Nilichokutana nacho leo kwenye Mataa ya Morocco kimenitafakarisha sana Kuhusu Askari Polisi wa Tanzania

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
Leo, tarehe 30/10/2026, majira ya saa 12:00 asubuhi, nilikuwa napita maeneo ya mataa ya Morocco. Kama tunavyofahamu, kutokana na shughuli za ujenzi zinazoendelea katika eneo hilo, mara nyingi nyakati za asubuhi taa za kuongozea magari hazifanyi kazi, hali inayosababisha madereva kutumia utashi wao na wakati mwingine mwenye nguvu ndiye anayepita.

Nikiwa hapo, nilishuhudia kundi kubwa la waendesha pikipiki (Bodaboda) wakiwa wamesimama katikati ya barabara. Walikuwa wakishirikiana kumbeba dada mmoja na kumtoa barabarani, ambaye inaonekana alikuwa amepata ajali ya pikipiki. Pikipiki moja ilikuwa imelala chini, ishara kwamba kulikuwa na ajali iliyotokea.

Kilichonisikitisha zaidi ni kuona kundi la askari, wasiopungua ishirini, wakiwa upande wa pili wa barabara wakiendelea na shughuli zao, huku wananchi wakihangaika kumsaidia majeruhi katikati ya barabara na magari yakiendelea kupita, jambo lililowaweka kwenye hatari zaidi.

Kwa kweli, nilijiuliza: Je, katika mazingira kama haya, si jukumu la askari kusaidia kudhibiti magari, kulinda eneo la ajali na kuwezesha majeruhi kupata msaada wa haraka?

Huu si wakati wa kulaumiana, bali ni wakati wa kukumbushana wajibu na utu. Maisha ya binadamu yana thamani kubwa.

It's so Bad!!!
 
Kumlaumu mtu anae kataa kutimiza wajibu wake bila sababu za msingi, haiepukikii mkuuu.

Ifike mahali mfumo wa mafunzo ya polisi wa hiii Tanganyika yabadilike. Usalama wa raia na mali zao iwe somo la Vitendo na sio nadharia kama ilivyo sasaa.

Kuna maaana gani kua na polisi ambao ambao usalama wa rai sio kipaumbele?. Wao wanajiona ni watawala wakati ki msingi wao ni walinzi tuuu
 
Leo, tarehe 30/09/2026, majira ya saa 12:00 asubuhi, nilikuwa napita maeneo ya mataa ya Morocco. Kama tunavyofahamu, kutokana na shughuli za ujenzi zinazoendelea katika eneo hilo, mara nyingi nyakati za asubuhi taa za kuongozea magari hazifanyi kazi, hali inayosababisha madereva kutumia utashi wao na wakati mwingine mwenye nguvu ndiye anayepita.

Nikiwa hapo, nilishuhudia kundi kubwa la waendesha pikipiki (Bodaboda) wakiwa wamesimama katikati ya barabara. Walikuwa wakishirikiana kumbeba dada mmoja na kumtoa barabarani, ambaye inaonekana alikuwa amepata ajali ya pikipiki. Pikipiki moja ilikuwa imelala chini, ishara kwamba kulikuwa na ajali iliyotokea.

Kilichonisikitisha zaidi ni kuona kundi la askari, wasiopungua ishirini, wakiwa upande wa pili wa barabara wakiendelea na shughuli zao, huku wananchi wakihangaika kumsaidia majeruhi katikati ya barabara na magari yakiendelea kupita, jambo lililowaweka kwenye hatari zaidi.

Kwa kweli, nilijiuliza: Je, katika mazingira kama haya, si jukumu la askari kusaidia kudhibiti magari, kulinda eneo la ajali na kuwezesha majeruhi kupata msaada wa haraka?

Huu si wakati wa kulaumiana, bali ni wakati wa kukumbushana wajibu na utu. Maisha ya binadamu yana thamani kubwa.

It's so Bad!!!
Kundi la askari 20 ina maana walikua na jukumu kingine swali ni je hapakua na askari wa usalama barabarani eneo hilo?? Kwa kipindi hiki MAMBO SIO RAHISI KIASI HICHO MKUU MSIFIKIRIE NDANI YA BOX PEKEE.
 
Leo, tarehe 30/10/2026, majira ya saa 12:00 asubuhi, nilikuwa napita maeneo ya mataa ya Morocco. Kama tunavyofahamu, kutokana na shughuli za ujenzi zinazoendelea katika eneo hilo, mara nyingi nyakati za asubuhi taa za kuongozea magari hazifanyi kazi, hali inayosababisha madereva kutumia utashi wao na wakati mwingine mwenye nguvu ndiye anayepita.

Nikiwa hapo, nilishuhudia kundi kubwa la waendesha pikipiki (Bodaboda) wakiwa wamesimama katikati ya barabara. Walikuwa wakishirikiana kumbeba dada mmoja na kumtoa barabarani, ambaye inaonekana alikuwa amepata ajali ya pikipiki. Pikipiki moja ilikuwa imelala chini, ishara kwamba kulikuwa na ajali iliyotokea.

Kilichonisikitisha zaidi ni kuona kundi la askari, wasiopungua ishirini, wakiwa upande wa pili wa barabara wakiendelea na shughuli zao, huku wananchi wakihangaika kumsaidia majeruhi katikati ya barabara na magari yakiendelea kupita, jambo lililowaweka kwenye hatari zaidi.

Kwa kweli, nilijiuliza: Je, katika mazingira kama haya, si jukumu la askari kusaidia kudhibiti magari, kulinda eneo la ajali na kuwezesha majeruhi kupata msaada wa haraka?

Huu si wakati wa kulaumiana, bali ni wakati wa kukumbushana wajibu na utu. Maisha ya binadamu yana thamani kubwa.

It's so Bad!!!
Thamani ya maisha ha mtu Tanzania iko chini sana.

Ndiyo maana balozi za nchi za nje zinatoa pole kwa Watanzania October 29, lakini serikali ya Tanzania imekaa kimya.

Tushazoea kuuana mtu akifa tunaona "It's just another person dead".

Hakuna utu tena.
 
Askari wa usalama barabarani wamegeuka kuwa wakusanya tozo barabarani zisizo na risiti. Usalama barabarani sio jukumu lao tena
 
Leo, tarehe 30/10/2026, majira ya saa 12:00 asubuhi, nilikuwa napita maeneo ya mataa ya Morocco. Kama tunavyofahamu, kutokana na shughuli za ujenzi zinazoendelea katika eneo hilo, mara nyingi nyakati za asubuhi taa za kuongozea magari hazifanyi kazi, hali inayosababisha madereva kutumia utashi wao na wakati mwingine mwenye nguvu ndiye anayepita.

Nikiwa hapo, nilishuhudia kundi kubwa la waendesha pikipiki (Bodaboda) wakiwa wamesimama katikati ya barabara. Walikuwa wakishirikiana kumbeba dada mmoja na kumtoa barabarani, ambaye inaonekana alikuwa amepata ajali ya pikipiki. Pikipiki moja ilikuwa imelala chini, ishara kwamba kulikuwa na ajali iliyotokea.

Kilichonisikitisha zaidi ni kuona kundi la askari, wasiopungua ishirini, wakiwa upande wa pili wa barabara wakiendelea na shughuli zao, huku wananchi wakihangaika kumsaidia majeruhi katikati ya barabara na magari yakiendelea kupita, jambo lililowaweka kwenye hatari zaidi.

Kwa kweli, nilijiuliza: Je, katika mazingira kama haya, si jukumu la askari kusaidia kudhibiti magari, kulinda eneo la ajali na kuwezesha majeruhi kupata msaada wa haraka?

Huu si wakati wa kulaumiana, bali ni wakati wa kukumbushana wajibu na utu. Maisha ya binadamu yana thamani kubwa.

It's so Bad!!!
TanPol ni walinzi wa usalama wa wakubwa na mali zao.
 
Kuwa askari hakumfanyi mtu kuwa mkarimu au muungwana automatically. Uungwana na roho za huruma ni karama kutoka kwa Mungu. Ni kitu ambacho mtu huzaliwa nacho.

Kuna askari ni waumgwana sana ila ni wachache mnoo.
 
Kumlaumu mtu anae kataa kutimiza wajibu wake bila sababu za msingi, haiepukikii mkuuu.

Ifike mahali mfumo wa mafunzo ya polisi wa hiii Tanganyika yabadilike. Usalama wa raia na mali zao iwe somo la Vitendo na sio nadharia kama ilivyo sasaa.

Kuna maaana gani kua na polisi ambao ambao usalama wa rai sio kipaumbele?. Wao wanajiona ni watawala wakati ki msingi wao ni walinzi tuuu
Wapo askari waumgwana na wenye roho njema sana, ila ni wachache. Tusifanye generalization, tutakuwa tunawakosea wengine wenye karama za uungwana na ukarimu.
 
Thamani ya maisha ha mtu Tanzania iko chini sana.

Ndiyo maana balozi za nchi za nje zinatoa pole kwa Watanzania October 29, lakini serikali ya Tanzania imekaa kimya.

Tushazoea kuuana mtu akifa tunaona "It's just another person dead".

Hakuna utu tena.
We're not a developed country. We're rather a developing country. Huko ulipo wana 250 years since independence. Sisi tuna 65 years.
 
You are not even a developing country.

Wakati wa Nyerere Tanzania literacy rates zilikaribia kufika 100%, hususan wakati wa Elimu ya Watu Wazima, hata wale wazee wa zamani walifundishwa kusoma na kuandika wakajua.

Sasa hivi Tanzania kuna mikoa literacy rates zipo chini ya 75%. Maana yake, kuna mikoa Tanzania, kati ya watu wanne, mmoja hajui kusoma na kuandika.

How is that developing?
 
Back
Top Bottom