nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Hongera UWT Moshi mjini kuanzisha mradi wa ushonaji ,Jumuiya nyingine za CCM ziige mfano huu

    Moshi Hatua ya Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)Moshi Manispaa kuanzisha mradi wa ushonaji nguo zikiwamo sare za Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni hatua ya kupongeza. Pia hatua hii ya kuanzisha mradi huo ni mfano wa kuigwa na Jumuiya zote za Chama Cha Mapinduzi (CCM),ikiwamo umoja wa vijana wa...
  2. Red black

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kuchukua kabla hauja Gusa button ya kuhama mji kwenda kutafuta mafanikio sehemu nyingine.

    Jumapili karmu Kama unaona mazingira uliyopo yamebana na unatamani kuhama, zingatia yafuatayo kabla ya kufungasha virago: 1. Usiende Kichwa Kichwa: Usihame kwa kufuata mkumbo au msisimko wa kusikia flani kafanikiwa. Nenda ukiwa na mpango mkakati—unajua unaenda kufanya nini hasa 2. Andaa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kiswahili siyo tu kwamba ni lugha rasmi ya kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC, UNESCO na taasisi nyingine kubw

    Kiswahili siyo tu kwamba ni lugha rasmi ya kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC, UNESCO na taasisi nyingine kubwa za kimataifa bali kwa miongo kadhaa, imekuwa ikifundishwa kwa ufahari katika taasisi za kitaaluma za hapa Urusi - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  4. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Tanzania yagundua Gas yenye futi za ujazo bilioni 223 katika Kisima cha Kasa Mkoa Mtwara

    Waziri wa Nishati Dkt. Juma Homera ametangaza rasmi ugunduzi mpya wa Gesi Asilia yenye futi za ujazo bilioni 223 katika Kisima cha Kasa kilichopo Katika Kitalu cha Mnazi Bay Mkoa Mtwara. Dkt. Homera amefanya uzinduzi huo leo Oktoba,27, 2026 na kusema kuwa hilo ni tukio kubwa katika maendeleo ya...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazazi zuieni ajali nyingine kwa watoto wenu tarehe 29 Oktoba, 2026

    Nilitembea usiku kucha kwenda Mbeya kumwambia mwanangu acha kushiriki vurugu siku ya uchaguzi. Na hii ni baada ya kutonywa na mkewe kuwa mumewe (mwanangu) anasema anataka kushiriki vurugu zinazoandaliwa siku ya uchaguzi. Saa 8 usiku nilifika Mbeya nikalala kwenye gari asubuhi sana wakashangaa...
  6. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kwanini marafiki zetu hawanunui Biashara kwetu wanaenda kununua sehemu nyingine ??

    Kwanini marafiki zetu hawanunui Biashara kwetu wanaenda kununua sehemu nyingine ? Unakuta unauza kitu fulani ila rafiki yako hanunui kwako,unashangaa badae anacho hicho kitu.!!
  7. instinct desire

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sisi tuliookoka tunayaishi maagizo ya Mungu bila unafiki. Hatuwezi kuadhimisha vifo vilivyotokana na kukiuka maagizo ya Mungu (dhambi)

    Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU. Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni Uzinzi Kuiba Mali za watu Kutamani Mali/mke wa mtu...
  8. adriz

    JamiiForums Tanzania Kwa nini post za nje ikihusisha Tz inapata engagement kubwa kubwa ya wabongo mitandaoni kuliko nchi nyingine za Afrika ?

    Moja kwa moja .. Hili nimefuatilia sana ; 1. Kipindi Samata kajiunga Aston Villa , page ya Aston Villa ilijaa wabongo mpaka na aliponyimwa pasi wabongo walimshambulia sana Grealish 2 . Aziz Ki ; alipojiunga Wydad page ya Wydad waarabu walikimbia walijaa wabongo kupiga stori na kumtaka Admin...
  9. BICHWA MOBILE

    JamiiForums Tanzania Bei za simu Tanzania 2026 | iPhone, Samsung, Google Pixel na Simu nyingine – Kariakoo

    Habari zenu wakuu, wana-JamiiForums! Nauza simu za aina mbalimbali kama iPhone, Samsung, Google Pixel, Sony Xperia, Sharp Aquos na nyingine nyingi. Used na Box Kama unatafuta simu nzuri kwa bei inayoendana na bajeti yako, karibu tuwasiliane. Nina simu za bei tofauti, hivyo unaweza kuniambia...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nafanyaje ili niweze kuhamia Taasisi nyingine ya Serikali. Naomba ushauri wenu

    Habari za wakati huu Wakuu. Naomba msaada wa mawazo kuhusu utaratibu wa kubadilishiwa kituo cha kazi au kuhamia taasisi nyingine ya Serikali. Mimi ni mkufunzi wa Useremala chini ya Wizara ya Elimu, lakini taaluma yangu ni Civil Engineering. Kwa sasa nina changamoto ya kifamilia, kwani mzazi...
  11. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Dalili nyingine ya Upungufu wa nguvu za kiume ni mke wako kurudi ONLINE Baada ya tendo au kuwa na uwezo wa kunyanyuka kitandani yeye mwebila kusaidiwa

    Dalili nyingine ya Upungufu wa nguvu za kiume ni mke wako kurudi ONLINE Baada ya tendo au kuwa na uwezo wa kunyanyuka kitandani yeye mwebila kusaidiwa. Moods futen na hii mana Ile ya kuwasha feni wakat wa kuchota maji Kwenye kisima mmefuta lalek
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mnaowaza serikali (CCM) kupinduliwa muache kuota ! Jeshi ni mali ya Ccm, Hakuna Backup ya serikali nyingine na hakuna mfumo wa majimbo.

    1. JESHI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA Njia mojawapo ya kawaida ya mapinduzi ya serikali ni jeshi kuingilia siasa na kuiondoa serikali iliyopo madarakani kwa kutumia nguvu. Kwa mfano walichofanya kina Ibrahim Traore wa Burukina Faso. Hata hivyo, katika muktadha wa Tanzania, Baada ya...
  13. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ni wikiendi nyingine tena ambayo inaenda kuharibu maisha ya vijana kadhaa

    ■KIJANA USIBABAIKE NA MAKEBO MAKUBWA ■DADA USIBABAIKE NA LIFTI YA CROWN NA HAYO MAHARRIER ■AKIKUAMBIA ASIKII UTAMU AKIWA AMEVAA CONDOM JIFANYE UMESAHAU KITU NJE ALAFU UKIMBIE BILA KUGEUKA NYUMA ■HIO CHUPA YA TATU WALIOKUNUNULIA NDIO INAENDA KUKUMALIZA, HIZO MBILI ZINATOSHA , NENDA NYUMBANI
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hakuna njia yoyote nyingine ya kumtengeneza mtoto bora zaidi ya ukaribu na mtoto ila ule ukaribu ambao sio wamazoea bali ule uitwao SECURE ATTACHMENT.

    Hakuna kitakachoweza kumuangusha mtoto ambae anapitia misingi muhimu inayompelekea awe mwenye afya nzuri ya kihisia, anayejiamini, anayeweza kujenga mahusiano mazuri na wengine na anayejifunza kudhibiti hisia zake. Haya yote hayaji kwa mtoto kama muujiza, haya yanatengenezwa na ukaribu wewe...
  15. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais kuna course za degree zitafutwa, nyingine zitahamishiwa masters, nyingine zitapunguzwa idadi ya wanafunzi, na nyingine kuungwanishwa

    Kwa sahivi kuna lundo la course zinatolewa ambazo hazina tija na nyingi zinatakiwa kufutwa, zinatakiwa zihamishiwe kwenye masters na phd sababu ni kama zinatolewa na vyuo kwa ajili ya kupata faida na huku wanafunzi akihitimu anakua na nafasi ndogo sana ya kupata ajira, nyingine zitapunguzwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya walimu wakuu kuwalaza wasimamizi wa mitihani ya taifa madarasani ipigwe marufuku

    Huu ni ukweli kabisa ambao nimeushuhudia kwa macho yangu. Ni kuhusu walimu wanawake wanaokuwa wamepata nafasi ya kwenda kusimamia mitihani ya taifa kulazwa madarasani tena madarasa ambayo hayana madirisha au yenye madirisha yasiyowahakikishia ulinzi dada, wake na mama zetu. Kituko kingine...
  17. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unauza Mchele, Maharage, Mahindi au nafaka nyingine? Kufungua duka na kujaza magunia pekee hakutoshi!

    Unaweza kuwa na mtaji, sehemu nzuri ya biashara na wateja wengi, lakini kutokamilisha taratibu zinazohitajika kunaweza kuiletea biashara yako usumbufu usio wa lazima. Kabla na wakati wa kuendesha biashara ya nafaka kwa rejareja Tanzania, haya ni baadhi ya mambo muhimu ya kuzingatia: 1️⃣...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania LATRA tumieni technolojia kudhibiti madereva barabarani kabla ya kuongeza sheria nyingine.

    Kama madereva wana uwezo wa kutumia teknolojia ya kidigitali kuhamasishana kugoma nchi nzima kwanini nyinyi LATRA mnashindwa kutumia teknolojia hiyohiyo kuwadhibiti madereva wasifanye makosa barabarani yanaosababisha ajali?. Badala yake bado mnatunga sheria zitakazofanyakazi manually kuwapa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Lissu aliona mbali: Leo Katuga anaiamba mahakama kuwa adhabu sio lazima kunyongwa, bali mahakama inaweza kutoa adhabu nyingine

    Aliyoyasema Lissu jana kuwa adhabu ya kosa analotuhumiwa nalo ni kunyongwa na kwamba mahakama isiambiwe kitu cha tofauti na hukumu ya kunyongwa au yeye(Lissu) kuachiwa huru Sasa hii hapa chini ni sehemu ya final submission ya Katuga leo mahakamani: Waheshimiwa Majaji kwa kuelezea kwa kirefu...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hizi tafiti nyingine mmh..❗

    Unatoa gesi mara 32 kwa siku, Wanasayansi watengeneza nguo za ndani kuthibitisha hilo https://bbc.in/4iMWAQn
Back
Top Bottom