Nilichokutana nacho leo kwenye Mataa ya Morocco kimenitafakarisha sana Kuhusu Askari Polisi wa Tanzania

Nilichokutana nacho leo kwenye Mataa ya Morocco kimenitafakarisha sana Kuhusu Askari Polisi wa Tanzania

Yeah, Tanzania maisha ya mtu hayana thamani especially kwa hii awamu ya Samia
Ila hapo kwa kuzoea kuuana, mbona na huko Marekani tunasikia watu wanauana sana. Kama mwaka huu tu kufikia robo ya tatu ya mwaka kuna vifo 9700 vya risasi Marekani na zaidi ya majeruhi 18000. Jana tu kuna mwanafunzi wa Ghana amepigwa risasi na vijana wenzake The Bronx, New York
Seems hata kwenye some developed countries watu wamezoea kuuana
acha kunyanganya gun violence na mauaji ya kupangwa na dola kama yale ya mwaka jana
wali mtamu msiba wa jiran
 
acha kunyanganya gun violence na mauaji ya kupangwa na dola kama yale ya mwaka jana
wali mtamu msiba wa jiran
Nimeongelea jamii "kuzoea kuuana" kiasi cha kuona mauaji kitu cha kawaida
Serikali ya Samia inaua watu na sidhani kama kuna Mtanzania anayeona ni kawaida. Ni vile tu wananchi hawana final say ila hakuna anayeona hayo mauaji kama kitu cha kawaida
 
Nimeongelea jamii "kuzoea kuuana" kiasi cha kuona mauaji kitu cha kawaida
Serikali ya Samia inaua watu na sidhani kama kuna Mtanzania anayeona ni kawaida. Ni vile tu wananchi hawana final saying ila hakuna anayeona hayo mauaji kama kitu cha kawaida
sawa kaka nmekupata vyema hakuna aliesalama Tanzania
walianza na CDM
wakaja wanaharakati
wakaenda kwa mwenzao -Polepole
wakapiga risas watu majumban

nan atamsemea nan?
 
Leo, tarehe 30/10/2026, majira ya saa 12:00 asubuhi, nilikuwa napita maeneo ya mataa ya Morocco. Kama tunavyofahamu, kutokana na shughuli za ujenzi zinazoendelea katika eneo hilo, mara nyingi nyakati za asubuhi taa za kuongozea magari hazifanyi kazi, hali inayosababisha madereva kutumia utashi wao na wakati mwingine mwenye nguvu ndiye anayepita.

Nikiwa hapo, nilishuhudia kundi kubwa la waendesha pikipiki (Bodaboda) wakiwa wamesimama katikati ya barabara. Walikuwa wakishirikiana kumbeba dada mmoja na kumtoa barabarani, ambaye inaonekana alikuwa amepata ajali ya pikipiki. Pikipiki moja ilikuwa imelala chini, ishara kwamba kulikuwa na ajali iliyotokea.

Kilichonisikitisha zaidi ni kuona kundi la askari, wasiopungua ishirini, wakiwa upande wa pili wa barabara wakiendelea na shughuli zao, huku wananchi wakihangaika kumsaidia majeruhi katikati ya barabara na magari yakiendelea kupita, jambo lililowaweka kwenye hatari zaidi.

Kwa kweli, nilijiuliza: Je, katika mazingira kama haya, si jukumu la askari kusaidia kudhibiti magari, kulinda eneo la ajali na kuwezesha majeruhi kupata msaada wa haraka?

Huu si wakati wa kulaumiana, bali ni wakati wa kukumbushana wajibu na utu. Maisha ya binadamu yana thamani kubwa.

It's so Bad!!!
Je,
ulikua unafahamu jukumu la hao askari zaidi ya ishirini uliowaona hapo pembeni wakiendelea na majukumu yao kadiri ya maelezo yako?🐒
 
Je,
ulikua unafahamu jukumu la hao askari zaidi ya ishirini uliowaona hapo pembeni wakiendelea na majukumu yao kadiri ya maelezo yako?🐒
kuna jukumu kubwa askari zaidi ya kulinda RAIA na MALI ZAO mkuu?
 
kuna jukumu kubwa askari zaidi ya kulinda RAIA na MALI ZAO mkuu?
ndio,
wana majukumu zaidi ya hayo gentleman,

huenda kwasababu huyafahamu,
labda ndio maana ukashangaa na kusikitika, but haukua sahihi 🐒
 
Kwahiyo wewe uliungana na askari kuwashangaa boda boda wakitoa msaada???
Au nawewe ulikuwa busy na gari lako kama wao walivyokuwa busy na bunduki zao???
 
Je,
ulikua unafahamu jukumu la hao askari zaidi ya ishirini uliowaona hapo pembeni wakiendelea na majukumu yao kadiri ya maelezo yako?🐒
Nilikua nafikiri unaigiza kumbe kweli hauna akili kabisa
 
Nilikua nafikiri unaigiza kumbe kweli hauna akili kabisa
muerevu na mwenye akili sana,
mbona mihemko useless jukwaani badala ya kutoa maoni yangu huru dhidi ya hoja mahususi mezani?🐒
 
muerevu na mwenye akili sana,
mbona mihemko useless jukwaani badala ya kutoa maoni yangu huru dhidi ya hoja mahususi mezani?🐒

you a real Imbecile and a true meaning of a gullible person.
 
you a real Imbecile and a true meaning of a gullible person.
you can perceive, call, name or insult me as you wish,

but it's just hot air for we political scientist 🐒
 
you can perceive, call, name or insult me as you wish,

but it's just hot air for we political scientist 🐒

They said Dont Argue with a fool because people may not notice the difference.
 
They said Dont Argue with a fool because people may not notice the difference.
rest in peace then without unnecessary mayhem and useless chesthumping, and I think it will be much better gentleman 🐒
 
Umesha ambiwa vyombo vyote vya ulinzi n usalama ni mali y CCM. Na police wako sawa kuto wasaidia wananchi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kila mtu hana muda na hao bodaboda,si wenye magari wala polisi.
 
Hata wao wakipata ajal mnapita kama amuwaon hamuwasaidii nao bnadam wanajskia kutengwa mfano gar ya mahabusu kuna mkoa iv kanda ya kat ilipat ajal watu wanatoa wafungwa ndo wanawap msada askar wanawatazama nafkir tumefkia pabay inabd weny mamlaka waingilie kat wawek mamb sawa wananch waone polis rafk na polis nao waone raia ndio kpaumbele cha wao kuwalinda sio viongoz tu ote wapip kodi
 
Back
Top Bottom