Albania na France maandamano yanaenda wiki, hakuna hata mmoja ameuawa

Albania na France maandamano yanaenda wiki, hakuna hata mmoja ameuawa

Wewe ni mjinga utaka hao watajili ndio ulinganishe na sisi ambao kuchoma moto choo tu cha stand ya bus inahitaji muda mrefu kufidia

USSR
 
Kwamba vituo vikichomwa utaratibu ni kuuwawa kwamba hakuna kosa la Arson kwenye penal code, ndio maana huwa nawambia nyie nguruwe siku nchi ikikombolewa tutawachinja mchana kweupe shenzi zenu nyinyi.
Jibu swali au kaa kimya! Au hujui kukaa kimya ni busara?
 
wakichoma kituo cha mafuta lazima wachapwe risasi.
 
wakichoma kituo cha mafuta lazima wachapwe risasi.

Jisikitikie kuufanya moyo wako kuwa nyumba ya shetani. Kwa uwendawazimu huu ulioweka hapa, kama ingekuwa hivyo, hata mahakama zisingekuwepo. Shetani amekuondolea hata ile akili ya kawaida!

Hata mwenye utindio wa ubongo, anatambua kuwa mhalifu au mtuhumiwa wa uhalifu, hukamatwa na kufikishwa mahakamani. Wewe kwa kukosa uelewa huo, ina maana uwendawazimu wako umezidi hata ule wa wenye mtindio wa ubongo. Yawezekana ulizaliwa ukiwa na akili timamu, lakini ulipoiweka nafsi yako kuwa nyumba ya shetani, ili akumalize kabisa, amekuondolea hata ile akili ya kawaida!!
 
Jisikitikie kuufanya moyo wako kuwa nyumba ya shetani. Kwa uwendawazimu huu uioweka hapa, kama ingekuwa hivyo, hata mahakama zisingekuwepo. Shetani amekuondolea hata ile akili ya kawaida!

Hata mwenye utindio wa ubongo, anatambua kuwa mhalifu au mtuhumiwa wa uhalifu, hukamatwa na kufikishwa mahakamani. Wewe kwa kukosa uelewa huo, ina maana uwendawazimu wako umezidi hata ule wa wenye mtindio wa ubongo. Yawezekana ulizaliwa ukiwa na akili timamu, lakini ulipoiwrka nafsi yako kuwa nyumba ya shetani, ili akumalize kabisa, amekuondolea hata ile akili ya kawaida!!
Kama wanatakiwa wapelekwe mahakamani bunduki wanapewa za nini au unafikiri zile ni kuni za kuwashia moto usiku wakiwa doria?
 
Halafu anatokea mtu anasema walitaka sijui kupindua nchi na hawakuwa na silaha yeyote 😳😳😳 Africa 😭😭

Kama siku moja tutakufa na kama kweli kutakuwa na Mbinguni... Naamini asilimia zote hakuna ngozi nyeusi yeyote itakayoona pepo
 
Hapa masaa kidog tu tu 518 maiti as per hotuba ya chande! or over 10,000 maiti as per upinzani.

Afrika ni laana!
Na hao wanachoma moto Moto miundombinu ya usafiri na maduka ya wasanii pamoja na kuiba mitungu ya gas kama mlivyofanya nyinyi?
 
Back
Top Bottom