yaani qeboz? Je, watakuwa ni weusi weupe? Je, ukipewa wazungu, ambao kwa kawaida hawana qeboz, unaruhusiwa...
  20. adriz

    JamiiForums Tanzania Millennials ndio Kizazi kilichofeli zaidi katika malezi ya watoto

    Moja kwa moja ; Tunapozungumzia Millennials tunamaanisha wale waliozaliwa kuanzia 1981 mpaka 1996 , kumekuwa na trending ya kulaumu watoto katika mmomonyoko wa maadili na kusahau chanzo kikuu ambacho ni wazazi wao . Millennials wengi ndio wamezaa watoto waliozaliwa kuanzia 2010 walioanza...
Back
Top Bottom