Swali kwa IGP, nani aliyeruhusu askari polisi kuingia mitaani na silaha za kivita

Hitler alikuwa na mawazo ya kijinga kama yako alizani dunia ataimaliza, Tanzania ina watu million 80 Samia atawauwa wote? je, akiwamaliza ndipo anategemea kuishi kwa raha? Mawazo ya kijinga.
Adhabu ni kifo kama tulivyokubaliana ,hata mwanzilishi wa CHADEMA amekufa..Umeona nchi imetulia.
 
Swali la pili.

Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.

Nchini Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.

Mambo ni mengi.
Mbona kama ni swali la kijinga na kipuuzi?

Kwani umewahi kumuona Polisi yuko doria au lindo na panga? 😆😆
 
Wengine huwa na marungu.
Labda huko kwenu ila huku niliko ni silaha za moto mda wote na wanazitumia.Tena Polisi Wana ustadi wa kutumia silaha kuliko hao wengine

Wanajeshi ndio sijawahi waona na silaha za moto mitaani labda kwenye misafara ya viongozi wakubwa hasa Rais nao Huwa ni walinzi maalumu wa Rais.
 
Adhabu ni kifo kama tulivyokubaliana ,hata mwanzilishi wa CHADEMA amekufa..Umeona nchi imetulia.
Ni kweli adhabu ni kifo, Mungu ameanza na makamanda wa mikoa baada ya kutoka Tabora mwingine kuridusha gwanda huko Singida. Kulia kwa kupokezana.
 
Labda huko kwenu ila huku niliko ni silaha za moto mda wote na wanazitumia.Tena Polisi Wana ustadi wa kutumia silaha kuliko hao wengine

Wanajeshi ndio sijawahi waona na silaha za moto mitaani labda kwenye misafara ya viongozi wakubwa hasa Rais nao Huwa ni walinzi maalumu wa Rais.
AK-47.

Nilidhani wewe ni spesho wa kutuletea miradi ya Samia tu kumbe na huku huwa unafika karibu.
 
Na idadi ya vifo iliyotajwa na tume ya Chande ni AI?

Wale watu waliuawa kwa risasi za moto hawakuuawa kwa mabomu ya machozi ujue.

Swali ni je, ukipambana na waandamanaji unatakiwa kutumia silaha za moto tena za kivita AK 47?
Hawakuwa waandamaji, walikuwa majambazi, waansamanaji gani wanachoma vituo vya mafuta, stendi ,a mwendokasi, nakuuwa wapiga kura?
 
Lisu ndio alitoa order wafuasi wake wachome vituo vya mafuta, stendi za mwendokasi, na muuwa wapiga kura
Kwani na wewe ni mkata viuno lumumba ma popoma mnajisahau sana amka kumekucha huja angalia vizuri pasued hujabadili wewe mtumwa wa dhambi
 
Lisu ndio alitoa order wafuasi wake wachome vituo vya mafuta, stendi za mwendokasi, na muuwa wapiga kura
Bahati mbaya ushahidi upande wa mashitaka umeshafungwa ungeenda kusaidia unayosema, Katunga yeye kaishia kuuliza tonetone na trekta la gharama la Heche.
 
Swali la pili.

Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.

Nchini Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.

Mambo ni mengi.
Nani kawaruhusu watu kuingia mitaani na viberiti na vidumu vya mafuta kuchoma votuo vya polisi? Anzia hapo kwanza.
 
Ni kweli adhabu ni kifo, Mungu ameanza na makamanda wa mikoa baada ya kutoka Tabora mwingine kurudusha gwanda huko Singida. Kulia kwa kupokezana.
Makanda wakati wanateuliwa wengine, wenyeviti wa CHADOMO wanakufa kutwa , kipind cha uchaguzi walikufa ...Nyie ni wahaini , hamuwezi kushika nchi labda mtawale singida .
 
Andika tu Chadema gentleman, haitakupunguzia kitu, ukiandika Chadomo badala ya Chadema ni utoto.
 
Swali la pili.

Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.

Nchini Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.

Mambo ni mengi.
Waliochoma vituo vya mwendokasi waliomba ruksa ya kuchoma wapi, wazazi, au wapi?
 
Lisu ndio alitoa order wafuasi wake wachome vituo vya mafuta, stendi za mwendokasi, na muuwa wapiga kura
Hiyo order umeiona wapi?Mbona hujawaambia waendesha mashtaka ili waomgeze kwenye hati ya mashtaka walau kesi ipate kauzito kidogo maana kesi ya Lissu kwa mashtaka yale ni completely nonsense!
Mnaongea tu kama kuku aliyekatwa kichwa!
 
Back
Top Bottom