Swali kwa IGP, nani aliyeruhusu askari polisi kuingia mitaani na silaha za kivita

Swali kwa IGP, nani aliyeruhusu askari polisi kuingia mitaani na silaha za kivita

Sasa hapa unajikamata mwenyewe, kwahiyo unakubali, IGP. CDF, na DCI watapinga kuwa case hii sio uhaini? Kwa kuambatana na lissu na kuikana serikali iliyowapa vyeo?

Hivi unajua kwanini wanadanganya wamesafiri nje ya nchi, ili hali wako hapa hapa mjini?

Sanuka wewe. Lol.
Umeona, mwanzo alisema maswali ya polisi hayahusiani na uhaini wa Lissu sasa anakiri shahidi anaulizwa chochote kutest credibility yake.
 
Ila Inahusiana na mambo binafsi ya Heche? Hivi huko CCM uwe kada, ni lazima nati za ubongo zilegee au?
We Mpumbavu hiyo ndiyo Cross Examination no stone shall left unturned na mahakama ndiyo inayoamua kama swali halina msingi palepale majaji wanalipiga chini elimu Elimu Elimu hebu Tafuta Tanzania Evidence Act TEA ya RE 2023 usome japo siyo rahisi sisi tumepita pita huko na ndiyo maana tunaona mpaka sasa Lissu Jahazi Limezama.
 
😂😂😂 kwanza nimechekaa!!
Unadhani hao watu wenu watakua upande wa lissu na kuwaacha nyie mliowapa vyeo??.

Sasa kwa muktadha huo, hapo hapo wanageuka kuwa mashahidi adui, na Cross examination inaanza kati ya mshitakiwa na mashahidi.

Na nikusaidie tu, km shahidi na mshitakiwa wake hawajakutana kupanga na kuzungumza kabla ya kukutana mahakamani, mshitakiwa ana haki ya kutangaza shahidi adui, na Cross examination ikafanyika bila hata kuanza kuongozana.

Nakupa swali, kafanye utafiti, kwanini hao watu wanakimbia kimbia, halafu utapata jibu.
 
Anaulizwa na Nani? Hairuhusiwi kumfanyia Cross examination shahidi wako nyi mbona wapumbavu kiasi hiki?
Nani kasema cross examination au mtu akisema kuulizwa unaita cross examination, nevertheless kwenye sheria kuna leading questions kuna cross na kuna re-examination questions.

Hilo neno pumbavu futa usifikiri simu yangu haina button za neno pumbavu.
 
Anaulizwa na Nani? Hairuhusiwi kumfanyia Cross examination shahidi wako nyi mbona wapumbavu kiasi hiki?
Akitaka asiulizwe cross examination basi inabidi wakati wa kuongozwa na Lissu kwenye Examination In Chief amtetee Lissu.

Lakini akimgeuka basi sheria ya ushahidi inamruhusu mshitakiwa kumfanyia cross examination shahidi wake kwasababu ameshakuwa hostile witness.
 
Kwani kulikuwa hakuna hali ya hatari

Ndio maana vituo vya mwendokasi mlivyochoma moto havijakarabatiwa Ili vitumike kama ushahidi
Mshamba huyo , kakazania kila siku jambo hilo hilo ..Anafikiria askari hawana akili , wanajua miongozo ya nchi yao , walitaka yatokee madhara ili wapate point za kisiasa.

TEC nao wameacha kuhamasisha maandamano tena , wanaanza kuzungumzia vurugu ...Hawa ni kupiga shaba tu , watu wachache wafanye fujo kwa kujiamulia , mpaka kuharibu mali waangaliwe tu .
 
Piga shaba kijana Ili nyinyi watu wengi muishi,,,siungi mkono fujoe na uharibifu wa Mali ila hii kauli yako ni ya kipumbavu
 
Mshamba huyo , kakazania kila siku jambo hilo hilo ..Anafikiria askari hawana akili , wanajua miongozo ya nchi yao , walitaka yatokee madhara ili wapate point za kisiasa.
Nchini Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
 
Na idadi ya vifo iliyotajwa na tume ya Chande ni AI?

Wale watu waliuawa kwa risasi za moto hawakuuawa kwa mabomu ya machozi ujue.

Swali ni je, ukipambana na waandamanaji unatakiwa kutumia silaha za moto tena za kivita AK 47?
Atajibu kama alivyoelezea Boss wake kwamba nguvu iliyotumika ilifanana na waliokusudia kufanya mapinduzi
 
Nchini Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Hivi polisi waache mchome nchi , hata ukiiba utapigwa mpaka ufe pale kariakoo ..Nafikiria , hamtorudia tena.
 
Piga shaba kijana Ili nyinyi watu wengi muishi,,,siungi mkono fujoe na uharibifu wa Mali ila hii kauli yako ni ya kipumbavu
Liwe fundisho , si mliita watu mashekhe ubwabwa walipowakata kufanya hayo mapinguzi, laana hiyo ..Nendeni mnawalaumu TEC waliowachochea , mnacheza na uhai wa watu ili mje kutumia kama agenda ya kisiasa.
 
Hivi polisi waache mchome nchi , hata ukiiba utapigwa mpaka ufe pale kariakoo ..Nafikiria , hamtorudia tena.
Hayo ni maneno ya kijiweni, mahakamani ni tofauti kabisa, akaseme waliua kwa vile walikuwa wanachoma vituo vya mafuta.
 
Back
Top Bottom