mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Raiffa: Mwanamke anayelea watoto pekee, amebeba majukumu ya watu wawili katika moyo mmoja! Aheshimiwe

    "Wanawake ambao saa yao ya kuamka ni kilio cha mtoto. Wamefundishwa kuwa mama lakini maisha yakawalazimisha kuwa baba pia. Wanabeba mabegani mtoto, mkononi mfuko wa mboga, moyoni deni na usoni tabasamu ambalo halisemi ukweli. Jamii imekuwa na haraka ya kuwahukumu kuliko kuwasaidia. "Mumeo yuko...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mmoja wa vibaka aliyeuliwa 29/10/2025

    Kwa maelezo ya Shehe Mwaipopo pamoja na mashehe wengine wa BARKWATA, Huyu ni mmoja wa Vibaka waliouliwa kihalali na Serikali ya Muislam mwenzetu aliyeshindwa kumaliza eda yake. Allah atusaidie sisi waislam tuache unafiki.
  3. Anonymous

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwaka mmoja baada ya doa la Oktoba 29: Je,Taifa linaelekea kwenye suluhu?

    Mwaka mmoja baada ya Oktoba 29, Tanzania imepiga hatua gani kutoka katika kutambua yaliyotokea hadi kuweka wazi ukweli, kuwawajibisha wahusika na kutoa haki kwa walioathirika? Ni takribani mwaka mmoja tangu Tanzania ikumbwe na doa kubwa katika historia yake kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ni ngumu kwa Mwanamke kutulia na Mwanaume mmoja?

    Huyu jamaa anadai kuwa inaamika wanaume ndio hawawezi kutulia na Mwanamke mmoja lakini yeye baada ya kuanza kufanya kazi na Wanawake amegundua kuwa hata wanawake ni ngumu kutulia na Mwanaume mmoja. Anasema jambo hilo lipo pande zote mbili, japo wanawake wanajitetea kuwa wanampenda fulani na...
  5. Patrice Diounis

    JamiiForums Tanzania Kwenu Mliojisahau, kila taifa lililoanguka lilianza kwa ukimya na kunyamazishana

    Kila taifa lililoanguka lilianza kwa ukimya na kunyamazishana. Hasa pale wanasiasa walipoikamata Intelijensia na wasiochaguliwa pia waliotupwa mkono kikatiba wakaitawala serikali. Kikubwa taifa huanguka Hasa pale jeshi likikoma kuwa la wote, likawa la mmoja au kikundi fulani. Mwanazuoni...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania Utawala wa mmoja wa matapeli waovu na wenye kiu ya damu zaidi katika karne ya 21 hatimaye umefika mwisho.Kwa heri Netanyahu

    Wanaukumbi. 🇮🇱 NETANYAHU KUONDOKA TEL AVIV IMEANZA KUSHEREHEKEA Vituo vya kupigia kura vimefungwa. Tel Aviv imelipuka kwa sherehe za upinzani. Kulingana na matokeo ya kura, kambi ya Netanyahu imeshindwa kupata wingi wa kura. Upinzani na vyama vya Waarabu sasa vinaweza kuwa na nguvu ya kuamua...
  7. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Chawa mmoja aligundua boss anaruka na mke wake, ila hakufanya chochote maana alipiga mahesabu kuwa yeye mwenyewe ni mvivu na upambe ndio ugali wake

    Kwa heshima na taadhima ya JF haipaswi kutaja watu humu Ila uchawa ni choice. Na vitu unavyopaswa kuvifanya ili udumu katika fani ya uchawa ni KUPIGA CHINI UTASHI WAKO, KUPIGA CHINI UTU WAKO NA KUKUBALI KUWA MTUMWA.
  8. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania R.I.P Mwalimu wangu Azaboy, current ukiwa mkuu wa shule Mnazi Mmoja, Joram Nkya

    Pumzika kwa Amani Joram Nkya, ulianzia kazi Azaboy ukawa mwalimu wangu mwema,baadae nikapata taarifa uliamia mnazi mmoja na mpaka umauti unakukuta ulikuwa mwalimu Mkuu. Sidhani kama hapa ukitumia jina lako halali ila najua ulikuwa member kabisa kindaki ndaki. Wasalimie Wanaccm...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kumwita mwenyekiti wa Chaso na kumuacha Kiliba ni ukorofi. Hatuwezi kuwa na taifa ambalo vyombo vya dola wanataka watu wote wawe upande mmoja.

    Hamjambo! Nilimsikia Dogo Kiliba alichoongea. Kwa upande wake hakukosea. Aliongea kwa haki na uhuru wake. Kulingana na uelewa na maslahi yake. Sioni tatizo katika hilo. Baadaye akaja Dogo mwingine aitwate Zakayo ambaye ni Mwenyekiti wa CHASO huko Mwanza. Akimjibu Dogo mwenzake. Wote wametoa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaro uliopo Arusha - Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero na hatarishi kwa afya

    Huu mtaro upo Arusha maeneo ya Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero sana na hatarishi, maji yametuama hayatembei kabisa. Hali ni mbaya sana na uongozi upo kimya paka vinyesi, maana hiyo ni chemba zinafunguliwa wakati wa usiku na mtaro umeziba maji yanajaa barabarani yenye vinyesi.
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Mmoja Wa Kigeni huko Saudi Arabia ahukumiwa kifo kwa kukashifu Uislamu

    Mwanaume kutoka Sri Lanka akikabiliwa na adhabu ya kifo kutokana na maoni aliyoyatoa kwenye Facebook. Hata hivyo, kwa mujibu wa taarifa kutoka Sri Lanka, Mahakama ya Juu ya Saudi Arabia imebatilisha hukumu hiyo. Anujan Sivarasa, mwenye umri wa miaka 27, alihukumiwa kifo mwezi Septemba 2026...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ziara ya London ya Mwigulu Nchemba: Serikali ya Uingereza yajificha. Hakuonana hata na mmoja.. Hakupata muwekezaji hata mmoja

    "Watanzania Wanahitaji kujua ni nani atakuja Tanzania, ataleta kiasi gani cha fedha, atajenga nini, ataajiri Watanzania wangapi na mradi huo utaanza lini. Hapo ndipo mafanikio ya ziara ya London yatakapoweza kupimwa kwa ushahidi si kwa idadi ya mikutano iliyofanyika na kututumia picha za...
  13. emmarki

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kuvundika matunda yaive kwa wakati mmoja (fruits ripening chamber)

    Kwenu wataalamu, Ukiacha njia ya asili ya kuvundika ndizi kwa kuchanganya na parachichi ili kuachialia gas ya ethylene inayoharakisha mchakato wa ndizi mbichi kuwa ndizi mbivu, nimeona kuna reefer container ambazo ndizi huwekwa na kupuliziwa hiyo gas ya ethylene na kufanya ndizi ziive kwa wakati...
  14. Ngongo

    JamiiForums Tanzania CDM mkiendelea kutumia jeshi la mtu mmoja hakika mtaanguka asubuhi na mapema.

    Heshima sana wanajamvi. Tanzania ni kati ya nchi kubwa Barani Afrika.Ukubwa wa Tanzania ni 947,303 Sq Km. Ukizichukua Kenya,Uganda,Rwanda & Butundi kwa pamoja bado hazijafikia ukubwa wa Tanzania. CDM pamoja na kuwa na muundo mzuri wa kiuongozi yaani Kanda,Mkoa,Wilaya na Kata bado inategemea...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Albania na France maandamano yanaenda wiki, hakuna hata mmoja ameuawa

    Hapa masaa kidog tu tu 518 maiti as per hotuba ya chande! or over 10,000 maiti as per upinzani. Afrika ni laana!
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa maji, Mwanza, Wilaya ya Ilemela, Kata Nyamuhongoro, Mitaa ya Nyamadoke, Iwelyashenga na maeneo ya karibu

    Sisi ni wakazi wa Kata ya Nyamhongolo, katika mitaa ya Nyamadoke, Ibinza na Iwelyashenga, Wilaya ya Ilemela, Jiji la Mwanza. Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, hatujapata kabisa huduma ya maji kutoka MWAUWASA. Hapo awali, tulikuwa tukipata maji mara moja kwa wiki, tena kwa muda wa saa chache. Hata...
  17. makpridash

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii ni ajabu sana. Mtu mmoja anadai wazazi wanalingana kwa umuhimu. Kwangu Mimi Nooo

    Hapana Kwa kifupi wapo waliotendewa wema na Mama zao na wapo waliotendewa ubaya na haohao mama zao. Lakini asilimia kubwa baba wengi tumewatendea ubaya wake zetu, kitendo kilichotengeza chukizo kwa watoto. Kwa watoto kivipi. Wengi tunasingizia mama kuwalisha watoto machukizo. Lkn tunasahau...
  18. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Takriban mwaka moja tangu treni ya SGR ipate ajali Ruvu, ila hakuna taarifa rasmi ya chanzo, harasa wala hatua zilizochukuliwa

    Oktoba 23, 2025, treni ya SGR ya mchongoko (EMU) iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ilipata ajali katika eneo la Ruvu. Jambo la kufurahisha ni kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha, ingawa ajali hiyo ilisababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu, ikiwemo reli na njia za umeme...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kila mmoja aandike analotaka kwenye picha hii

    Tutajua feelings za kila mmoja. Mimi nitaandila wa mwisho
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ai IMEDONDOSHA BOMU LA NUCLEAR! 💣🔥 Mtu mmoja atumia Ai kutengeneza mbadala wa software za Adobe bure - Photoshop, Premiere Pro, Illustrator, n.k.

    Adobe imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kutokana na gharama za usajili na ada za kughairi huduma. Brandon Thomas ametumia uwezo wa AI kutengeneza programu zinazolenga kuchukua nafasi ya bidhaa mbalimbali za Adobe zitazokuwa bure na wazi, bila kuhitaji kulipia usajili. Watumiaji...
Back
Top Bottom