Mfumo wa kuvundika matunda yaive kwa wakati mmoja (fruits ripening chamber)

Mfumo wa kuvundika matunda yaive kwa wakati mmoja (fruits ripening chamber)

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,143
Reaction score
1,729
Kwenu wataalamu,
Ukiacha njia ya asili ya kuvundika ndizi kwa kuchanganya na parachichi ili kuachialia gas ya ethylene inayoharakisha mchakato wa ndizi mbichi kuwa ndizi mbivu, nimeona kuna reefer container ambazo ndizi huwekwa na kupuliziwa hiyo gas ya ethylene na kufanya ndizi ziive kwa wakati mmoja.

Reefer container 40ft linaenda hadi milioni 30, nataka nifahamu mbinu mbadala zaidi ya kutumia container ambalo ni garama sana. Mfano, wall panel zinazotumika kuunda cold room zinaweza kutumika kuunda ripening chamber? Au kuna mbinu nyingine ya kitaalamu zaidi ya refrigerated container!

Kumbuka nataka ndizi ziwe mbivu kwa wakati mmoja. Njia za kuvundika kienyeji nazifahamu, nahitaji za kisasa ili kwa ajili biashara kubwa
 
Back
Top Bottom