Swali kwa IGP, nani aliyeruhusu askari polisi kuingia mitaani na silaha za kivita

Swali kwa IGP, nani aliyeruhusu askari polisi kuingia mitaani na silaha za kivita

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Swali la pili.

Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.

Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.

Mambo ni mengi.
 

Attachments

  • IMG-20260911-WA0000.jpg
    IMG-20260911-WA0000.jpg
    143.1 KB · Views: 28
Swali la pili.

Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.

Mambo ni mengi.
Je,
aliekubeba ufala wa kifikra na kukushawishi wewe na kaka yako mkawa kama wendawazimu na kwenda kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, ofisi za umma na makazi ya watu, na mkadhani maafisa usalama watawakenulia tu, ni nani hasa miongoni mwa AZAKI? :NoGodNo:
 
Je,
aliekubeba ufala wa kifikra na kukushawishi wewe na kaka yako mkawa kama wendawazimu na kwenda kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, ofisi za umma na makazi ya watu, na mkadahi maafisa usala watawakenulia tu ni nani hasa miongoni mwa AZAKI? :NoGodNo:
Wewe mkata viuno huko kote lissu alikuwepo? Au uvccm hamnazooo
 
Back
Top Bottom