Je, ni kweli ni ngumu kwa Mwanamke kutulia na Mwanaume mmoja?

Je, ni kweli ni ngumu kwa Mwanamke kutulia na Mwanaume mmoja?

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Huyu jamaa anadai kuwa inaamika wanaume ndio hawawezi kutulia na Mwanamke mmoja lakini yeye baada ya kuanza kufanya kazi na Wanawake amegundua kuwa hata wanawake ni ngumu kutulia na Mwanaume mmoja.

Anasema jambo hilo lipo pande zote mbili, japo wanawake wanajitetea kuwa wanampenda fulani na kwa mwingine wanafata kitu kingine labda pesa.

Je, umewahi kujua kuwa hata wanawake hawatulii na Mwanaume mmoja? Au huyu jamaa anatupanga?
 
Mpe hela, mpe mapenzi, mjali, Mfanye aione wa thamani.. Uone kama atakucheat.

Mwanamke ni kama uwa tu, usipolizingatia lazima uumie


Ili umlidhishe mwanamke ukubali kuwa na pesa ya kula dagaa na ulipe kodi maisha Yako yote .

Over.

Wenye pesa hawana mda na wenye mda hawana pesa. Mwanamke chagua pakwenda
 
Ili umlidhishe mwanamke ukubali kuwa na pesa ya kula dagaa na ulipe kodi maisha Yako yote .

Over.

Wenye pesa hawana mda na wenye mda hawana pesa. Mwanamke chagua pakwenda
We kubali na kumwamini basi, timiza wajibu na majukumu yako, aki cheat its her choice
 
Tamaa ni kwa wote,ila maamuzi baada ya hiyo taa sasa ndio inaweza kuwa tatizo
 
Back
Top Bottom