Mhubiri mtata nchini Nigeria, Yahaya Ibrahim Masussuka, mwenye miaka 47, amepigwa risasi na kuuawa na watu wenye silaha waliomvamia nje ya nyumba yake katika Jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria.
Tukio hilo pia liligharimu maisha ya msaidizi wake.
Masussuka alijulikana sana kwa msimamo na...
Masai wanatembea na silaha watakavyo 24/7 bila kukamatwa , kuhojiwa wala kufanywa chochote kile wakati wasio wamasai wakikutwa wanatembea hata na bisibisi tu tayari hapo anapewa kesi.
Masai wanatembea na marungu na sime na muda mwingine wanaenda hata kwenye sehemu za starehe mfano bar au...
Mkazi wa Kijiji cha Mafisa mkoani Tanga, Juma Hamisi Msilagi (69) amezawadiwa shilingi 20,000 baada ya kusalimisha kwa hiari silaha haramu aina ya gobore aliyokuwa akiimiliki kinyume cha sheria.Msilagi amekabidhi silaha hiyo kufuatia wito wa kusalimisha silaha haramu uliotolewa na Waziri wa...
Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro (SACP )Simon Maigwa, amewakumbusha wananchi na kampuni za ulinzi binafsi wenye silaha zinazomilikiwa kinyume cha utaratibu wa kisheria kuzisalimisha kwa hiari kabla ya kukamilika kwa muda uliowekwa, Oktoba 31, 2026.
Maigwa ametoa msisitizo huo...
Kuna kesi nzito sana inayounguruma katika Mahakama ya Wilaya ya Mashariki ya Virginia (EDVA) nchini Marekani ambayo inahusisha nchi yetu ya Tanzania moja kwa moja na mitandao hatari zaidi ya magendo ya silaha na madawa ya kulevya duniani kote. Kesi hii inamhusisha raia wa Tanzania, Subiro Osmund...
Hati lenyewe la mashtaka liko chini. Ma document ya serikali ya Tanzania yamo kwenye hati ya mashtaka.
WAENDESHA MASHTAKA Marekani wanasema makaratasi ya kununulia silaha yalipatikana Tanzania kwa rushwa. Washitakiwa ni wanne, Mtanzania mmoja.
Sio makaratasi magumashi yenye saini za kufoji...
Ndugu Wana-JamiiForums,
Nimekuwa nikitafakari kwa kina kuhusu kiini cha matukio ya ghasia za Oktoba 29, 2025, na jinsi Ripoti ya Tume ya Jaji Mohamed Chande Othman ilivyofikia hitimisho lake. Ripoti ile inasisitiza kuwa yaliyotokea yalikuwa na uratibu, ufadhili wa fedha (Sh 10,000 hadi 50,000)...
Rais William Ruto amezua mjadala baada ya kumhusisha Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na pombe alipokuwa akizungumzia uzinduzi wa chama kipya cha kisiasa, The Equitable Party (TEP), na madai ya Sifuna kuonekana kwenye baa baada ya hafla hiyo.
“Niliona Sifuna alienda kulaunch the Empty Party alafu...
Wanawake wa kichaga ni matatizo matupu. Kwao kila mtu ni buzi wa kuchunwa na kuwapelekea ndugu zao wavivu wa kutafuta. Matokeo yake watu wanaishia gerezani kwa mauaji. Dawa ni kutowaoa kabisa.
Nawasilisha.
KUTOKANA NA MAMBO YANAYOENDELEA KILA SIKU
MARA MUME.KAMUUA.MKE NA SILAHA
MARA MKE KAMUUA MWENZIE NA SILAHA
TUNASHAURI HAWA WATU MNAOWAPA SILAHA WAMILIKI WAPEWE MITIHANI YA KUANGALIAA AKILI ZAO KILA MWAKA TAFADHALI
MKUMBUKE MNAVYOWAPA WENGINE WANAKUWA NA FURAHA KWENYE NDOA ZAO
LAKIJI...
Kwenye vita ya pili ya dunia, mizinga ndiyo silaha iliyoua watu wengi kuliko silaha yoyote.
Kwenye vita ya Ukraine na Russia asilimia 70-80 ya vifo na majeruhi yanatokana drones, tena zile drone ndogo ndogo za kuwinda watu zinazoitwa FPV(First Person View).
Mwaka huu pekee Ukraine wanatarajia...
Kama ni kweli je, huenda kifo chake kinahusiana na waliompa tenda ili kufuta ushahidi wa moja kwamoja?
Vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi ya Tanzania vina mengi ya kujitafakari.
Kosa lilianzia pale walipo ruhusu bandari yetu ichukuliwe mbele ya macho yao kizembe kabisa.
China inaendelea kumwonya Putin dhidi ya matumizi ya silaha za nyuklia au kutishia kuzitumia.
Tangu vita vilipoanza, kwa ujumla China imekuwa upande wa Urusi. Katika masuala mengi. Suala moja ambapo China imeweka mstari usiovukika ni lile la matumizi, au tishio la matumizi, ya silaha za...
Wakuu, jioni ya leo mtanisamehe kwa kuandika uzi mrefu kidogo, lakini naamini utakuwa na manufaa makubwa kwa wale wanaopenda kufuatilia jinsi mifumo ya madaraka (State Machineries) inavyofanya kazi nyuma ya pazia.Mara nyingi tukifikiria kuhusu "Zana za Kuendesha Dola," vichwa vyetu vinakimbilia...
Swali la pili.
Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.
Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Mambo ni...
Biblia na hata Qoran vinasema mamlaka yote chini ya ardhi yanatoka kwa Mungu.
Binadamu tuyatumie vema.
Msingi wa yote ni ukweli.
Ukweli ni upanga ukatao pande zote mbili.
Ukweli haufichi maovu.
Mtu anaweza fanya maovu akifikiri ukweli haumwoni.
Sasa mtu huyo akiambiwa aje hadharahi...
Wewe waziri Dk Gwajima kinachofanya mpaka leo ndoa za kimila hazina cheti halali ni nini?
Kwa sasa ili ndoa ipate cheti ni lazima iwe ya kanisani, msikitini au kiserikali tu ,swala hili linasikitisha sana.
Kuongezeka kwa single mothers, watoto wa mtaani sababu ni wewe waziri Gwajima na wizara...
Utawala wa sheria unapaswa kufanyika kwa misingi ya sheria.
Lakini kama wasimamizi wa sheria wanakiuka nini kitafyata?
Raia watachoka, kila mtu atajichukulia sheria mkononi. Raia watapigana na polisi. Baaddae wao kwa wao watapigana na kuuana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.