mwanamke

  1. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke anatakiwa aondoke kwa namna yoyote ile

    Tumekuwa na Taifa ambalo lina support matendo ya kishetani kama haya chini ya huyu mwanamke. Kama (mashoga wanafanya annual conference yao) Serikali kupitia Polisi, TISS mambo ya kishetani kama haya hawayahoni ila CHADEMA wakifanya mtukano unazuiwa kwa sababu ya intelijensia yao imewaambia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usione aibu kumwambia mwanamke huna pesa hata kama unazo

    Katika kuishi kwangu nimeona Tabia hii imekuwa ni common miongoni mwa wanawake nayo ni kubadilishana mwili na pesa , ukimtazama katika jamii zetu kundi kubwa la wanawake wa Sasa Kwanza wanasema hawana upendo wanapenda pesa, wapo ambao kuanza naye TU mahusiano au kumsemesha umezalisha case ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Raiffa: Mwanamke anayelea watoto pekee, amebeba majukumu ya watu wawili katika moyo mmoja! Aheshimiwe

    "Wanawake ambao saa yao ya kuamka ni kilio cha mtoto. Wamefundishwa kuwa mama lakini maisha yakawalazimisha kuwa baba pia. Wanabeba mabegani mtoto, mkononi mfuko wa mboga, moyoni deni na usoni tabasamu ambalo halisemi ukweli. Jamii imekuwa na haraka ya kuwahukumu kuliko kuwasaidia. "Mumeo yuko...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ni ngumu kwa Mwanamke kutulia na Mwanaume mmoja?

    Huyu jamaa anadai kuwa inaamika wanaume ndio hawawezi kutulia na Mwanamke mmoja lakini yeye baada ya kuanza kufanya kazi na Wanawake amegundua kuwa hata wanawake ni ngumu kutulia na Mwanaume mmoja. Anasema jambo hilo lipo pande zote mbili, japo wanawake wanajitetea kuwa wanampenda fulani na...
  5. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Wazo la leo: Elfu 20 ya mwanaume ni bora kuliko billion ya Mwanamke

    Mkufunzi na mindset mentor Cosmas madulu ana waasa wanaume kuto kuzingatia pesa ya Mwanamke. Ya kuwa mwanaume hapaswi kuleta shobo na maokoto ya Mwanamke. Mwanamke, ataridhika sana wewe kumpatia elf 20, hata kama ana Mshahara wa ma billion. Na mwanaume anaye tolea macho pesa ya Mwanamke...
  6. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako Habarini Wakuu, Naweza kuwa tofauti na wengi, naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa, lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. Ni suala litakalo iweka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Akijaribu kucheza peku anakuwa sawa kabisa, akivaa kondomu jogoo anasinzia. Hili ni tatizo gani?

    Ananiambia kondomu zimemkataa. Maana akipata mmama akiingia kwenye shoo anapiga safi ila akivaa kondomu inasinyaa. Hili ni tatizo gani ? Na linatibika kwa namna gani?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sio kwamba wanawake wa Kinyakyusa ni wagumu, bali taasisi ya ndoa inahitaji mwanamke kujishusha, kutii na kukubali mwanaume kuwa kichwa cha nyumba

    Kuna mtazamo hasi sana umekuwa ukisambazwa kuwa wanawake wa Kinyakyusa wana kiburi, ni wababe, Lakini, je, umewahi kujiuliza kuna nini nyuma yake ? Ndoa inamuhitaji mwanamke kujishusha (Submissive), Ndoa inamtaka mwanamke kumtii mme wake, ndoa inamtaka mwanamke kukubali mwanaume ndie kichwa cha...
  9. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutoa namba ya simu haraka

    Habari ndugu?... Kuna Mwanamke Nilikutana nae Stendi ya Magari,, wakati Yuko kwenye harakati za kudandia gari.. Nilimpa hi...then nikamuomba namba ya Simu,,akaniuliza namba ya Nini huku akiwa kama anataka Simu yangu aniandikie namba,,sikumjibu nikampa Simu akandika namba yake..... Then...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Dkt Chemical anafundisha nini huko UDSM kama hajui Ndoa ni sehemu ya mafanikio ya mtu both Mwanaume na Mwanamke?

    Dkt CHEMICAL ANAFUNDISHA NINI HUKO UDSM KAMA HAJUI NDOA NI SEHEMU YA MAFANIKIO YA MTU BOTH MWANAUME NA MWANAMKE? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ndoa ni moja ya vipimo vya mafanikio ya mtu. Hilo mtu yeyote ambaye anaakili timamu analijua. Sasa mtu umeenda shule mpaka umefika chuo kikuu...
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Unamjua Angelina Ngalula? Ndio mwanamke wa kwanza kumiliki treni yake Tanzania

    Wengi tunazoea kupanda treni. Lakini umewahi kusikia mwanamke Mtanzania mwenye treni yake ya mizigo? Huyu ni Angelina Ngalula, boss wa Bravo Group. Treni yake inachukua makontena bandarini na kuyasafirisha. Na treni yake inabeba kontena nyingi kuliko treni ya TRC Dada huyu anapig biashara...
  12. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Usioe mwanamke tegemezi ataharibu watoto wako kiuchumi

    Mafanikio ya mtu huanza tangu utotoni kama mtoto kalelewa katika maisha ya utegemezi wa mzazi mmoja tayari unamjenga huyo mtoto naye kuwa tegemezi . Angalia mfano watoto amabao mama zao sio tegemezi halafu ulinganishe na ambao mama zao ni tegemezi utashangaa
  13. A

    JamiiForums Tanzania Je, kupika ugali ni kigezo cha mwanamke kuwa wife material?

    Wakuu, kuna watu wanaamini kuwa mwanamke anayejua kupika hasa ugali, ndiye mwenye sifa za kuwa mke bora. Lakini mimi najiuliza jamani hivi ni kweli uwezo wa kujua kupika ugali ndio kigezo cha kumpima mwanamke kama anafaa kuwa mke? Okay, tuseme mwanamke ana sifa nyengine nzuri, anaelewana ana...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Naona watu wengi wana share sana hints za kujua mwanamke au mwanaume wa kutomletea majanga mbeleni. Nipende kuwaambia hamjui "HUMAN NATURE"

    Matukio ya mauaji baina ya wenza hivi karibuni yamezua mijadala na mihemuko Hata masikini wanaekeana sumu kwenye chakula na hakuna chochote atakachokirithi kama mume huyo akifariki. tabia njema na sura ya upole sio njia ya mke au mume mwema. MAbadiriko ni njia ya mwanadamu, haujui wife...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hope T. Godfrey ni Nani? Mwanamke Kijana Mtanzania Anayeunganisha Ujasiriamali, Afya ya Jamii na Athari Chanya kwa Jamii

    Kuna vijana ambao hawasubiri kila kitu kiwe tayari ndipo waanze kufikiria namna ya kuleta mabadiliko. Badala yake, huanza na wazo, hutafuta fursa za kujifunza, hujenga mahusiano na kujaribu kubadilisha maono yao kuwa kitu chenye manufaa kwa jamii. Miongoni mwa vijana wanaovutia kuangaliwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Mwanaume akifa na kuacha mali, mwanamke halii maumivu ya kifo, analia kupoteza "Boya" na hofu ya majukumu

    Wakuu salama, Leo nataka tuguse ule ukweli mchungu ambao jamii yetu inaukwepa sana, hasa linapokuja suala la misiba ya ndoa zetu za kiafrika. Hivi mshawahi kukaa chini na kuchunguza kwa makini vilio vya wanawake wengi wa zama hizi waume zao wanapofariki? Ukichunguza kwa jicho la ndani kabisa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Sijamuelewa huyu wakili juu ya chumo la pamoja. Mwanamke akukute umeshajenga ukiishi nae tu kwenye hiyo nyumba ni mali yenu wote!

    Huyu wakili anachochea mauaji ya wanandoa👇
  18. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kua na Mwanamke Mzuri sana ni Changamoto

    Hii kitu nimeona sana ni nimeipitia sana experience yangu ni kubwa mno. Of course, najua wapo watakaopinga lakini ipo wazi kwa mwanaume kua na mwanamke mzuri sana ni changamoto. Kwanza, hua inahitaji moyo ule moyo haswa ili ku-maintain focus bila kupitia mabalaa ya hapa na pale sijui wivu wivu...
  19. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitaka u enjoy mapenzi tafuta mwanamke jobless au aliyejiajiri

    Unataka kuichapa utasikia nipo kazini , twende vacation kazi imebana , njoo unifulie nina uchovu wa kazi .
  20. Think2

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kuishi na mwanamke mwenye akili kama hizi

    Mwanamke mjinga huua ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe maandiko yamesema wazi kuwa tuishi nao kwa akili ni hatari sana kuishi na mwanamke bila kutumia akili Soma hio comment ya huyo dada hapo down 👇
Back
Top Bottom