mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Wasafi media na EFM ni watoto wa baba mmoja na mama mmoja matumbo mbalimbali

    EFM na wasafi media wametofautiana tarehe ya kuzaliwa tu lakini baba ni mmoja na mama yao mmoja! Wafanyakazi wanakula kwa bamdogo wanalala kwa shangazi! Mikataba yao ni copy and paste! Mwaka mmoja kulala kwa shangazi, mwaka mwingine tunarudi kwa bamdogo maisha yanasonga cha muhimu ni kuwa na...
  2. Nazjaz

    Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako

    Ndoa ni majaaliwa, na kikubwa zaidi ni kujiandaa tangu ukiwa msichana kuwa mke wa fulani. Kipindi cha usichana ni kipindi cha kuonesha tabia njema sana kama kweli unataka kuwa mke wa mtu. Sio kwenye mapombe umo, kwenye madisko umo, kwenye ma Beach party umo, kwenye kuchoropoa mimba na kudanga...
  3. P

    Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

    Muda huu niko kwenye kivuko, kuna mbaba wa makamo amejirusha kwenye kivuko cha Busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea na safari bila msaada wowote R.I.P jamaa
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Sijawahi kuona mtu anafunga magoli mawili kwa wakati mmoja

    Wanaomwita Jini hawako mbali na ukweli. Tazama alipiga mgoli wa kichwa akipokea krosi toka kwa Kibu Denga. Hilo lilikuwa goli tayari. Mara nyingi majini hayana huruma maana. Jini likaona litoe show watu wafurahi na viingilio vyao. Likaganda hewani dakika 2 linapiga mgoli wa Haaland. Hapo...
  5. Termux

    Kukosa hamu ya kula na uchovu, mate kujaa mdomoni sana ni dalili ya nini?

    Habari JF, mke wangu mimba yake ilitoka ikiwa na mwezi mmoja. Lakini tangu itoke ni mwezi sasa na bado anatema mate mengi sana. Je inaweza ikawa ni dalili ya nini? Ni mimba au inaweza ikawa tatizo lengine?
  6. Zakaria Maseke

    Jinsi ya kuomba Mahakama itengue hukumu ya upande mmoja (how to challenge ex parte judgement)

    Issue: Whether ex parte judgment can be appealed against without first attempting to set it aside?. By zakariamaseke@gmail.com Advocate Candidate - LST. Umeshtakiwa alafu hujatokea Mahakamani, kesi imesikilizwa upande mmoja (exparte) na hukumu imetolewa dhidi yako (umeshindwa kesi)...
  7. Mpinzire

    Wakili Mahuna: Sabaya hajafungwa kifungo cha nje, ila Kapewa muda wa uangalizi wa mwaka mmoja

    Wakili wa Sabaya, Mh Mahuna amesema Sabaya alikiri kosa la uhujumu uchumi na hivo kwa mujibu wa makubaliano ya Plea Bargaining Sabaya anapaswa kumlipa Alex Swai kwa niaba ya mdogo wake Tsh 5,000,000/=. Mara baada ya hayo kesi ilienda kufail tena kwa makosa mawili ambayo ni "Kujitwawalia...
  8. M

    Yanga mnaupiga mwingi, mafanikio ya msimu mmoja tu ndani ya michuano ya CAF ni kielelezo cha ubora wa timu yenu

    Hakuna asiejua msoto aliopitia yanga miaka ya nyuma kwenye michuano ya kimataifa, mafanikio pekee aliyokuwa nayo ilikuwa ni kuingia hatua ya makundi kombe la shirikisho na akavuta mkia kwenye kundi lake, kipindi icho ilikuwa ni yanga ya kuungaunga sana. Lakini baada ya uwekezaji mkubwa kwa...
  9. Replica

    Tanzania ina mamilionea 2400 wa USD, sita wamevuka 100m na mmoja aliyevuka bilioni 1

    Tanzania inabaki nchi pekee Afrika mashariki yenye mtu mwenye utajiri zaidi ya dola bilioni moja za kimarekani. Ina jumla ya mamilionea 2400 kwenye dola ya mmarekani huku 1300 katika hao makazi yao yakiwa Dar es Salaam na mji huu ukishika nafasi ya 12 miji Afrika wananchi wake wakiwa na utajiri...
Back
Top Bottom