PostGE2025 Nikweli Wicknell Chivayo ndiye aliyelie import Kontena la Silaha kabla ya October 29?

PostGE2025 Nikweli Wicknell Chivayo ndiye aliyelie import Kontena la Silaha kabla ya October 29?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,844
Reaction score
9,916
Kama ni kweli je, huenda kifo chake kinahusiana na waliompa tenda ili kufuta ushahidi wa moja kwamoja?

Vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi ya Tanzania vina mengi ya kujitafakari.

Kosa lilianzia pale walipo ruhusu bandari yetu ichukuliwe mbele ya macho yao kizembe kabisa.
 
Rambirambi tunampa nani
Samia wa kizimkazi
Bado yupo Eda
 
“Vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi ya Tanzania vina mengi ya kujitafakari.”

Wao ndiyo wamehusika kuua na kupoteza miili pamoja na kuwaweka madarakani.

Viongozi wa juu mabilioni, askari wa chini laki 3(waliingiziwa laki moja kabla, kwahiyo tuseme laki 4)
 
Back
Top Bottom