mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Viongozi wangu wa Simba kuna dogo mmoja fundi wa mpira Bravos aliingia kipindi cha pili mfupi na anaitwa Mathew, mali ile

    Yule dogo mfupi Ana tege hivi kama Feruzi Telu au Triple C, aisee dogo alitusumbua sana yule alipokuwa akishika mpira, kwanza Ana control, kana nguvu za miguu halafu kanajua kurusha pasi ndefu, yule dogo mtu sanaaaaaa. Ile mali viongozi wangu msiiache, mido yake ya chini ni ya kushambulia mnoo
  2. M

    Kuna chawa mmoja wa mwamba aliyepewa mgao wa asali alinunua alphadi pamoja na ahadi aliyopewa ya kugombea ubunge kigamboni

    Mnamo mwishoni mwa mwaka 2024; Kijana mmoja timu mwamba, aliitwa ili kupewa maelekezo ya kuratibu harakati za mwamba ili abakie kwenye kiti. Kijana huyo anayejiita mwandishi nguli alipokea asali hiyo kupitia kwa mtoto wa mwamba. Moja ya matumizi ya kwanza kabisa ya asali ile kijana huyo...
  3. a sinner saved by Christ

    Mwanaume akifika mshindo mmoja tu anatoa mbegu/manii takribani milion 350 zenye ujazo wa wastani wa 3.5ml.

    Kwa mshindo mmoja tu mwanaume Anapoteza hizo mbegu za kiume kwa wastani wa wingi huo wa mbegu milioni 350M (3.5mls za ujazo) Ambazo hizo ni pure proteins matofali ya kujengea na kukarabati mwili wake.. KUNA FAIDA KWA MWANAUME KATIKA KUPUNGUZA KUTOA MBEGU ZAKE ZA KIUME(NGUVU ZAKE) MARA KWA...
  4. B

    Foleni ya kwenda kumuona Mwanaume mwenye Mwanamke mmoja

    😁😁😁
  5. K

    Pre GE2025 Uchaguzi Chadema: Mbowe anasema wapigaji kura watahojiwa mmoja baada ya Mwingine

    Akihojiwa na Kikeke nimemsikia Mbowe akisisitiza kwamba wapiga kura wataitwa mmoja mmoja na kuhojiwa hadharani (live) katika Kumchagua Mwenyekiti Mpya. Binafsi nadhan hiyo sio sawa, wangepiga kura za Siri na baada ya hapo ndio kura zihesabiwe live, hili kuepuka intimidation kwa wapiga kura...
  6. Beige

    Jinsi nilivyotibika Bells Palsy/Facial Paralysis (Uso kupooza upande mmoja)

    Hello all, Ninapenda kushare nanyi nilivyotibika tatizo la uso kupooza. Ninafanya hivi kumsaidia mtu yeyote ikitokea amekutana na changamoto kama hii. Niligundua wakati naswaki usiku najaribu kusukutua mdomo unagoma hauna uwezo wa kuhold maji mdomoni nikapata panick attack moja ya heshima...
  7. M

    Uhamasishaji wa Haji Manara ni wa kizamani sana, hakuna hata msanii mmoja mwenye ushawishi

    Nimecheka kweli, Bw Manara kaita wasanii ambao hawana influence yoyote hapa nchini na kuwasihi watumie platform zao kuhamasisha watu kujaa uwanjani, hivi kweli jaman washabiki wa mpira wanaweza kwa mfano kushawishiwa na Diamond t ambaye ana influence kubwa kwenda kuiona timu yao ikisambaza Gusa...
  8. mdukuzi

    Mwaka mmoja tangu nihamie mitaa hii nimeamini jehanam na pepo vyote viko duniani

    Nimezaliwa mitaa yenye ustaarabu, nikakulia nje ya mji,nikaanza maisha uswazi na kwenye slums,nimewahi kuwa homeless kwa miezi kadhaa hapa nchini na nje ya nchi, nimeishi mikoani vijijini kabisa huko wilayani,itoshe kusema jehanam ipo hapa hapa duniani na pepo ipo hapa hapa duniani Stori za...
  9. Shooter Again

    Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

    Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana...
  10. Mchochezi

    Okwi atimiza miaka 32, ni mmoja ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu nchini

    Njooni tumpongeze na kumtakia heri na fanaka Emanuel Arnold Okwi kwa kutimiza miaka 32 juzi. Huyu ni mmoja ya wachezaji bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi yetu
  11. K

    Paul makonda apewe wizara ya maji mwezi mmoja tu

    Kuna watu hawapendi maneno mengi. Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo. Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu. Akimuondoa mhalifu...
  12. Mathanzua

    Tunatafuta mashirika yanayotoa msaada wa visima vifupi kwa wananchi mmoja mmoja Wilaya ya Mvomero

    Wilaya ya Mvomero ni Wilaya yenye mito mingi sana.Hata hivyo Wilaya hii bado imeendelea kuwa na changamoto kubwa ya maji.Wananchi waliio wengi bado wanatumia visima vya wazi na mabwawa ambayo si salama kwa Afya zao,kwa kuwa mara nyingi wanachangia na mifugo.Maji haya kwa hiyo si salama na ni...
  13. Dabil

    Pre GE2025 Hakuna mbunge hata mmoja wa CHADEMA atashinda uhaguzi ujao

    Mda unavyoenda CHADEMA inazidi kuwa mahututi,ingawa Mbowe atashinda kwa kura za kutosha kutoka kwa wajumbe lakini wanachama ambao ndo wengi hawana imani tena na CHADEMA chini ya Mbowe. CCM wameshajua madhaifu ya Mbowe ndo maana wanapambana ili ashinde kwenye uchaguzi ndani ya chama. Chadema...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Je, wajumbe wa kamati kuu CHADEMA wataweza kuchomoka kwenye huu mtego?

    Mnara umenipa signal kuwa mchezo unakwenda kuisha kwa dau la milioni 10 kwa kila mjumbe wa kamati kuu CHADEMA ili kwa sharti la kupiga kura kwa kipenzi cha Maza. Je, vipi hali ya uchumi ya wajumbe wa kamati kuu CHADEMA ? Watwaweza kuchomoka kwenye huu mtego?. Ijulikane mtoa pesa sio mjinga...
  15. DR Mambo Jambo

    Kwanini kila ikifika Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi Lazima kutokee Mikwaruzano Ya Kisiasa CHADEMA Ya FAM Hii ndo SIRI ILIYOJIFICHA

    Kiistoria, kila unapobaki mwaka mmoja au miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa rais na wabunge nchini, ndani ya chadema kunaibuka minyukano. Hii ilikuwa kweli mwaka 2008 na 2009, kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010 Na Ikawa kweli 2013 na 2014, kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Na sasa ni kweli pia...
  16. The Watchman

    Mbeya: Mtu mmoja auawa kwa kukatwa na panga wakigombea goli lilokataliwa uwanjani

    Anyulise Mwamkisu (49) ameuawa kwa kukatwa na mapanga, katika uwanja wa mpira wa miguu wa Kijiji cha Mofwile Halmashauri ya Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya, kulikokuwa na Ligi ya mpira kati ya Nyuki FC na Mofwile FC na kuibuka kwa vurugu baada ya timu moja kushinda goli na kukataliwa, hali...
  17. mlinzi mlalafofofo

    Je, faida zipi chanya zinapatikana kwa kuoa zaidi ya mke mmoja?

    Wakuu 2025 ndo hiyooo inakuja. Nataka hii iwe moja ya plan zangu kwa 2025. Ila nimeona nije kwanza apa jeifu maana apa ndo kisima cha busara nipate hakikisho kwa wakongwe walionitangulia ktk hili. Kwaiyo hapa nawakaribisha wote mlio na wake kuanzia wawili na zaidi kwa maoni. Nina uhakika...
  18. Megalodon

    Gerson Msigwa, haiwezekani kila mmoja akawa Mlinzi wa SGR, Serikali iwajibike

    Moja ya best investment ya JPM na atakumbukwa kwa hili ni SGR. God bless you John, Rais Mtendaji. Tupo kwenye Science na Technology ,digital transformation, artificial intelligence, machine learning, satellite, Blockchain, internet of things, automotous drones, robotics and automations...
  19. Ubaya Ubwela

    Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
  20. KING MIDAS

    Nimepanda miti minne, mitatu mbele ya hotel ya Kebby's na mmoja ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA)

    Jana tarehe 17/12/2024 nilipanda miti minne mtaa wa Mwenge Kijijini. Nimepanda jumla ya miti minne, mmoja mbele ya ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA), na mingine mitatu nimepanda mbele ya Kebby's Hotel. NI utamaduni wangu wa kupanda miti kandokando ya barabara ili kuwafanya waendao...
Back
Top Bottom