Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Huyo mtoto unampa airtime kujibizana naye,mpotezee tu!Andika tu Chadema gentleman, haitakupunguzia kitu, ukiandika Chadomo badala ya Chadema ni utoto.
Huyo mtoto unampa airtime kujibizana naye,mpotezee tu!Andika tu Chadema gentleman, haitakupunguzia kitu, ukiandika Chadomo badala ya Chadema ni utoto.
Nimewakumbusha ushahidi upande wa mashitaka umeshafungwa, walikuwa wapi kuungana na Yeriko kwenye kile kibanda cha njiwa kupeleka haya wanayosema sasa.Hiyo order umeiona wapi?Mbona hujawaambia waendesha mashtaka ili waomgeze kwenye hati ya mashtaka walau kesi ipate kauzito kidogo maana kesi ya Lissu kwa mashtaka yale ni completely nonsense!
Mnaongea tu kama kuku aliyekatwa kichwa!
Tuna mada ya maswali kwa IGP hiyo ya kushika nchi anzisha uzi wake.Unapoteza muda, unaota hamuwezi kushika nchi ng'o .
Unalia , hamuwezi kuongoza nchi wahaini nyie.Tuna mada ya maswali kwa IGP hiyo ya kushika nchi anzisha uzi wake.
Yaani unauliza kitu kipo wazi ! yaani wahuni wavamie mitaani wakichoma na kupora mali na kuvamia vituo výa police na kuiba siraha na uniform za police ulitaka police wawajibu kwa kuwamwagia maji?Swali la pili.
Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.
Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Mambo ni mengi.
Mje tu na I'd mbalimbali nipo kwa ajili yenu.Yaani unauliza kitu kipo wazi ! yaani wahuni wavamie mitaani wakichoma na kupora mali na kuvamia vituo výa police na kuiba siraha na uniform za police ulitaka police wawajibu kwa kuwamwagia maji?
wale walikuwa wahuni maharamia tu walifika mahali wakawaua police na kukata vidole watu! Hali Ile huwezi mwelekeza police cha kufanya wala haitaji amri yoyote zaidi ya ku deal nao walivyokuja
Unachanganya na Mashahidi ambao statement zao zilikua committed kwenye committal kama hakuna statement zao una cross vipi? Lengo la cross examination ni nini?Akitaka asiulizwe cross examination basi inabidi wakati wa kuongozwa na Lissu kwenye Examination In Chief amtetee Lissu.
Lakini akimgeuka basi sheria ya ushahidi inamruhusu mshitakiwa kumfanyia cross examination shahidi wake kwasababu ameshakuwa hostile witness.
ACha kumlenga mtu mwingine kwa kosa lisilo lakeHuyu boya wadogo zake wa Damu wanakaa Ubungo Kibangu, kumpa maumivu ni Dakika chache sana ni vile watu wanamtaka mhusika halisi.
Soma mstari wa mwisho.ACha kumlenga mtu mwingine kwa kosa lisilo lake
Mradi umenielewa nilichotaka ukielewe, inatosha.Adhabu yenu ni kifo kisheria ,hajalishi unatokea wapi..Piga kelele ila ukweli ,mlistahilj kifo.
Mnastahili tena mlitakiwa mpigwe mpaka wachochezi wote.Mradi umenielewa nilichotaka ukielewe, inatosha.
Haya mengine hangaika nayo mwenyewe akilini mwako.
Lakini ujue, hatma ya Tanzania kamwe haiwezi kuwa kama mnavyoitaka nyinyi watu waovu kabisa.
Mhalifu Samia, na nyinyi wote mnaomfanyia kazi zake za uovu wakati wenu umewadia wa kulia na kusaga meno.Mnastahili tena mlitakiwa mpigwe mpaka wachochezi wote.
Nyie hukumu yenu kwa mujibu wa katiba ni kifo.Mhalifu Samia, na nyinyi wote mnaomfanyia kazi zake za uovu wakati wenu umewadia wa kulia na kusaga meno.
Anayesubiri hukumu hiyo ni Samia Suluhu Hassan kwa maovu yote aliyowafanyia waTanzania. Ni nyinyi nguruwe anaowafuga hamtaweza kumsaidia chochote.Nyie hukumu yenu kwa mujibu wa katiba ni kifo.
Hamna kitu kama hicho ,fanya kazi ..Lissu hawezi kuongoza hii nchi .Anayesubiri hukumu hiyo ni Samia Suluhu Hassan kwa maovu yote aliyowafanyia waTanzania. Ni nyinyi nguruwe anaowafuga hamtaweza kumsaidia chochote.
Sijasema popote Lissu kuongoza nchi; ingawa anastahili na anauwezo ambao Samia Suluhu Hassan hana.Hamna kitu kama hicho ,fanya kazi ..Lissu hawezi kuongoza hii nchi .
Hamna kitu kama hicho ,walikuwa sahihi dhidi ya vibakaSijasema popote Lissu kuongoza nchi; ingawa anastahili na anauwezo ambao Samia Suluhu Hassan hana.
Samia mnayemtumia kuvuruga taifa hili ni lazima awajibishwe kwa uhalifu wake alioufanya.
"Vibaka" wapo Ikulu wakidhani uwepo wao huko utawasaidia kuwapa kinga, huku wakitumia mitutu ya bunduki kulinda ujambazi wao.Hamna kitu kama hicho ,walikuwa sahihi dhidi ya vibaka
Kamfungulie kesi mwaya. Maana inaonekana unajua sheria kuliko vyombo vyote vya Serikali. Kwahili nina hakina utamfungaSwali la pili.
Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.
Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Mambo ni mengi.