Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Ona Aibu,unaripua ukiwa Gerezani!Je,
aliekubeba ufala wa kifikra na kukushawishi wewe na kaka yako mkawa kama wendawazimu na kwenda kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, ofisi za umma na makazi ya watu, na mkadhani maafisa usalama watawakenulia tu, ni nani hasa miongoni mwa AZAKI?![]()