Albania na France maandamano yanaenda wiki, hakuna hata mmoja ameuawa

Albania na France maandamano yanaenda wiki, hakuna hata mmoja ameuawa

Hapa masaa kidog tu tu 518 maiti as per hotuba ya chande! or over 10,000 maiti as per upinzani.

Afrika ni laana!
Useme pia wamechoma petrol station ngapi?
Wameharibu miundombinu gani?
Wamejeruhi watu wangapi
 
Hapa masaa kidog tu tu 518 maiti as per hotuba ya chande! or over 10,000 maiti as per upinzani.

Afrika ni laana!
Africa,
hususani TANZANIA hua hawaandamani bali hufanya ghasia, uharibifu na kusababisha maafa 🐒
 
Back
Top Bottom