Vital points au range areas ni somo la sayansi ya mwili, somo ambalo linamfanya mpiganaji wa ngao awe na uwezo au uelewa wa kumdhibiti adui, kumlemaza adui, kumshinda adui au kumuua adui kwa muda wa sekunde 3 - 5 .
Maeneo ya shabaha ni
1. The eyes
2. The nose
3. The side of the neck
4. The...
Halafu mkiambiwa mna ma IT wasio na uwezo mmewajaza humo maofisini mnatuteka na kutupa kesi za uhaini .
Watoto wanalala kwenye internet cafe kusubiri mfumo
Kwa muda sasa ushapata mtu WA kubadilishana nae kituo cha kazi tena mikoa tofauti kipengele cha incoming request hakifunguki kwa wote hata sasa ukiingia inakuletea AN UNEXPECTED ERROR OCCURRED
Jamani tunaomba marekebisho ya mfumo yazingatiwe kwa wakati, kwani mfumo huu ni kwa taifa zima...
Moja ya changamoto zinazowakabili developers wanaotengeneza mifumo ya kusimamia device kama simu zinazotolewa kwa mkopo, ni usimamizi wa technology inayowezesha mifumo yao kuwasiliana na device ya mteja moja kwa moja.
Kwa mfano, kampuni inapompa mteja simu kwa makubaliano ya kulipa kwa awamu...
Na Mwandishi Wetu
Serikali imepanga kuhakikisha mikoa yote nchini inatumia mfumo wa kidijitali wa usimamizi na umilikishaji wa ardhi, e-Ardhi, ifikapo Juni 2027.
Hatua hiyo inayolenga kurahisisha upatikanaji wa hati za ardhi na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.
Katibu Mkuu wa Wizara...
Ndugu zangu tuzinduke kwenye huu usingizi mzito, tumeshalala kwa kipindi kirefu sana sasa ni muda sahihi wa kuvuta shuka na kutupilia mbali Fikra na Tamaduni zote zilizotokana na Wazungu. Tuanze mwanzo kila kitu kiwe chetu. Kitu cha kwanza kuking'oa kiwe mfumo wetu wa Utawala huu mfumo wa...
Kuna ukweli kiasi gani katika madai kwamba Zanzibar inaweka mfumo wa kisiasa na kiutawala ndani ya Tanganyika unaoweza kuiwezesha kuendelea kushikilia mamlaka kwa miongo kadhaa ijayo, hata pale ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakapokuwa anatoka Tanganyika?
Je, huu ni mkakati wa...
Mfumo wa SIS (School Information System) unatumika na Wakuu wa shule kujaza wanafunzi hewa (walioacha shule/kufukuzwa/wasioripoti) wote wanawekwa na hawaondolewi kwenye mfumo ili wapate hela nyingi kupitia mfumo wa FARRS.
Wengine wanaenda mbali zaidi, wanawachangisha wazazi michango ya walimu...
Sijui ni Mimi tu au na wengine wanapata hii changamoto? Kwa upande wangu mfumo mzima wa kujaza online unasumbua.
Mtu akijaza taarifa step one, akifika step ya 2 akajaza, inamrudisha step one. Ni kwanini, ni matatizo ya mfumo au ni Nini?
Hivi vyeo vinaondoka.
Kuna kuhamishwa
Kuna kustaafu/kustaafishwa
Tunapoelekea Tanzania ya 2050 suala la Maadili lazima tulitizame kwa picha hiyo !!
Leo unapambana sana kudeal na Matukio ya mmojamoja na makundi , ni jambo zuri, ila Mama, fikiria Leo ukitoka utaacha nini kama kielelezo kwenye...
Najaribu kukata tiketi ya treni ya SGR lakini tangia jana usiku mfumo haufanyi kazi ,nilitegemea nikiamka nitakuta mfumo umerekebishwa ila cha ajabu mpaka wakati huu hali bado ni ile ile na TRC hawajatoa tamko lolote mpaka sasa.
Hili shirika linafikirisha sana kuhusu uendeshaji wake 🚮
Kuna changamoto kuhusu utekelezaji wa mikataba ya watumishi wa afya chini ya TAMISEMI iliyotolewa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watumishi wanalipwa kiasi cha shilingi 100,000 kwa mwezi, huku kukiwa na malalamiko kuhusu kutokuwepo kwa usawa katika malipo ya kazi za ziada (overtime).
Baadhi ya...
Leo nataka nifungue ukurasa mpya..
Katika maisha yangu, nimekuja kuona ya kuwa ile dhana ya kufikiri kuna mtu anaona maono na kuelewa malengo yako, hayupo essentially.
Yaani kwa ulimwengu huu wenye distractions zisizo na ukomo sahau kabisa, kuja kupata mtu wa kutengeneza nae vision.. Mtu...
Hoja ya awali ~ Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa katika Mfumo wa NACTVET
YAH: UFAFANUZI KUHUSU MATOKEO YA WANAFUNZI KUTOPANDISHWA KWENYE MFUMO WA NACTVET
TAREHE: 20/10/2026
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Kampasi ya Dodoma, kimeona taarifa iliyosambazwa kwenye...
Nina dukuduku ambalo ningependa kulifikisha kwa wahusika na kuanzisha mjadala mpana kuhusu ufanisi wa mifumo yetu ya kidijitali katika utoaji wa huduma za umma.
Wiki hii nzima nimekuwa nikijaribu kutuma maombi ya kupata leseni mpya ya biashara kupitia mfumo wa TAUSI, lakini kila ninapojaribu...
NMB KUNA CHANGAMOTO ZA KUKATA PESA ZA WATEJA BILA TAARIFA WAMEKATA KIASI CHA 180K BILA TAARIFA KAMILI
Balansi yangu ilikuwa Shilingi 720,000 lakini asubuhi yake nilipocheki ili niweze kutoa nikakuta salio linasoma Sh 540,000 na hakuna muamala wowote niliofanya, nikawapigia simu, wanasema...
Kwenu wataalamu,
Ukiacha njia ya asili ya kuvundika ndizi kwa kuchanganya na parachichi ili kuachialia gas ya ethylene inayoharakisha mchakato wa ndizi mbichi kuwa ndizi mbivu, nimeona kuna reefer container ambazo ndizi huwekwa na kupuliziwa hiyo gas ya ethylene na kufanya ndizi ziive kwa wakati...
1. JESHI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA
Njia mojawapo ya kawaida ya mapinduzi ya serikali ni jeshi kuingilia siasa na kuiondoa serikali iliyopo madarakani kwa kutumia nguvu. Kwa mfano walichofanya kina Ibrahim Traore wa Burukina Faso.
Hata hivyo, katika muktadha wa Tanzania, Baada ya...
Mfumo wa kieletronic wa ajira zanzibar (Zanajira)Kuanzia tarehe 12 mpaka leo haufunguki na wala hauruhusu mtu aingie ktk account yake jee wahusika hawalioni hili?
Frog boiling effect au boiling frog syndrome ni maelezo ya dhana ya kisaikolojia kuwa binadamu anaweza kuvumilia jambo baya akifanyiwa kwa taratibu (awamu kwa awamu) kuliko jambo hilohilo akifanyiwa kwa ghafla kwa wakati mmoja.
Maelezo ya dhana hiyo yanaonesha kuwa kuna chura aliwekwa Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.