PostGE2025 Nikweli Wicknell Chivayo ndiye aliyelie import Kontena la Silaha kabla ya October 29?

PostGE2025 Nikweli Wicknell Chivayo ndiye aliyelie import Kontena la Silaha kabla ya October 29?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Usisingizie Chadema, kuna watanzania wazalendo kuliko wewe, tena wana CCM.

Hao ulio wataja unawajua wewe, lakini imani na wajibu wa mwana CCM, (kama unaikumbuka) inasema, Nchi hii italindwa na kila mwananchi, kila mzalendo na hasa kila mwana CCM
Jibu swali hao wote Kwa nyakati tofauti wametajwa na Chadomo,hayo ya Imani ya chama chako Utajua mwenyewe.

Nani ni nani?
 
Kama unawafahau si useme?
Unajificha nini?
Ukweli hauhusiani na chama chochote kama umeiba umeiba, chama chako hakitabadili ukweli huo.
Niseme nini? Nimeuliza swali Chadema watuambie nani ni nani maana wote hao wanawataja Kwa nyakati tofauti.

Ukiniuliza Mimi nitakwambia kwa nini silaha ziingie kwani huoni Polisi was silaha siku zote na wanazitumia Kwa wahalifu?
 
Kwa nini umewauliza Chadema, kwani wao wako customs?
Kuwa na IQ ya kukusaidia!
 
Kama ni kweli je, huenda kifo chake kinahusiana na waliompa tenda ili kufuta ushahidi wa moja kwamoja?

Vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi ya Tanzania vina mengi ya kujitafakari.

Kosa lilianzia pale walipo ruhusu bandari yetu ichukuliwe mbele ya macho yao kizembe kabisa.
Wazee wa conspiracy theories, mada za kijiweni kwenu baada ya kukosa kazi za kufanya umezileta hadi uku
 
Hakuna mwenye majibu sahihi humu kwenye hayo maswali

Ikulu pekee ndiyo yenye majibu, na bahati mbaya msemaji wa Serikali huwa hana kawaida ya kujibu maswali magumu 🙌
Mkuu hakuna lifanyikalo gizani likashindwa kuwa hewani watu wana mpaka picha za contena na namba zake pia na liliingia na mali gani pamoja na gari ilioenda kulichukua na kwa mara ya kwanza zimepakuliwa wapi
 
Ndio wanatoa madai na wewe unashabikia.

Hata bila hoja ya custom,ni lini Polisi walikosa silaha?
Tatizo lako ni kutaka facts ziwe colroured kwa msimamo na jicho lako.
Maana ulichotumwa ndicho unataka kiripotiwe.
Ujue kuwa hata unaowaamini waliokutuma wanaweza fanya uhujumu.
Nchi kwanza.
 
Nawaza nawaza na kuwazua!

The state kazini,mtajwa (aliepewa muda aandike katiba mpya akashupaza shingo)imekua too late kwake!wanayakata matawi yake ili iwe too easy to go for it!

Natarajia kuona washirika wake waaminifu huku kwetu nchi kavu watawafuata waliotangulia hivi karibuni,
Tusubiri tuone!
It makes a lot of sense!. Una jicho kali sana!.
 
Mkuu hakuna lifanyikalo gizani likashindwa kuwa hewani watu wana mpaka picha za contena na namba zake pia na liliingia na mali gani pamoja na gari ilioenda kulichukua na kwa mara ya kwanza zimepakuliwa wapi
Duh!
 
Ndiyo maana mauaji yalikuwa makubwa, kumbe watu wana silaha mpya 🙌
 
Ndiyo maana mauaji yalikuwa makubwa, kumbe watu wana silaha mpya 🙌
Acha kabisaa acha watoane maini kwa sasa ila ushahidi upo wa kutosha na ulishakusanywa na wazelendo wanasubiri mda ufike tutafuria ila kwa leo wacha iwe ni ndoto nakuhakikishia kabla hujazikwa utakuwa umeshuhudia vile Tanzania inaingia kwenye record ya kuwa nchi yenye uongozi bora tena huku walaghai wote wakijaa magerezani na kufilisiwa pia
 
Ningependa hayo mabadiriko yatokee nikiwa bado sijafa, maana ni matumaini yangu ya muda mrefu
 
Back
Top Bottom