ak-47

  1. Last Seen

    Nigeria: Mchungaji apanda madhabahuni na silaha aina ya AK-47

    Polisi nchini Nigeria wanamshikiria mchungaji wa kanisa la 'House on the rock' kwa kupanda madhabahuni na bunduki aina ya Ak-47. Mchungaji huyo anayetambulika kwa jina la Uche Aigbe alitenda kosa hilo mnamo tarehe 13 februari 2023 katika misa ya pili ya kanisa hilo. Polisi jijini Lagos...
Back
Top Bottom