Mwanaume ukitaka u enjoy mapenzi tafuta mwanamke jobless au aliyejiajiri

Mwanaume ukitaka u enjoy mapenzi tafuta mwanamke jobless au aliyejiajiri

Niliwahi kumpata madam mmoja siku Mwenge ulipotembelea wilayan kwetu sikuipiga yani alikuwa biz kweli na mm nilikuwa namuhitaji kweli
 
At least aliyejiajiri,huyo jobless anayejitegemea kapanga alikuwa anaishije kabla yako?

Maana kama anaishi kwao bado ni mtihani kupata muda.
 
Wewe kama huna hela kwa nini udindishe? Hili ni kosa ! Tafuta pesa utakula mbunye yoyote unayoitaka
Pesa isingekuwepo ningetaka jobless. Jobless namtaka maana naweza kumuhudumia na kumtawala. Ninachotaka mwanamke ambaye yupo available muda wowote
 
At least aliyejiajiri,huyo jobless anayejitegemea kapanga alikuwa anaishije kabla yako?

Maana kama anaishi kwao bado ni mtihani kupata muda.
Anaweza akaishi kwao kutoka familia inayojiweza . Ni raha sana kupata mwanamke ambaye yupo available, wewe mwanamke muda wote nipo kwenye kikao au nina safari ya kazi
 
Sahihi,una hamu uichape ndo kwanza anapokea simu ya kikao Cha dharula Dodoma ,duuuu .manii yote ndani
 
Back
Top Bottom