Moja ya changamoto zinazowakabili developers wanaotengeneza mifumo ya kusimamia device kama simu zinazotolewa kwa mkopo, ni usimamizi wa technology inayowezesha mifumo yao kuwasiliana na device ya mteja moja kwa moja.
Kwa mfano, kampuni inapompa mteja simu kwa makubaliano ya kulipa kwa awamu, kuna mambo kadhaa yanayohitaji kusimamiwa:
Kutokana na changamoto hii, tumeamua kutengeneza Auralock, API inayoshughulikia sehemu hii ya device financing.
Developer anaweza kuunganisha API hii kwenye mfumo wake wa POS, CRM, fintech au mfumo wa kusimamia mikopo bila kuanza kutengeneza kila kitu kutoka mwanzo.
Baadhi ya uwezo wake ni:
Tumeweka pia documentation na testing console ili developer aweze kujaribu integration kabla ya kuitumia kwenye mfumo wake.
Documentation: Aura API Documentation
Website: https://auralock.peloo.app
Kwa mfano, kampuni inapompa mteja simu kwa makubaliano ya kulipa kwa awamu, kuna mambo kadhaa yanayohitaji kusimamiwa:
- Kusajili simu na kuihusisha na mteja husika.
- Kufuatilia marejesho ya mkopo.
- Kujua kama mteja amelipa au amevuka muda wa malipo.
- Kufunga simu pale ambapo masharti ya malipo hayajatimizwa.
- Kufungua simu baada ya malipo kukamilika.
- Kuunganisha mfumo wa mikopo na malipo ya simu kupitia Mobile Money.
Kutokana na changamoto hii, tumeamua kutengeneza Auralock, API inayoshughulikia sehemu hii ya device financing.
Developer anaweza kuunganisha API hii kwenye mfumo wake wa POS, CRM, fintech au mfumo wa kusimamia mikopo bila kuanza kutengeneza kila kitu kutoka mwanzo.
Baadhi ya uwezo wake ni:
- Android Device Owner enrollment kupitia QR Code.
- Automatic device locking na unlocking.
- Loan installment management.
- Payment notifications kupitia signed webhooks.
- API integration kwa mifumo mingine.
Tumeweka pia documentation na testing console ili developer aweze kujaribu integration kabla ya kuitumia kwenye mfumo wake.
Documentation: Aura API Documentation
Website: https://auralock.peloo.app