Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Jumapili karmu
Kama unaona mazingira uliyopo yamebana na unatamani kuhama, zingatia yafuatayo kabla ya kufungasha virago:
1. Usiende Kichwa Kichwa: Usihame kwa kufuata mkumbo au msisimko wa kusikia flani kafanikiwa. Nenda ukiwa na mpango mkakati—unajua unaenda kufanya nini hasa
2. Andaa Mtaji wa Kujishikiza: Hakikisha una kiasi cha fedha kitakachokusaidia kuishi angalau miezi 3 hadi 6 ugenini wakati ukitafuta mwelekeo, ili usizidiwe na maisha ukalazimika kurudi nyuma.
3. Badili Tabia Kwanza: Kama una tabia ya matumizi mabaya ya fedha, uvivu, au kukosa msimamo, hata ukihama nchi bado utafeli. Mafanikio yanaanza na mabadiliko ya tabia yako binafsi, kisha mazingira yanafuata
kubwa kuliko mafanikio ya mtu yapo akilini mwake
Mshana Jr