Habari za wakati huu Wakuu.
Naomba msaada wa mawazo kuhusu utaratibu wa kubadilishiwa kituo cha kazi au kuhamia taasisi nyingine ya Serikali.
Mimi ni mkufunzi wa Useremala chini ya Wizara ya Elimu, lakini taaluma yangu ni Civil Engineering.
Kwa sasa nina changamoto ya kifamilia, kwani mzazi wangu ni mtu mzima na anahitaji niwe karibu naye ili kumhudumia. Hivyo, ningependa kufahamu kama inawezekana kuomba kuhamishiwa kituo cha kazi kilicho karibu na nyumbani, Mwanza, au kuhamia taasisi nyingine kama TARURA, Halmashauri au Wizara ya Ujenzi, ambako ninaweza kutumia taaluma yangu ya Civil Engineering.
Kama kuna mtu aliyewahi kupitia utaratibu huu au anauelewa, naomba anishirikishe uzoefu wake na kunielekeza hatua sahihi za kufuata.
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu.