Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.
Wakuu salama!
Kuna ukweli mmoja mkubwa sana ambao mahasla wengi huwa tunaufeli. Mara nyingi tunakimbilia kusoma historia za biashara zilizofanikiwa (kama akina Mo Dewji au GSM). Lakini ukweli ni kwamba, ukitaka kujua changamoto halisi za soko, usisome waliofanikiwa nenda kasome biashara...
Je Lema amepangwa atuandae kisaikolojia?
Kwa nini ameongea Baadhi ya mambo yaahakamani siku Tano kabla ya hukumu ya Tundu lisu?
Mfano eti kuna mbunge wa ujerumani alisema ni chadema na Diaspora ndio chanzo cha mauaji.
Hapa lema ni kama anaunga mkono wauaji na kulaumu waandamanaji.
Hapa ni kama...
Jumapili karmu
Kama unaona mazingira uliyopo yamebana na unatamani kuhama, zingatia yafuatayo kabla ya kufungasha virago:
1. Usiende Kichwa Kichwa: Usihame kwa kufuata mkumbo au msisimko wa kusikia flani kafanikiwa. Nenda ukiwa na mpango mkakati—unajua unaenda kufanya nini hasa
2. Andaa...
Natoa wito kwa Wizara ya Ujenzi, TANROADS, Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani na mamlaka nyingine zinazohusika kuchukua hatua za haraka kuimarisha usalama wa watumiaji wa barabara ya Kimara–Kibaha.
Licha ya barabara hii kuwa ya kisasa yenye njia sita, hali ya usalama kwa watumiaji...
Vyanzo kutoka Gaza vinasema kuwa Mohammad Al-Bayoukh, ambaye aliuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani ya Israel huko Khan Younis siku mbili zilizopita, alipokea simu kutoka kwa afisa wa shirika la usalama la Israel, Shin Bet, akimwamuru apande juu ya paa la shule inayotoa hifadhi kwa...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema viongozi wa Kanisa hilo walitoa tahadhari mapema kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu hatari ya kutorekebisha kasoro za uchaguzi, akieleza kuwa walionya kuwa hali hiyo ingeweza kusababisha maafa nchini...
Serikali tunaomba ihakikishe Watumishi wa umma tunalipwa fedha zetu za likizo kabla ya kuanza likizo, ili kutuwezesha kusafiri kwenda nyumbani na kutumia likizo zetu kwa utulivu.
Hatua hii itawasaidia watumishi kukidhi gharama za usafiri na mahitaji mengine muhimu tunapojiandaa kwenda kuungana...
Kwasababu kwa kawaida,
mtu mwenye changamoto ya afya ya akili ndie pekee huwaza, huamua na kutenda mambo au vitu vinavyo mdhuru, vinavyo muumiza, vinavyo muathiri na pengine vyenye uwezekano mkubwa wa kumuangamiza yeye mwenyewe.
Je, mtetezi huyo wa haki za binadamu wa mchongo, anakusudia...
Binafsi Nime undergo many circles of change, ila naona kabisa bado.
Kuna time, inabidi u let go of the old version ili a new you awe born.
Yaani kuna time, inabidi u empty out all the things uko attached to, ili uweze kuanza upya.
Hauwezi kubadilika kama nervous system yako bado inamuwaza...
Katika siasa, hakuna uongozi unaopaswa kuonekana kuwa mkubwa kuliko taifa lenyewe. Viongozi huja na kuondoka, lakini nchi inabaki. Ndiyo maana Watanzania wanapaswa kuanza kufikiria kwa kina kuhusu mustakabali wa taifa, namna ya kujenga taasisi imara na jinsi ya kuhakikisha kwamba mabadiliko...
Mimi ni sijui kijana au mzee nina umri wa miaka 29. Natafuta mwanamke ambaye atakuwa rafiki yangu na kama nitamwona ana vigezo basi awe mke wangu.
Awe mzuri sana,awe na shape, awe na uelewa mkubwa wa mambo na elimu pia. Mimi nipo vizuri na sifa zangu hizi hapa.
1. Dereva boda boda mashughuri...
Kama kuna Rushwa Serikalini ni Viongozi wa Dini ndio wameshindwa kuthibiti Rushwa kwa kushindwa kuwaombea waumini wao waache
Rushwa” - MAKONDA
My Take
Nchi hii ipo kinyume sana katika uongozi, watu wanaongea pumba ndio wanapewa majukwaa makubwa.
Kwa nini Kusali iwe kabla ya kulala usiku na unapoamka asubuhi? Usingizi wa usiku unatisha ?
Ni kama vile binadamu wanaogopa wakilala wanaweza wasiamke, watakufa usingizini usiku!🤣
Sijui wanaofanya kazi usiku nao huwa wanaomba kumshukuru mungu kwa kuwafikisha asubuhi wakimaliza shift yao !
Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa...
Moja kwa moja......
Mji wa Gaza ulikuwa mzuri sana , makosa na ujinga wa Hamas kuingia mkenge kufanya shambulio la kikatili kukazaa Unyama mkubwa zaidi katika zama hizi chini ya IDF
1.
2.
3.
4.
#UziUnaendelea
Hii dunia sio mwamwedi ngamia kuishi congo au nguruwe kuishi jangwani.
Maisha ya dunia yana badilika na kubadilika kila siku.
Leo ulijua kuna mobile money wakati enzi za zamani ulikuwa unatuma pesa kwa kutumia basi.
Hata barua posta ziliogopa email na leo njia ambazo kwa sasa dhahabu au...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa ni Mhe. Deogratius John Ndejembi
Kwa Mama alivyofanya mauaji yeyote n bora kuliko yeye lakini huyu dogo ni tayari billionea kabla ya hata umakamu sasa anaweza kuwa Raisi na usalama wa taifa na jeshi lipo tu linaendeleza uchawa
Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya vifaa vya simu wakiamini kuwa kununua chaja, earphones, cover na screen protector kwa bei ya jumla kisha kuuza kwa faida kunatosha. Lakini ukweli ni kwamba biashara hii inahitaji zaidi ya kuwa na bidhaa dukani!
Fikiria umefungua duka la vifaa vya simu...
Unajua unaweza kuwa na mtaji mkubwa wa biashara ya mbolea, lakini ukashindwa kupata faida kwa sababu ya makosa machache tu?
Tanzania ni nchi inayotegemea sana kilimo, hivyo biashara ya mbolea inaweza kuwa fursa nzuri ya kujipatia kipato. Lakini kabla hujafungua duka la mbolea, kuna mambo muhimu...
Makampuni ya spark plugs yapo mengi, lakini kwa uchache wa resources nilizoweza kupata, nimefanikiwa kuipata DENSO Spark Plug Catalog PDF na nimeona niishirikishe hapa kwa manufaa ya wengine.
Katalogi ya DENSO ina columns mbalimbali zinazokusaidia kutambua spark plug sahihi kulingana na aina ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.