Kwanza naomba kujua ni sababu zipi wazungu waliziona kwa misri na nchi nyengine za mashariki ya kati kuziunganisha na bara la Afrika?
Je ni usalama au Kuwagawa waarabu?
Jambo la pili inakuwaje nchi kama Misri ambayo inahistoria kubwa mno,imeshindwa kutoa hata nabii mmoja,Kiongozi(sayansi...
Mbali na mapungufu ya kibadamu, hawa wote wana uzalendo
Wote ni maradical
Wote ni wanachukia Rushwa
Wote wanachukia uzembe , uvivu
Wote wanamsimamamo mikali
Wote wanahulka ya kusema ukweli.
Wote hawa ni wachapa Kazi hakika taifa letu pendwa la Tanzania litapaaa sana viongozi wote wazembe, wala...
Dunia inamaajabu yake na vituko kutoka kwa binadamu!
Sasa man anataka apate mtoto kwa kumeza kifaraga baada ya kuambiwa na mganga wa kienyeji. Ila hawa waganga wa kienyeji wa hovyo na wapumbavu si Afrika pekee duniani kote akili zao zinafanana ili kuwapoteza wajinga ambao wanaamini katika imani...
Bima ya Afya ya Taifa wamezindua vifushi vipya ambapo kubwa ilikuwa ni kilio cha watanzania kuhusu toto afya kadi ambayo ilifutwa awali na kwasasa usajili utakuwa kama ifuatavyo
kama unataka kumsajili mtoto wako ambae sio mwanafunzi utalazimika kulipa kiasi cha shilingi laki moja na nusu kwa...
Natazama hapa tuzo tajwa. Pamoja na tuzo mbalimbali kwa wachezaji na watu mashuhuri wengineo, mwanamuziki Diamond ametumbuiza.
Akiwa na 'madansa' wake, Diamond alitumbuiza wimbo wa Komasava. Alipomaliza, Diamond hakushangiliwa hata na mhudhuriaji mmoja ukumbini. Kwanini?
Yawezekana ni kwakuwa...
Nipo tiyari kukosolewa lakini Kwa uthibitisho tu na sio mbwembwe zingine.
Kwanza hakuna kwenye biblia sehemu yoyote Ile watu walifanya harambee ya kumnunulia mtume ama nabii punda ama farasi Kwa Wakati huo maana hapakuwa na magari Wala pikipiki.
Hivyo usafiri wao ulikuwa Punda,Ngamia au...
Hili jambo nmekuwa nikilichunguza Kwa mda sana Hadi nimefikia hitimisho ukweli kabisa watu wawili hawano jielewa na kujitambua they can't fall in love
Mapenzi HUITAJI mjinga mmoja na mwenye akili mmoja so tafuta mjinga wako au wewe kuwa mjinga ili upate mwenye akili
Ni Hilo tu nawafundisha...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Karibuni
Jim reeves:
•Seno Santa Claus
•Jingle bells
•Silent night
•Mary's boy child
SILVER BELLS:
"City sidewalks, busy sidewalks
Dressed in holiday style
In the air
There's a feeling
Of Christmas
Children laughing
People passing
Meeting...
Wakuu,
Mtangazaji mkongwe wa Clouds Media Group, Sam Sasali ana neno kwa wote wenye tabia ya kulaumu Jeshi lote la Polisi kwa makosa ya mtu mmoja
==
"Watu wanahukumu jeshi lote la Polisi inapotokea shida lakini shida sio kwa Jeshi ni mtu mmoja mmoja. Ukisema traffic wanakula rushwa sio kweli...
taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio baba wa mtoto aliyekuwa akifanyiwa ubarikio.
Inadaiwa chanzo cha tukio ni dereva wa pikipiki...
Habari kaka... naomba ushauri mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 25
Nina ishi na mpenzi wangu niliezaa nae tunamiaka 8 mpaka sasa. Naomba ushauri kwani mimi najiona kabisa nakaribia kukata tamaa huyu kaka toka nimekua nae kwenye mahusiano alikuaga hana kazi mimi nikajitahidi pale nilipokuaga...
Mnajua Wanawake wanatuhitaji sana sisi wanaume ndicho kitu walichoumbiwa.
Mwanamke inabidi ndio awe mwenye Furaha sana pale unapomwambia Ninakuoa !!.
Et waoo kasema ' ndio' , Kwa lugha nyingine Jama alikua Kwa Mahusiano ambayo bado Demu alikua na Option nyingine !!.
Hivi inakuaje Mwanaume...
Wamiliki wawili wa jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, Dar es salaam wamepelekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana huku mmoja wao ambaye ni Leondela Mdete (49) akipata dhamana katika kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Waliokosa dhamana ni...
Wazungu wanamsemo wao mashuhuri sana unaosema, there is no honor among thieves, wakimanisha kwamba wahalifu hawaheshimiani linapokuja suala la maslahi ama kugeukana. Sasa kwa watu wa namba tumeshaona uwezo wa Chadema kupewa ubunge kwa njia ya rushwa kama mlivyokubaliana na CCM ni kaburi la kifo...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 27 Novemba 2024 amepiga Kura ya kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa Unyamwezini Kata ya Itumbili, Magu mkoani Mwanza.
Mara baada ya kupiga Kura, Dkt. Stergomena Tax, amesema ameridhishwa na...
Nimefika kupiga kura kituoni mida ya saa 5 asubuhi. Watu hawakuwa wengi na walikuwa wanakuja taratibu, wengine wapo shambani wanasubiri wapigiwe simu zamu yao ikikaribia.
Kilichoniudhi ni kukuta hakuna mpinzani hata mmoja anagombea, wote ni CCM tupu! Halafu nikakuta ule mtindo wa enzi za...
Nchi yetu ya ajabu sana, iliyojaliwa kuwa na viongozi wa ajabu pia, viongozi wanaobariki maovu alimradi maovu hayo yawe ni dhuluma ya kuwanufaisha CCM.
Fikiria, waziri Mchemgerwa ndiye mwenye jukumu la kutengeneza kanuni za uchaguzi, akatengeneza kanuni za hovyo kabisa, ikiwemo ile ya kifungo...
Sijawahi kuelewa kwa nini kuna watu wanasema mungu ni mmoja ila duniani kuna dini nyingi mbalimbali tofauti kila moja ikiwa na maelezo tofauti kabisa kuhusu mungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.