Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,490
- 38,302
Heshima sana wanajamvi.
Tanzania ni kati ya nchi kubwa Barani Afrika.Ukubwa wa Tanzania ni 947,303 Sq Km.
Ukizichukua Kenya,Uganda,Rwanda & Butundi kwa pamoja bado hazijafikia ukubwa wa Tanzania.
CDM pamoja na kuwa na muundo mzuri wa kiuongozi yaani Kanda,Mkoa,Wilaya na Kata bado inategemea jeshi la mtu mmoja Heche Makamu Mwenyekiti Tanganyika.
Katika siku za hivi karibuni CCM wamekuja na aina mpya ya namna ya kufanya siasa zake.Wanajitahidi kuwafikia wananchi hadi ngazi za chini.Wiki iliyopita nilikuwa Loliondo nilikutana na ziara ya Mwenyekiti ngazi ya mkoa wakipambana kuwafikia wananchi ngazi ya shina ?.
Nikaambiwa Karatu,Monduli,Simanjiro.....zote zimefikiwa.Kote huko walikopita walikuwa wakisikiliza kero za wananchi na baadhi kipatiwa majibu ya haraka.
CDM kwa upande wake busy na Heche jeshi la mtu mmoja hoja kuu katiba mpya.Hawazungumzi tatizo la maji,ugomvi wa wakulima na wafugaji,hawana habari tatizo la ajira kwa vijana.
Ukweli mchungu Heche na mikutano yake haiwapeleki CDM popote.
Najiuliza Wenyeviti wa Kanda wanafanya nini ?.
Wenyeviti wa Wilaya na Makatibu wako wapi au wanamsubiri Heche ?.
Muundo wa CDM upo kwenye makaratasi tu.
Povu ruksa.