An askari (from Somali, Swahili and Arabic عسكري ʿaskarī, meaning soldier, or military) was a local soldier serving in the armies of the European colonial powers in Africa, particularly in the African Great Lakes, Northeast Africa and Central Africa. The word is used in this sense in English, as well as in German, Italian, Urdu and Portuguese. In French, the word is used only in reference to native troops outside the French colonial empire. The designation is still in occasional use today to informally describe police, gendarmerie and security guards.During the period of the European colonial empires in Africa, locally recruited soldiers designated as askaris were employed by the Italian, British, Portuguese, German and Belgian colonial armies. They played a crucial role in the conquest of the various colonial possessions, and subsequently served as garrison and internal security forces. During both World Wars, askari units also served outside their colonies of origin, in various parts of Africa, the Middle East and Asia. In South Africa the term refers to former members of the liberation movements who defected to the Apartheid government security forces.
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Wadogo zangu wa shule za kata, ninaangalia sana videos zenu zinazo trend kula Facebook na Instagram mkifurahia kuwa huru na kurudi mitaani kufanya mambo yenu freely (Delinquent Juveniles)
Tii sheria za nchi (Tanzania) bila shurti. Mkuu wa upelelezi (OC-CID) wale ni...
Leo, tarehe 30/10/2026, majira ya saa 12:00 asubuhi, nilikuwa napita maeneo ya mataa ya Morocco. Kama tunavyofahamu, kutokana na shughuli za ujenzi zinazoendelea katika eneo hilo, mara nyingi nyakati za asubuhi taa za kuongozea magari hazifanyi kazi, hali inayosababisha madereva kutumia utashi...
Mpelelezi wa kesi inayomkabili daktari wa binadamu, Conrad Kahyoza, ameiambia Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kuwa mshtakiwa huyo alikiri kumshambulia askari wa Usalama Barabarani, F.8886 Sajenti Andrew, katika mahojiano ya polisi.
Koplo Samwel wa Kituo cha Polisi Oysterbay, ambaye ni shahidi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wamefariki dunia baada ya kujeruhiwa katika mapambano na askari wa polisi eneo la Kijenge, jijini Arusha.
Watuhumiwa hao ni Yusuph Hamis, maarufu kama Yuzo, na Dickson...
Waisraeli 2 wamefariki kutokana na majeraha yao kufuatia shambulio la kigaidi katika Makutano ya Judea kwenye Njia ya 35, karibu na Hebron, huko Judea na Samaria (Ukingo wa Magharibi) huku wengine 3 wakijeruhiwa, akiwemo 1 aliyejeruhiwa kwa kiasi na 2 aliyejeruhiwa kidogo.
Magaidi wawili wa...
Hapa Charambe Magengeni kuna baadhi ya Askari Polisi wa Kituo cha Maturubai wanaodaiwa kushirikiana na mgambo kuwakamata vijana wa mtaa wetu na kuwabambikia kesi. Inadaiwa kuwa vijana wasipotoa pesa, hufungwa pingu na kupelekwa Kituo cha Maturubai.
Baada ya kufikishwa kituoni, baadhi ya askari...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia askari wa Wanyama pori (TANAPA) watatu, askari wa Maliasili ( TFS) sita na askari Mgambo wanne kwa tuhuma za mauaji ya watu wanne (04) yaliyotokea huko katika kijiji cha Kanyamika kata ya Karambi Tarafa ya Kimwani Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera...
Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa Rais wa awamu ya tano aliagiza askari wa kike wasivae sketi na zibadilishwe wavae suruali.
Yalikuwa ni maamuzi sahihi sana hasa kwa trafiki wa kike ambao sketi kuna muda zilikuwa zinawapa shida kwenye utekelezaji wa majukumu wao.
Sasa awamu hii, naona...
Magufuli alipoingia alileta unemployment ya kiasi kikubwa sana. Majeshi ambayo ndiyo yalikuwa yakiajiri kwa wingi kutoka JKT hayakuweza kuajiri au yaliajiri kwa number chache sana.
Kuficha aibu akaipa promo SUMA JKT ili ichukue vijana wanaotemwa JKT wakalinde ofisi za umma kwa ujira kiduchu...
Mwaka 1998 nilienda kwenye majaribio ya kuwa askari police, tukakimbia nikashinda nikawa wa kwanza wenzangu nikawaacha mbali sana, wakufunzi wakaniambia hizo mbio ni za MWIZI sio za ASKARI....
Malume
Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli.
Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda usalama wa raia na mali zao kwa kuimarisha doria, misako na operesheni mbalimbali za wahalifu pamoja na usalama barabarani, na kuendelea kushirikisha wananchi katika kubaini, kuzuia na kudhibiti uhalifu...
Wananchi wamekuwa na hasira na wamechoka.
Wanapambana na askari wa vyombo vya dola. Siku raia wakiwawazidi nguvu askari itakuwaje?
Huko Tabora naambiwa wananchi wametembea na Ak 47.
Video ikimuonyesha askari akivutana au unaweza kusema kupigana na mmoja ya mwanachi.
Watu waliokuwa eneo la tukio wanahoji kwani amefanya kosa gani lakini bado polisi hao wawili walikuwa wanalazimisha mwananchi huyo kuingia kwenye gari lao.
Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) anayefahamika kwa jina la Gift Eliaika (34) mkoani Tabora (pichani), ni miongoni mwa watu sita waliouawa baada ya baadhi ya wananchi kuvamia kambi ya askari waliokamata mifugo ya wananchi kutokana mifugo hiyo kudaiwa kuingia hifadhini...
Jeshi la Polisi mkoani Tabora limeanza uchunguzi wa tukio la kuuawa kwa watu sita, wakiwemo askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Walinzi wa Hifadhi za Vijiji (VGS) na madereva wawili, baada ya kuvamiwa na kundi la wananchi katika Hifadhi ya Wanyamapori Iswagala, iliyopo...
Dereva wa gari kubwa amelalamikia vikali hatua ya askari wa usalama barabarani kuwakata pointi kwenye leseni zao kutokana na ubovu wa magari ambayo ni ya kampuni. Amesema kuwa adhabu hiyo inawanyima fursa ya kuendelea kufanya kazi na kuhudumia familia zao pale pointi hizo zinapomalizika, huku...
Askari wanapopewa ripoti ya uhakika kuwa wafanyavurugu wamevamia vituo vya polisi kuua polisi na kupora silaha na sare za jeshi la polisi unadhani anaepewa ripoti hiyo atatuma askari kwenye tukio la kuzima vurugu waliobeba virungu, filimbi na pingu tu? Hapohapo kumbuka askari wengi walikuwa...
Swali la pili.
Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.
Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Mambo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.