Tabora: Watu 6 ikiwemo askari wauawa, silaha ya kivita AK-47 yachukuliwa

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Posts
24,847
Reaction score
61,886
Jeshi la Polisi mkoani Tabora limeanza uchunguzi wa tukio la kuuawa kwa watu sita, wakiwemo askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Walinzi wa Hifadhi za Vijiji (VGS) na madereva wawili, baada ya kuvamiwa na kundi la wananchi katika Hifadhi ya Wanyamapori Iswagala, iliyopo Kijiji cha Utimle, Wilaya ya Sikonge.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Twaha Lulengelule, amewaambia waandishi wa habari jioni hii kuwa kundi la wafugaji lilivamia kambi ya askari wa doria likiwa na silaha za jadi.

Amesema wakati wa tukio hilo, askari walikuwa wakishirikiana na maafisa wengine wa Halmashauri katika operesheni ya kukamata mifugo iliyoingizwa kinyume cha sheria ndani ya hifadhi hiyo.

Kwa mujibu wa Kamanda Lulengelule, kundi hilo liliwashambulia askari na watu wengine waliokuwapo, kisha kuchoma moto gari aina ya Land Cruiser na kuchukua silaha moja ya kivita aina ya AK-47.

Amesema watu wengine watano walijeruhiwa katika tukio hilo na kwamba Polisi inaendelea na uchunguzi ili kuwabaini waliohusika na kuwachukulia hatua kwa mujibu wa sheria.

Wajifunze kitu hapo.Hata yule unayedhani na kumchukulia mjinga tu huwa ana akili zake.Wasiwaonee,kuwapiga hadi kuwaua kiholela wananchi wanaoishi au kukatiza maeneo ya hifadhi.Hakuna bunduki inayoweza kumdhibiti binadamu aliye kata tamaa na kuongozwa na hasira zilizovuka viwango.
 
Jeshi la Polisi mkoani Tabora limeanza uchunguzi wa tukio la kuuawa kwa watu sita, wakiwemo askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Walinzi wa Hifadhi za Vijiji (VGS) na madereva wawili, baada ya kuvamiwa na kundi la wananchi katika Hifadhi ya Wanyamapori Iswagala, iliyopo Kijiji cha Utimle, Wilaya ya Sikonge.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Twaha Lulengelule, amewaambia waandishi wa habari jioni hii kuwa kundi la wafugaji lilivamia kambi ya askari wa doria likiwa na silaha za jadi.

Amesema wakati wa tukio hilo, askari walikuwa wakishirikiana na maafisa wengine wa Halmashauri katika operesheni ya kukamata mifugo iliyoingizwa kinyume cha sheria ndani ya hifadhi hiyo.

Kwa mujibu wa Kamanda Lulengelule, kundi hilo liliwashambulia askari na watu wengine waliokuwapo, kisha kuchoma moto gari aina ya Land Cruiser na kuchukua silaha moja ya kivita aina ya AK-47.

Amesema watu wengine watano walijeruhiwa katika tukio hilo na kwamba Polisi inaendelea na uchunguzi ili kuwabaini waliohusika na kuwachukulia hatua kwa mujibu wa sheria.
2030 ndio itakuwaa finsh

Watu wamechoka unasisitiza ufugaji and unazuia malisho 😭
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un:CouldYouNot:​

Uprising
 
Ni sawa ila retaliation itakayopigwa hilo eneo! Sijui kwa kweli, hiyo AK ipatikane haraka la sivyo Ile wanaitaga task force ikifika huko watakufa watu na watakimbia kijiji hadi bunduki ipatikane.
Hautakuwa MWISHO. Always kuna revenge baadae. HATA YA OCTOBER USIFIKIRI YAMEISHA. IPO SIKU UTASIKIA MSHINDO MKUU
 
Back
Top Bottom