changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Eneo la Mahina lilikuwa na changamoto ya maji lakini hatua zimeshaanza kuchukuliwa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa mrejesho kuhusu hoja ya Mdau aliyeandika ~ Watu wa Mahina - Mwanza, Waziri akija maji yanatoka, akiondoka nayo yanaondoka. MWAUWASA: Tunapenda kufafanua kuhusu changamoto iliyowasilishwa ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa eneo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Huduma ya maji imerejea Nyegezi, kulikuwa na changamoto Oktoba 13 hadi 20, 2026

    Baada ya andiko la Mdau aliyeelezea "Hali ya maji katika Jiji la Mwanza inazidi kuwa mbaya! Mfano ni Nyegezi," kupitia andiko hili ~ Mwanza: Kuna kero sugu ya maji. Wananchi tumechoshwa na visingizio, malaka husika imetoa neno. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA)...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Huduma ya maji imerejea Nyegezi, kulikuwa na changamoto, Mamlaka inaomba radhi kwa usumbufu

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa majibu kwa hoja ya Mdau ambaye aliandika ~ Waziri Aweso, hamishia ofisi yako Mwanza, tena kaa Nyegezi! Hali ya upatikanaji wa maji imekuwa tete kwa takribani mwezi mmoja MWAUWASA: Tunapenda kueleza kuwa hali ya huduma ya maji...
  4. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha tu biashara

    INAUZWA! KABATI YA KIOO YA ALUMINIUM Gharama za Delivery ndani ya Tanzania bara ni juu yangu,kama ni Zanzibar Gharama ni Kwako
  5. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha biashara tu

    INAUZWA! KABATI YA KIOO CHA ALUMINIUM
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Changamoto ya wizi Hospitali ya Rufaa Simiyu (Simiyu RRH) ipo muda mrefu, ishughulikiwe vizuri

    Mimi ni mfanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu (Simiyu RRH), niliajiriwa miaka kadhaa iliyopita. Kwa muda ambao nimefanya kazi katika hospitali hii, nimekuwa nikishuhudia changamoto nyingi, ikiwemo tuhuma za wizi na upotevu wa mali na fedha za hospitali. Pia soma ~ RC Mtanda awapa...
  7. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Ulinzi wa Rais (Secret Service): Jinsi ya kujiandaa na "Mabaya" kabla hayajatokea kwenye Biashara na Mahusiano

    Habari za muda huu wana JamiiForums (JF), Kuna kitu kikubwa sana cha kujifunza kutoka kwa walinzi wa viongozi wakubwa (kama Secret Service wa Marekani). Rais anapotembea, anakuwa mzima wa afya kabisa, lakini nyuma yake kuna maandalizi ya kutisha yafuatayo: Kuna kikosi maalum cha kupambana...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Unapata changamoto katika kutengeneza mfumo wa kusimamia simu zinazotolewa kwa mkopo?

    Moja ya changamoto zinazowakabili developers wanaotengeneza mifumo ya kusimamia device kama simu zinazotolewa kwa mkopo, ni usimamizi wa technology inayowezesha mifumo yao kuwasiliana na device ya mteja moja kwa moja. Kwa mfano, kampuni inapompa mteja simu kwa makubaliano ya kulipa kwa awamu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto hazimaliziki katika maisha

    Habari za mida hii Wakuu naombeni msaada wenu mnisaidie japo kifedha changamoto hazimaliziki katika maisha 0622730684 🙏
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya AVN kwa Wanafunzi wa DIT Wanaotoka Diploma na Kujiunga na Shahada (Bachelor’s Degree)

    Ningependa kuwasilisha changamoto inayowakabili baadhi ya wanafunzi wa stashahada (Diploma) katika Chuo cha DIT, hasa wale wanaotaka kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Bachelor’s Degree). Changamoto hii haiwahusu wanafunzi wote, lakini nimebaini kuwa baadhi yao wameathirika na hali hii...
  11. youngkato

    JamiiForums Tanzania Una biashara lakini jina lake halijasajiliwa? Usisubiri mpaka ukumbane na changamoto!

    Wafanyabiashara wengi wanajitahidi kutafuta wateja na kukuza mitaji yao, lakini wanasahau hatua muhimu ya kuirasimisha biashara yao, ambayo ni kusajili jina la biashara kupitia BRELA. ZIFAHAMU SABABU 5 MUHIMU ZA KUSAJILI JINA LA BIASHARA YAKO. 1. KUJENGA UAMINIFU KWA WATEJA Biashara yenye...
  12. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania HII SASA IMETOSHA AISEE: Kijana (21) amefariki dunia kwa kujinyonga Manispaa ya Geita huku chanzo kikidaiwa kuwa ni changamoto ya mahusiano

    .
  13. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kimapenzi kwa sasa ni yana changamoto nyingi, kuachana imekuwa ndio mtindo mpya

    Wasalaam wakuu Hii sekta ya mahusiano ya kimapenzi imekuwa ngumu sio poa, watu kudumu muda mrefu ni kama hawawezi kabisa, kosa kidogo mshatishia kuachana au mnaachana kabisa, hapa usiombe uachwe wewe. Ukimwamini sana, anakuacha Ukimwamini kidogo, anakuacha Usipomwamini, anakuacha Ukimsaliti...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ilihudumia ununuzi wa umma wa Tsh. Trilioni 19.90 kwa miaka mitatu (2022/23–2024/25), lakini changamoto za uwajibikaji bado zipo

    Ripoti ya Uwajibikaji wa Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2024/25, iliyoandaliwa na WAJIBU na Policy Forum kwa kutumia ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG Mwenendo wa Uwajibikaji Katika Ununuzi wa Umma kwa Kipindi cha Miaka Mitatu 2022/23 hadi 2024/25. Uchambuzi wa ripoti za...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Huyu mtume akija Tanzania ataleta changamoto sana kwa wahubiri mafanikio wa Dar.

    Atachukua wanawake wote wa kwa Mtume Mwamposa na Pastor Tony
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ulyankulu - Tabora panakua lakini huduma ya barabara na maji bado ni changamoto

    UJUMBE KWA VIONGOZI WETU — ULYANKULU INAHITAJI MAENDELEO YA KWELI Kwa heshima kubwa kwa viongozi wetu wa Serikali, Mkoa wa Tabora na Wilaya ya Uyui, tunaomba suala la barabara ya Ulyankulu na upatikanaji wa maji lipewe kipaumbele. Ulyankulu inaendelea kukua na kuwa eneo muhimu kwa shughuli za...
  17. UTPC

    JamiiForums Tanzania Taasisi na Serikali ziwekeze katika mafunzo ya watoa huduma kwa wenye changamoto ya kusikia

    Katika mfululizo wa makala hizi, tunaona ukubwa wa tatizo na ukosefu wa wakalimani wa lugha ya alama katika vituo vya matibabu vya Jiji la Mbeya, na athari zake za kisheria na kiafya kwa watu wenye ulemavu wa kusikia. Swali la msingi: Nini kifanyike ili kupata suluhisho la tatizo hili? Sehemu...
  18. UTPC

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wenye changamoto ya kusikia wanapitia wakati mgumu katika Vituo vya Afya

    Katika Mkoa wa Mbeya wenye zaidi ya watu 12,000 wenye ulemavu wa kusikia, ni kituo kimoja tu cha kutolea huduma za afya chenye mkalimani wa lugha ya alama. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu Mkoa wa Mbeya (CHAVITA). Hata hivyo, nyuma ya hali hiyo, kuna maumivu makubwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nafanyaje ili niweze kuhamia Taasisi nyingine ya Serikali. Naomba ushauri wenu

    Habari za wakati huu Wakuu. Naomba msaada wa mawazo kuhusu utaratibu wa kubadilishiwa kituo cha kazi au kuhamia taasisi nyingine ya Serikali. Mimi ni mkufunzi wa Useremala chini ya Wizara ya Elimu, lakini taaluma yangu ni Civil Engineering. Kwa sasa nina changamoto ya kifamilia, kwani mzazi...
  20. D

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma za UDOM kwa upande wa changamoto za kitehama kwa wanafunzi ni mbaya mno

    Hii changamoto haipo ofisi za utawala mkuu pekee, bali hata utawala wa college yangu niliyokuwa nasoma ya ndaki ya sayasi asilia na hisabati (cnms) Viongozi hawajibiki kwa wakati , calls na message zetu zinasomwa tu na hazifanyiwi kazi kwa wakati au pengine hazifanyiwi kazi kabisa na wakati...
Back
Top Bottom